Nasaha Kwa kina dada:

Jpinduzi

Senior Member
Feb 26, 2011
136
68
4269612876_ce0f6eef3c_o.jpg

Kila kitu kina stara yake, hata ndizi. Ndio maana wauza ndizi huwa hawazimenyi kwanza ndio wakaziuza kwa sababu wanajua hakuna atakayezinunua, bali zitang’ong’wa na mainzi. Hivyo hivyo, wale wanawake waliojitoa stara ndio kama ndizi zinazotembezwa zikiwa zimemenywa. Sasa wale wanaowashangilia wakipita uchi si watu bali ni mainzi yanawang’ong’a. Msijidhalilishe kwa kujiweka wazi.

4269613764_a33f2bed00_o.jpg

Moja kati ya tofauti ya wanyama nawatu ni kuvaa nguo (kujistiri). Kila unavyozidisha stara, ndivyo unazidisha tofauti yako na mnyama. Na kila unavyopunguza stara ya mwili wako ndio unaukaribia unyama zaidi, yaani unapunguza ule utofauti wako na mnyama.

Hebu tizama wadada wanaovaa vizuri wanavyopendeza!
dlwecw525653-02.jpg
 
Umesahau binadamu na sie ni wanyama, na tulianza maisha bila mavazi. Lakini hata kupendeza ni relative term, uliyemsema kapendeza hapo juu yawezekana mie namuona hajapendeza.

At the end of the day, biashara matangazo, hebu weka embe zako chumbani ukitafuta wateja kama hazijaharibika, embe huuziwa verandani na si jalalani hadi zigongwe inzi.
 
Asalaam aleykum......
 
Jana kwenye daldala nimekutana na kasichana, mpasuo wa gauni upo mbele, akikaa unaona kila kitu.
 
Hii kitu imeshahamia hata kwa wavulana. Utakuta kavulana kamevaa kata k halafu kwenye daladala anahangaika kupandisha suruali juu ili watu wasione huo mku.............u wake. Yaani ni kama kina dada wanavyohangaika kuvuta juu vitop vyao ili shang........ zisionekane kwa watu. haka kadunia ni kama kamekwisha vile!
 
kuna mwana nimemuon ahapo na kijiushungi kichwani nyuma ya madu wawili cjui ndio wale wanao kameruniwa...........(.astaghfirulah) samahani ka ntakua nimekosea kuliandika hili neno
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom