Napinga Makao Makuu ya nchi kuhamia Dodoma

Mniwie radhi kama ntakosea;
Naunga mkono kusudio la mheshimiwa Rais sio kuamishia makao makuu Dodoma Bali kuipa Dodoma haki yake ya kuwa makao makuu ya nchi.
Ikumbukwe Dodoma ilipewa hadhi hiyo kwa kuwa ipo katikati ya nchi hivyo kutoa fursa sawa kwa kila mkoa kufikika kiurahisi.
Si hilo tuu, Bali ni sehemu nzuri (good geographical location) kwa kujihami dhidi ya wavamizi. (Kwa hili tutaendana sawa na jamii ya mchwa) ambayo humficha malkia wao katikati ya kichuguu.

Zaidi ya hizo sababu kuu mbili za enzi zile za Mwl nyerere, hizi nyingine ni za hivi karibuni (according to my own view) dar es salaam imejaa sana hivyo kupelekea shughuli nyingine kutofanyika kwa wakati na kwa ufanisi ukizingatia ni pembezon mwa nchi. Na tukubaliane bila ubishi zaidi ya asilimia 35 ya wakaazi wa Dar ni watu wa wizara zetu na makando kando yao. Kwa kweli hawana budi kwenda Dodoma.
Hata hivyo, Tanzania bado tunauhitaji mkubwa wa kukuza miji na majiji yetu kwa makusudi ama kwa bahati mbaya. ukweli ni kwamba Dar imekua kwa kiasi chake licha ya kwamba haina mpangilio sawia(makosa yalishafanyika haina haja ya kulaumiana) twende Dodoma tukaanzishe jiji jipya. Kwani hata mikoa ya karibu itaneemeka kwani kwa sasa maendeleo ya uongo yako dar. Swali, hivi kwa mfano, janga kubwa kama tetemeko la ardhi likitokea dar tutapoteza kiasi gani? Ikiwa hatuna majiji ya kutosha? Narejea Sera ya Mwl ya " vilagelization" hapa ndo itatumika kama "citilization".

Kuhusu gharama; kuna usemi wa mjini usemao "hata mbuyu ulianza kama mchicha" maendeleo ni hatua kwa hatua. Tusiwe wabinafsi wa kutaka kufaidi matokeo sisi wenyewe kwani hata wajukuu zetu nao watapenda kuona Dodoma kama mji mkuu, hii huitwa "sustainable development" . hivyo basi majengo si kikwazo kama kweli Nia tunayo popote ofisi itasimama, waswahili husema " ofisi ni uliposimama" mfano 80% ya mashule hayana ofisi ila kwa utashi wa walimu hukalia viti vya wanafunzi wakiwa wamejitengea darasa kama ofisi.

Mwisho, makao makuu ya nchi ni rais alipo, namaanisha kama rais ataamia dodoma sina shaka kila wizara itamfata alipo. Natambua uwepo wa viungo vya rais ambavyo ni wizara mbalimbali. Na kila wizara inajitegemea kwa majukum yake na budget yake. Kwa kupata urahisi wa kumtumikia rais ni lazima watajisogeza karib nae kwa wakati wao na uwezo wao ili kufanikisha shughuli zao.

Nilipokosea mnikosoe kwa hoja si matusi tafadhar. Nawasilisha
 
Fundamental changes! So far Mh Magufuli anajitahidi sana (pamoja na mapungufu yake kama mwanadamu!)
 
Naunga mkono uchambuzi wako. Tunahitaji kuanzaa Pole Pole. Kama nilivyopendekeza katika michango yangu iliyopita inaweza kutugharimu hata miaka 20. Cha msingu ni kwamba dhamira ya kweli ya Mh. Rais iwe pia kwa watendaji wake.. Maana naona kwa nakusudi wakikwamisha mpango huu, kwa kuwa tu wameshajijenga Dar es Salaam..
 
Unataka kusema kwamba ili kukuza mji fulani solution ni kuhamishia makao makuu ya nchi huko? Kwani Dodoma imeshindikana nini kuendelea katika hali yake ya sasa? na vipi kuhusu Mbeya, Tabora, Songea, Musoma..zenyewe zitaendeleaje?

Kama ni suala la kupanuka kwa jiji la Dar near breaking point, kwa nini attention isihamishiwe katika kuendeleza miji yenye nafasi kibiashara?
U r getting it very wrong!!
Sijajua ni kwa bahati mbaya ama makusudi..

Dodoma was originally planned as a CAPITAL CITY.. hata pre planned miundombinu na City design zimeandaliwa na kutengenezwa kunakisi mkao wa Capital City since early 70's
Hivyo maazimio ya JPM na serikali yake kuhamia Dodoma si suala jipya ama geni.... ni jambo likilokua katika pipeline miaka nenda rudi, lilichokosa awali ni utashi tu wa kisiasa.. sasa kama Mh. JPM anao huo utashi kwanini Serikali isihamie Dodoma??

Daslamu wacha ibaki maeneo ya kujivinjari na biashara.. Dodoma Serikali ikafanye kazi zake..
Usiwe muoga wa maendeleo..
 
Kabla ya kuandi ni vizuri ukafanya reseach japo kidogo. Usiwe mzembe kiasi hicho.

Makao makuu ya Tanzania ni Dodoma. Dar es Salaam ni mji wa kibiashara.
Sababu ulizozitoa ni za kitoto sana.

Na shughuli za Serikali zikihamia Dodoma utafanya jiji la Dar es salaam biashara ziende haraka. Halafu kumbuka dodoma ni katikati ya nchi kwa hiyo watu wanaweza kufikia ofsi kuu za serikali kirahisi.

Fanya uchunguzi kwanza ujue Rais wa kwanza baba wa taifa mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwanini alitaka makao makuu yawe dodoma.
Sio sheria makao makuu kuwa katikati mwa nchi
 
Yaani pamoja Na kero zote za jiji la Dar bado watu wanang'ang'ani serikali ibaki huko huko.!?

Sasa mlivyokuwa mnaimba mabadiliko mlijua Mabadiliko gani.... Mabadiliko ndio haya kuachana Na Mazoea.!
 
Nashauri ihamie Chato maana kuna bandari na ni mahali pema sana na rais atakuwa confotabo kwaiyo akili yake itawaza maendeleo tu.
 
Nakushauri kafanye tathmini ya miji mikuu mingine duniani kisha uone kama huhitaji kubadili fikra...

Kwa ufupi tuu.. Dar imeshapanuka to the extent of a breaking point.. tunachofanya Dar sasa hivi ni kuvunja mijengo ya zamani na kujenga mapya on the same spot.. sasa kwanini tusihamie dodoma mkuu??

Mfano mizuri Pretoria na Jo'berg, NY na DC, Beijing na Shangai,
lagos na abuja
 
U r getting it very wrong!!
Sijajua ni kwa bahati mbaya ama makusudi..

Dodoma was originally planned as a CAPITAL CITY.. hata pre planned miundombinu na City design zimeandaliwa na kutengenezwa kunakisi mkao wa Capital City since early 70's
Hivyo maazimio ya JPM na serikali yake kuhamia Dodoma si suala jipya ama geni.... ni jambo likilokua katika pipeline miaka nenda rudi, lilichokosa awali ni utashi tu wa kisiasa.. sasa kama Mh. JPM anao huo utashi kwanini Serikali isihamie Dodoma??

Daslamu wacha ibaki maeneo ya kujivinjari na biashara.. Dodoma Serikali ikafanye kazi zake..
Usiwe muoga wa maendeleo..
Kumbuka nilimjibu mtu kwa hoja yake, na wewe unanijibu jumla. Suala la mpango wa Dodoma kuwa Capital City najua ni wa zamani na hata enzi hizo za shule ya msingi tulisoma hivyo. Hoja yangu ilitokana na argument ambazo watu wanaleta humu wakidai eti ndio solution ya kupunguza foleni Dar, wakati mpango huo ulianzishwa kipindi ambacho hata huo msamiati wa foleni haukuwepo Dar. Jingine ni kwamba kupeleka Shughuli za serikali Dodoma kutasaidia kusambaza maendeleo maeneo mengine nchini. Kwani sasa hivi kinashindikana nini kufanya hivyo kutokea Dar?
 
ni lazima dom iwe capital city haina ubishi dar ni mji tu kwa biashara
Does Magufuli have political support? Isije ikawa wakati anasukuma gari wenzake wanakanyaga break!!!
2. Is it worth the sacrifice? With the financial position of TZ, is 4 years enough to mobilize resources for this massive investment? Will we maintain the current service delivery levels, let alone improvement of the same?
3. Tujitafakari!?
 
Mkuu, hili halihitaji political support hakuna issue ya kupiga kura hapo. Serikali ina watumishi wa umma. Hapa ni suala la maamuzi magumu. Raisi ashayafanya. Kuhusu resources, hilo tuwaachie makatibu wakuu maana wao ndo wanajua jinsi ya kufanya michakato. Hela ipo. Hela ya escrow ingewahamisha dodoma na kuwarudisha tena Dar. Issue ni priority tu. Kumbuka wanaotuogopesha ni wale waliozoea jiji. Sasa kuhama ni changamoto. Dom ilishapangwa since 1973 kupokea serikali, kilichokosekana na political will ya Raisi. Sasa Magu anatangulia, mwenye ubavu abaki sasa. T2020DOM
 
Ni swala la kiusalama. Unaweza kupindua nchi kirahisi sana ukitokea Zanzibar, wanajihami ikitokea muungano kwishney.
Hizo nchi ulizozitaja ambazo makao makuu take yapo pembezoni mwa nchi, nadhani unajua zinajilinda kwa vifaa na teknolojia gani.
 
Kumbuka nilimjibu mtu kwa hoja yake, na wewe unanijibu jumla. Suala la mpango wa Dodoma kuwa Capital City najua ni wa zamani na hata enzi hizo za shule ya msingi tulisoma hivyo. Hoja yangu ilitokana na argument ambazo watu wanaleta humu wakidai eti ndio solution ya kupunguza foleni Dar, wakati mpango huo ulianzishwa kipindi ambacho hata huo msamiati wa foleni haukuwepo Dar. Jingine ni kwamba kupeleka Shughuli za serikali Dodoma kutasaidia kusambaza maendeleo maeneo mengine nchini. Kwani sasa hivi kinashindikana nini kufanya hivyo kutokea Dar?

Mjomba usikomae na Foleni kama ndio sababu kuu ya kuhamishia Serikali Dodoma.. karejee kuisoma Masterplan..
sababu zote ziko wazi na ni za msingi...
Wasiliana na Mipango Miji.. usijitoe jasho for no reason
 
Nchi ya viwanda na mwendo kasi huwa ninacheka sana.....hivi kipaumbele cha nchi hii ni kipi?????
Kesho utasikia hivi,mara kesho kutwa hivi mtondogoo hivi????.What is the actual priority for the nation???
 
Back
Top Bottom