Nasema hapana!

kivyako

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
14,341
12,045
Ni RFA tena baada ya tangazo lao la kunawa mikono asubuhi muda wa magazeti sasa wamekuja na jingine ambapo jamaa anaomba unyumba na mke anakataa, nahisi hili tangazo lina ukakasi kimaadili, ambaye amelisikia atoe maoni yake.
 
Nimewahi lisikia. halina hata chembe ya staha. Maneno wanayojibizana hao waigizaji yanatia kichefuchu. Nilikua nimekaa na waif tunaonge hafla tukasikia makele ya mabishano ya hao waigizao kwenye hlo tangazo. Lo!! Ilikua fedheha kweli. Yaani masharti na vigezo havikuzingatiwa kabisa
 
Back
Top Bottom