Nasema sitaki hata kuona

wote mafisadi tu, hakuna lolote, ila anajitahidi kukemea jamani, otherwise tungeona utitili
 
usifikiri na kujadiri hoja kwa kutiumia downstairs, unapaswa kujua limit za amri za pm, su hufanya maamuzi yao wenyewe. Pm alizungumzia magari yanayonunuliwa na gvt. Sitakushangaa kesho ukiona hammer ya kinje ukaimulika kisha ukatuletea janvini ati tumjadiri mtoto wa mkulima kwa vile nchini kuna magari ya kifahari. Try to be a great thinker.

Si kweli hizo SU si ziko chini ya msajili wa hazina ambae bosi wake ni PM, pamoja na hayo SU ni mali ya serikali na inaweza kuamua chochote kama ilivyoamua kuyabinafisha mengine.
 
Back
Top Bottom