NASA needs one more mission.... to launch the bunch of CCM mafia into deep space

DoubleOSeven

JF-Expert Member
Jul 5, 2008
661
143
In addition, no return. Ni dawa pekee kwani haiwezekani kabisa kutatua matatizo na mkenge waliotuingiza wao na kupata viable solution kwa kutumia akili hizohizo za kwao.
Bora wapotelee hukoooo!
 
Mkuu

will take this request where it belongs ... Najua watanisikiliza!

Hawa mafia ... kokote kwingine wataleta atahri tu! They are very infectiouse

RA inasemekana anataka kufanya kupotea kama bilali ...

hawa wengine ... wameanza kubabaika ... kweli wakiachwa watajibadilisha sura na pua ..watajipoteza huku wakiwa hapa hapa .. kwa majina na sura nyingine!
 
Back
Top Bottom