Nasaha za babu ODM: Unapoamua ku-cheat

Sasa mamushka si ndo maana nawakumbusha wanachama wangonoke responsibly ili tusizidi kubaki wachache?
Nilidhani waache kabisa....kumbe!Haya kila la heri kwenye uzinzi wenu...mlaaniwe kuliko viumbe vyote katika dunia hii na malipo yenu yawe hapa hapa duniani!
 
Nilidhani waache kabisa....kumbe!Haya kila la heri kwenye uzinzi wenu...mlaaniwe kuliko viumbe vyote katika dunia hii na malipo yenu yawe hapa hapa duniani!
Hahahahaha........... hiyo laana inijie na mimi nayetoa nasaha?
 
Hapa mnalaaniana au mnashauriana kucheat au kujikinga na maambukizi mapya?. . . Wengine wanayo yazamani tayari.

By the way, amlaaniye binadamu mwenzie badala ya kumuombea heri anatenda dhambi ya mauti.
 
ooh na wanaochiti wanatenda dhambi gani? Na hizo mbili zinatofauti gani?
 
Kweli kabisa tena imeandikwa mpende adui yako!

ianze na wewe Iribini!
Shindwa lakini usilegee......

ooh na wanaochiti wanatenda dhambi gani? Na hizo mbili zinatofauti gani?
Natamani nikuelewe hapa lakini nimeshindwa...... ila mi naamini dhambi zote sawa.... yaani ukimbaka mbwa ni sawa na aliyemmega mke wa mtu ni sawa na aliyeiba shilingi mia ni sawa na aliyekwapua kama Rostam Aziz....
 
hujanielewa lakini umejibu vyema hasa. lol...haya mkubwa ila mi sishindwagi kirahisi hivo.

Adui mpende.....heheeehee! Mi nawapenda adui zangu, we mwenyewe shahidi. (kwani kuwaombeeni laana ni lazima iwapate? Diskresheni si inabaki kwa mtoa laana? Nyie vipi)
 
Sasa mamushka kuliko upate dhambi ya kuiba vijisenti si bora upate zambi ya kula uroda? manake zote hizo ziko sawa.....na moto ni ule ule....
 
Kweli kabisa tena imeandikwa mpende adui yako! Shindwa lakini usilegee...... Natamani nikuelewe hapa lakini nimeshindwa...... ila mi naamini dhambi zote sawa.... yaani ukimbaka mbwa ni sawa na aliyemmega mke wa mtu ni sawa na aliyeiba shilingi mia ni sawa na aliyekwapua kama Rostam Aziz....
Wanachagua dhambi hawa.Wanawadanganya waajiri wao, wanatiana na maboy friend zao, wanatutamani sisi waume wa wanawake wenzao, wanalitaja bure jina la Mungu, eti ooh God im Cum'n!
 
Sasa mamushka kuliko upate dhambi ya kuiba vijisenti si bora upate zambi ya kula uroda? manake zote hizo ziko sawa.....na moto ni ule ule....
Sasa kwa nn uibe na kwa nini ule uroda nje ya mipaka yako? Hutosheki au tamaa zako na kujiendekeza tu?
 
Sasa kwa nn uibe na kwa nini ule uroda nje ya mipaka yako? Hutosheki au tamaa zako na kujiendekeza tu?
Mamushka hebu msome huyu mtumishi wa Mungu hapa chini.........
Wanachagua dhambi hawa.Wanawadanganya waajiri wao, wanatiana na maboy friend zao, wanatutamani sisi waume wa wanawake wenzao, wanalitaja bure jina la Mungu, eti ooh God im Cum'n!
Si umeona muzee.... hawajui hata kutamani nako ni dhambi......... sasa kuliko upigwe moto kwa kutamani, si bora ule kitu mazima............ responsibly lakini.............

Kwa kuwa sisi si watakatifu, ukiacha mwanya wa udhaifu, udhaifu utageuka uhalifu, na dhahiri maovu yatakifu, unaanza na mwanya mdogo mwisho unakuwa kibogoyo kabisa katika nyanya zote.
Aiseee......... umekua sasa!
 
Haha hii kweli kiboko..........Babu ushauri mzuri thanks.

Wanachagua dhambi hawa.Wanawadanganya waajiri wao, wanatiana na maboy friend zao, wanatutamani sisi waume wa wanawake wenzao, wanalitaja bure jina la Mungu, eti ooh God im Cum'n!
 
Hivi kuna sehemu nyingine dhambi inaruhusiwa kutokana na mtu kushindwa kuvumilia au ni kwenye ngono tu?

Tamaa ya fedha ikikuzidi basi iba kwa makini siyo kuiba saana

Mara nyingi tuna flash mawazo yetu hapa yaani kama katabia fulani kabaya kameshindikana kuacha basi solution anayojipa mtu anataka kuiweka hapa kama BABU. Ila mimi nasema inawezekana kutulia na mpenzi wako na ukamfahidi vema kabisa cha muhimu hapa ni kutengeneza mazingira ya kufurahiana basi. Kama mmeoana kwa kupendana kwa dhati basi lazima ujue kwenda nje ya ndoa ni usaliti mkubwa na unamuumiza mwenzio ambaye ukirudi ulikotoka unakuja lala naye kitanda kimoja hii siyo sawa ni dhambi. Ndoa nyingi zimekuwa za kizinzi kwa sababu msingi wa ndoa ulikuwa mbovu na vigezo vya kupendana havikuwa realistic. Mfano watu wamekutana club, harusini, kwenye matamasha ya usiku na baada ya kufanya ngono kutokana na kilevi wanaamua kujitangazia kuoana kwa sababu tabia zao za ulevi na kushinda club usiku zinaendana. katika hali kama hii usitegemee miracle over night kwani ndoa imeshaingia mushkeli na ni ngumu kuto kuwa bazazi.
 
Mamushka hebu msome huyu mtumishi wa Mungu hapa chini.........Si umeona muzee.... hawajui hata kutamani nako ni dhambi......... sasa kuliko upigwe moto kwa kutamani, si bora ule kitu mazima............ responsibly lakini............. Aiseee......... umekua sasa!
Hapo kwenye kula kitu mazima badala ya kuishia kutamani hapo!Asee, pata appetite kwa bht then huyooo unaenda kumaliza appetite kwa mama matesha.Au huwezi kupata appetite ya ubwabwa ukaenda kula makande?Halafu ODM, hebu jaribu kucheat na mama matesha one time.Namba 17 kwenye comfy!
 
23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom