BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,772
- 23,162
kwa nini unang'ang'ania m2 asiyekupenda? Chakarika ujipatie kipato. Nani alikwambia mtoto wa miez 7 anaweza chukuliwa na bac m2? Nenda mahakamani dai haki yako mgawane mlivyochuma. Pigania wanao uwalee mwenyewe.
Nina jirani yangu alitengana na mkewe akachukua barmaid,tena akang'ang'ania watoto, ukiwaona leo machozi yatakutoka. Mtoto wa kwanza kaishia darasa la saba kapewa mimba, baba analea mjukuu. Wa pili kapewa mimba akiwa form 2 anakaa na mwanaume. Wa tatu wa kiume yupo form 1 MUNGU amsaidie