Nasaha za babu ODM: Unapoamua ku-cheat

...hiyo inaitwa kutupa jiwe kundini! lol...!Aheri mbu niendelee kubakia annonymous kwakweli.Anyway,...Aspirin ametutahadharisha sredi hii inawahusuwaliooa na wasioolewa.
Mbu acha kusoma pembeni ya mistari...soma mistari tu inatosha.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Hahahahaha......... acha woga wewe...... ukiamua bazazi unatakiwa uendelee kuwa bazazi kwa ujasiri......

Umbea huu sasa........!

Aiseee.....kwahiyo ubazazi is THE NEW HIT?!Kama nyumba ndogo na vidumu....watu waanze kujiita na kujitambua kama maBAZAZI bila aibu wala woga?!Itapendeza kweli.

Kuhusu umbea....SIJAWAHI!
 
mimi natilia mashaka utafiti wa wazee kama huu.....hivi kuna aliye muuliza babu ODM kuwa mara ya mwisho kutumia ndom ilikuwa lini na wapi?
 
mimi natilia mashaka utafiti wa wazee kama huu.....hivi kuna aliye muuliza babu ODM kuwa mara ya mwisho kutumia ndom ilikuwa lini na wapi?
ODM si bazazi!............ na ndom ndo nini sanasana?
 
Unakuta mtu anacheat, huyo anaye-cheat nae pia anacheat ambaye vie vile anachitiwa na mpenzi/mwandani wake..yani inakuwa cheat bin cheat mpaka circle haieleweki..
vyema ni kutuliza kitenesi, gonjwa likija halina huruma..watu wanabaki kumsingizia shetani na majuto ya hali ya juu!!..Thanks babuuu!!
 
Unakuta mtu anacheat, huyo anaye-cheat nae pia anacheat ambaye vie vile anachitiwa na mpenzi/mwandani wake..yani inakuwa cheat bin cheat mpaka circle haieleweki..
vyema ni kutuliza kitenesi, gonjwa likija halina huruma..watu wanabaki kumsingizia shetani na majuto ya hali ya juu!!..Thanks babuuu!!
Ewaaaaaaaaaaaaaaaa

Thats my gelo.......... sasa waambie kama wameshindwa kuwa waaminifu watumie vitendea kazi!
 
Habari ake bana.Asee, hebu leta ujira mwiha kwa kuwa mlinzi dhabiti ambaye sio bazazi.U know wara i mean!

lol....hhhaa hhaa hha! msg copied!...lol!


Mbu acha kusoma pembeni ya mistari...soma mistari tu inatosha.

...aaah, mwenzio nimefunzwa kusoma kuanzia kulia kwenda kushoto! ....Bado natafakari maoni ya mchungaji The Finest hapa chini anan'kusudia nini mie mbu mpenda mwanya...

Kwa kuwa sisi si watakatifu, ukiacha mwanya wa udhaifu, udhaifu utageuka uhalifu, na dhahiri maovu yatakifu, unaanza na mwanya mdogo mwisho unakuwa kibogoyo kabisa katika nyanya zote.
 
Hi babu nenda pumzika salalma kumbuka tafakuri ni mshindo wa mawazo.na chenye njema fikira ni umadhubuti wa ubongo.
Mwenye kubisha ukweli kuongopewa amezoea ila usimlaumu yapaswa kuoneshwa njia.ukweli umeuongea japo wapo wanaochukia yafaa kuwapotezea ila yafaa kuwaasa jua wamepotea njia.hongera ahsante sana
 

...mnh,...nahisi kuna tofauti ya ku cheat na extramarital affair.
Aspirin, tukumbushe somo hapa la kiapo cha ndoa.
Kuna viapo vinatoa mianya ya 'kusaidiwa.'
 
Pole na machungu bana, lakini sio wote wako hivyo.
Bado kuna waaminifu wachache waliobakia aisee.


Hahhah Sasa Mbu unampa pole Babu wakati keshasema yeye yamemkuta unamtakia mtakatifu gani wakati ye mwenyewe si mtakatifu? Yaani Babu akamchiti Mama Matesha ambaye ni Bibi yangu mimi, halafu anayecheat naye akamchiti na Babu na mbabu mwingine, halafu unakuja Mbu unampa pole Babu ODM na kumtakia heri ampate Mwaminifu (yupi sasa zaidi ya Mama Matesha?) afu na yeye anaitikia!!!

Leo alipoamkia!!
 
Mmmh, huu ukweli huu, acha nikajiongoze sala ya toba, ha ha ha Askofu uko wapi leo, nahitaji kujivua gamba la ubazazi.
 
Back
Top Bottom