Tokea hizi kampeni za mwaka 2010 zianze mpaka zimeisha na tukampata Raisi,sijawahi hata siku moja kusikia katika kampeni za CCM wakitumia neno MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA kama ilivokua 2005,. Sijui ni kwanini. Naomba msaada wana jamii
Hiyo iko wazi.Mtu au kiongozi yeyote atakayejaribu kutumia slogan hiyo ya maisha bora kwa kila mtanzania hakika ataonekana aidha anawakejeli watanzania au ataonekana amechanganyikiwa kwa vile hali ya kimaisha kwa walio wengi ndo imezidi kuwa mbaya.Na wanaoneemeka ni wachache sana,hususani mafisadi na watu wengine wanaotumia njia chafu kujipatia maisha bora.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.