Napigwa na kunyimwa unyumba.

nenda martial training..
ikuongezee confidence kama huwezi kumdunda...:becky::becky:
 
Kafany ziara elekezi Kenya... kuna chama cha kutetea haki za madume-bushoke kama wewe...!!Chonde chonde isje kuwa mkiwa chumbani yeye ndo anakuwa mwanaume.... na hao watoto wenu ukawapime vinasaba...!!!!:mad2:

Du, unaweza kukuta chumbani mwanaume ndo unageuzwa geuzwa kama samaki!
 
Ndoa naiona chungu na sijui la kufanya.
Mke wangu ananichukulia kama mtoto, aninaamrisha, ananitumikisha na pia huwa ananipiga.
Nimejaribu kupambana naye lakini nimejikuta nikiambulia maumivu na majeraha.
Sina pa kwenda kwani naishi naye kwenye tuliyoijenga wote.
Amekuwa na tabia ya kunikataza kuongea na baadhi ya marafiki zangu, na pia simu yangu amekuwa akinipora na kuangalia watu ninaowasiliana nao.
Nimezaa naye watoto wawili.
Mkubwa ana umri wa miaka tisa na mdogo wake ana umri wa miaka mitano.
Kibaya zaidi mtoto wetu mkubwa amekuwa akiwasilimulia wenzake jinsi ninavyokula kipondo.
Majirani wote wanajua taabu ninayoipata kutoka kwa mwanamke huyu wa kinyiha.
Unyumba ni hadi atake mwenyewe na nikimaliza kabla yake napigwa sana halafu naambiwa tuendelee na tendo la ndoa ambalo kwangu naona adhabu.
Nifanyeje kujinusuru na mateso haya?

Duh.. Hapa mimi naona kama ni fiction story.. kwa sababu sioni vile mwanaume anaweza kupigwa na mwanamke na kuendelea kuishi naye, an kulazimishwa kufanya tendo...Ushauri wangu ni kuwa either tafuta msaada kwa watu wa dini ambao mkeo anawaheshimu, au watu ambao anawaheshimu na kuwasikiliza, ila ni vigumu saana mwanamke wa aina hii kubadilika.. na itakuwa ni jambo lina mizizi yake.. so pengine ufanye juu chini, ujiunge na Gymm hivi, ufanye mazoezi na iliwezekana yale mazoezi ya 'self defense' kama karate hivi, alafu siku moja ikitokea akuchokoze mpe onyo mwambia leo ukinichapa na mimi nijalazimika kujitetea.. akiendelea kukupiga aisey.. mwonyeshe sytle mpya na hapo hapo atakoma... lakini naye akiamua kwenda huko Gymm na mazoezi.. pack mizigo uondoke faster!!
 
kweli, ndoa zina makubwa. Mungu aepushie mbali
Ndoa naiona chungu na sijui la kufanya.
Mke wangu ananichukulia kama mtoto, aninaamrisha, ananitumikisha na pia huwa ananipiga.
Nimejaribu kupambana naye lakini nimejikuta nikiambulia maumivu na majeraha.
Sina pa kwenda kwani naishi naye kwenye tuliyoijenga wote.
Amekuwa na tabia ya kunikataza kuongea na baadhi ya marafiki zangu, na pia simu yangu amekuwa akinipora na kuangalia watu ninaowasiliana nao.
Nimezaa naye watoto wawili.
Mkubwa ana umri wa miaka tisa na mdogo wake ana umri wa miaka mitano.
Kibaya zaidi mtoto wetu mkubwa amekuwa akiwasilimulia wenzake jinsi ninavyokula kipondo.
Majirani wote wanajua taabu ninayoipata kutoka kwa mwanamke huyu wa kinyiha.
Unyumba ni hadi atake mwenyewe na nikimaliza kabla yake napigwa sana halafu naambiwa tuendelee na tendo la ndoa ambalo kwangu naona adhabu.
Nifanyeje kujinusuru na mateso haya?
 
