Napikaje makange ya kuku?

mkate kuku vipande, andaa vituguu maji, chumvi,mafuta, nazi, nyanya na maji.
chemsha mafuta kidogo yakisha chemka tia nyama yako ikichemka na kubadilika rangi weka vitunguu, karoti kisha nyanya na chumvi. mchanganyiko ukikolea na kuku wako kuiva tia tui la nazi na usifunike. baada ya nusu saa makange yatakakua tayari. hiyo ni kigetto getto. mia

kuna post kama hii ilshatumwa mtu akaelezea ila ni tofauti kidogo na amaelezo yako hapo kwenye hiyo nyama ilikuwa imechomwa na siyo kuchemsha halafu sikuona kama amesema habari ya nazi labda na wewe huu ni ubunifu wako ngoja nikiipata hiyo post nta copy hapa au ntakwambia ili uisome mwenyewe.
 
Naomba msaada wandugu.


hii post aliituma huyu unaweza uka m pm akupe maelekezo vizuri

ndetichia

Kuna makange ya mbuzi na makange ya kuku.

makange ya mbuzi/kuku ni kwamba wanaanza kuchoma hiyo nyama ya mbuzi/kuku halafu unatengeneza mkaango au rosti ya:
nyanya
vitunguu
tangawizi
hoho
karoti
chumvi kiasi
na ndimu

Jinsi ya kupata idadi gani nikuokana wewe unataka iwe ya kutosha watu wangapi..

Nadhani umenipata kidogo mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom