Njoka Ereguu
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 821
- 335
Maelezo ya mtoa hoja yamekaa vizuri na kwa wale wanomsikiliza Lema sasa hivi maelezo yake yanalandana kabisa ma maelezo ya mtoa hoja. Lema yuko tayari kukata rufaa. Sasa hivi Mwenyekiti wa Chadema Mhe. Mbowe ataingia kuongea pia. Lema anaeleza zaidi kuwa yeye bado ni Mbuge na wananchi waendelee kupeleka malalamiko yao wakimkosa ofisini wamtafute hadi nyumbani kwake.