Ndoa naiona chungu na sijui la kufanya.
Mke wangu ananichukulia kama mtoto, aninaamrisha, ananitumikisha na pia huwa ananipiga.
Nimejaribu kupambana naye lakini nimejikuta nikiambulia maumivu na majeraha.
Sina pa kwenda kwani naishi naye kwenye tuliyoijenga wote.
Amekuwa na tabia ya kunikataza kuongea na baadhi ya marafiki zangu, na pia simu yangu amekuwa akinipora na kuangalia watu ninaowasiliana nao.
Nimezaa naye watoto wawili.
Mkubwa ana umri wa miaka tisa na mdogo wake ana umri wa miaka mitano.
Kibaya zaidi mtoto wetu mkubwa amekuwa akiwasilimulia wenzake jinsi ninavyokula kipondo.
Majirani wote wanajua taabu ninayoipata kutoka kwa mwanamke huyu wa kinyiha.
Unyumba ni hadi atake mwenyewe na nikimaliza kabla yake napigwa sana halafu naambiwa tuendelee na tendo la ndoa ambalo kwangu naona adhabu.
Nifanyeje kujinusuru na mateso haya?

kwani si ndo mnavyopenda kuchukuliwa kama watoto?
 
kuna kamsemo kanasema ati ndoa walio nje wanataka kuingia na walio ndani wanatamani kutoka lol nahisi kuna ukeeli ndani yake
 
ndoa naiona chungu na sijui la kufanya.
Mke wangu ananichukulia kama mtoto, aninaamrisha, ananitumikisha na pia huwa ananipiga.
Nimejaribu kupambana naye lakini nimejikuta nikiambulia maumivu na majeraha.
Sina pa kwenda kwani naishi naye kwenye tuliyoijenga wote.
Amekuwa na tabia ya kunikataza kuongea na baadhi ya marafiki zangu, na pia simu yangu amekuwa akinipora na kuangalia watu ninaowasiliana nao.
Nimezaa naye watoto wawili.
Mkubwa ana umri wa miaka tisa na mdogo wake ana umri wa miaka mitano.
Kibaya zaidi mtoto wetu mkubwa amekuwa akiwasilimulia wenzake jinsi ninavyokula kipondo.
Majirani wote wanajua taabu ninayoipata kutoka kwa mwanamke huyu wa kinyiha.
Unyumba ni hadi atake mwenyewe na nikimaliza kabla yake napigwa sana halafu naambiwa tuendelee na tendo la ndoa ambalo kwangu naona adhabu.
Nifanyeje kujinusuru na mateso haya?
na kwa hiyo avatar uliyoweka, ningekuwa jirani ningekuongeza makofi mawili!
 
Mkeo ana kitu kinaitwa 'spiritual husband' au mume wake wa kipepo ambaye haonekani kwa macho. Mkeo anapokuwa anakupiga sio yeye bali ni spiritual husband ndiye anayekuwa anakupiga ndo maana huwezi kupambana naye. Mpeleke mkeo kwenye maombi akatolewe huyo mwanaume aliye ndani yake. Yesu anaweza yote
 
Mikela:
Je, huyo mkeo ni mfanyakazi wa Sekta ya Umma?

Kama ndiyo basi tatizo ni hayo maandishi kwenye hiyo T' Shirt yako!!! yanayosomeka: "SIZITAKI KURA ZA leastWAFANYAKAZI" Kama unabisha jaribu kubadili hiyo t'shirt yako na uone kama utakula tena kipondo.

hahahahhhhaha at least umeniondolea simanzi
 
Ndoa naiona chungu na sijui la kufanya.
Mke wangu ananichukulia kama mtoto, aninaamrisha, ananitumikisha na pia huwa ananipiga.
Nimejaribu kupambana naye lakini nimejikuta nikiambulia maumivu na majeraha.
Sina pa kwenda kwani naishi naye kwenye tuliyoijenga wote.
Amekuwa na tabia ya kunikataza kuongea na baadhi ya marafiki zangu, na pia simu yangu amekuwa akinipora na kuangalia watu ninaowasiliana nao.
Nimezaa naye watoto wawili.
Mkubwa ana umri wa miaka tisa na mdogo wake ana umri wa miaka mitano.
Kibaya zaidi mtoto wetu mkubwa amekuwa akiwasilimulia wenzake jinsi ninavyokula kipondo.
Majirani wote wanajua taabu ninayoipata kutoka kwa mwanamke huyu wa kinyiha.
Unyumba ni hadi atake mwenyewe na nikimaliza kabla yake napigwa sana halafu naambiwa tuendelee na tendo la ndoa ambalo kwangu naona adhabu.
Nifanyeje kujinusuru na mateso haya?
duh....pole sana, hapo kuna kitu si bure..mwanaume unateseka hivyo??mwombe sana Mungu akufungue umewekwa kwenye chupa wewe!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom