Nashangaa peke yangu au twaSHANGAA WOTE!

Tripo9

JF-Expert Member
Sep 9, 2009
4,352
3,533
Kuna watu nimepata habar za uhakika wanasoma TIA (Tanzania Institute of Accountancy) Mbeya branch 1st year wanasomea diploma ya Accountancy na wakati A-level walisoma HKL.

Elimu ndo imebadilika hivi siku hizi? Au mimi nimeshazeeka sijui mambo ya generation Y tena!

Nishangae mwenye au twashangaa wote?
 
mbona hicho kitu kipo tokea kitambo sababu wote mnaanza what is book-keeping kwa hiyo usiogope mtu wangu..
 
Yah wapo wengi mi napishana naoni mitaa ya Forest, Mafiati, Dox tena watoto wa kike wanagawa balaa.
 
kwa chuo makini kinaangalia Basic math esp ya o-level, akuna cha utofauti hata kama umekula pcm..
 
mbona hicho kitu kipo tokea kitambo sababu wote mnaanza what is book-keeping kwa hiyo usiogope mtu wangu..
ndetichia and the answer is ..Book keeping is the art of recording business transactions. Lakini nachelea, chuoni mnafundishwa Accountancy na siyo book keeping. Ni kosa kubwa sana kinafanyika Tanzania kwa kufundisha mtu Accountancy wakati hajui book keeping kitakachofuata Bachelors na ADA ili mpate kazi itabidi kwa msome CPA ili muive.

Ningekuwa mimi napanga mitaala, kwa wale ambao siyo ECA, wangesoma miaka minne yaani mwaka wa kazi Book keeping ile waliyoikwepa sekoandari na mwaka 2-4 accountancy
 
Last edited by a moderator:
Mleta mada kwa taarifa yako kuna rafiki yangu alisoma HKL,lakini chuo alisoma BBA na alikuwa mkali kweli katika masomo na alifaulu vizuri sana.
 
kuna mmoja nimemshuhudia live bila chenga kapiga HKL saiv kachaguliwa St. John anaenda piga BBA na O-Level alipiga D ya Namba
 
Ningeshangaa kama angekua anasomea Udaktari......au unjinia...lakini hivi vitu vingine ataangesoma nini anaweza kusoma tu...Tena nimeangalia kwa makini umesoma anasoma Diploma.....so huwa wanaangalia English nadhani O-Level na Maths...huku A-Level wanaangalia principle moja mkuu...kwa diploma hata Clinical Officer anaweza kuingia japo amesoma HKL...and its related course
Lowasa ameisha waambia kua sasa hivi wimbi la vijana kusoma limeongezeka na kazi hakuna....HILI NI BOMU LINALOSUBIRI MUDA LILIPUKE WAKUU
 
Back
Top Bottom