Napendekeza hii KITU, ili kuwatambua wanafiki wa mabadiliko

kula kwa tindo

JF-Expert Member
Nov 14, 2011
1,330
323
Kutokana na mwamko mkubwa wa WATANGANYIKA kujitambua na kuzitambua haki zao na kujitoa mhanga kudai haki,tumeshuhudia wimbi kubwa la MAMLUKI wanaojiita WAPAMANAJi kumbe ni MAVUVUZElA tu...
Napendekeza kuwe na majimbo, na kila Jimbo kuwe na Seneta (Rais) wa Jimbo... Ili tuwatambue wale wanaoikumbatia serikali hii ya MAGAMBA, hasa Bongo mabingwa wa kupiga mayowe lakini vitendo Ovyoooooooo....
KWETU SISI PAZUUUUUUUURI Banaaa...
 
Attachments

  • Mbeya..jpg
    Mbeya..jpg
    74.3 KB · Views: 72
Ovyo kabisa, hilo bango wanafananisha tembo na sisimizi. Yaani kilaza kama Slaa ndiye afananiswhe na Nyerere, eti huduma bure kama Nyerere. Kweli ukishabikia Chadema unatakiwa uwe na akili zilizofyatuka.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
Daah yaani huyu Slaa ataturudisha motoni tulikokuwa wakati wa Nyerere?

Nna uhakika huyo aliyeweka hilo bango ni punguani ambae hakuwepo wakati wa Nyerere na hata hajapewa hadithi za kweli za wakati huo. Huyo kakuta sukari, mchele, sembe unachaguwa unayoitaka.
 
Huduma muhimu zitakuwa Free mkuu... kumbuka Enzi za Mwalimu Tulisoma free,ni kuanzia mwaka 1983 ndipo ada ya Sh 20 ilianza kutozwa lakini Daftari tulikua tunazipata free shule, ZZk Mbeya ilifanya mambo na Elimu saplaya walikua makina...
 
Gamba @ work... Hupendi kusikia jina Slaa....:frusty:
 
Sasa utawala wa majimbo utabadilisha vipi nafsi zilizojaa ubinafsi za viongozi wetu? Unadhani mtu kama Lowasa, na vibepari vingine ukivikabidhi useneta itakuwaje....? Muhimu ni kufanya mapinduzi ya kiimani, fikra na mitazamo ya watanzania, kutoka na roho za kibinafsi na kurudisha UTU, hapo ndipo kiongozi ataweza kuwafikiria anaowatawala.

Demokrasia, dini, haki ya binadamu, siasa na upuuzi mwingine kama huo, ndio mbeleko za chuma, zikumbatiazo ubinafsi na kukandamiza UTU. Tutaweka majimbo na namna nyinginezo, lakini kama hakutakuwa na misingi ya UTU miongoni mwetu ni bure!
Mungu wetu anaita!
 
Huduma muhimu zitakuwa Free mkuu... kumbuka Enzi za Mwalimu Tulisoma free,ni kuanzia mwaka 1983 ndipo ada ya Sh 200 ilianza kutozwa lakini Daftari tulikua tunazipata free shule, ZZk Mbeya ilifanya mambo na Elimu saplaya walikua makina...
Mwaka 1983 Shs. 200 ilikuwa ada ya wapu au unataka kusema ile ada ya UPE ya Shs. 20?
 
Ovyo kabisa, hilo bango wanafananisha tembo na sisimizi. Yaani kilaza kama Slaa ndiye afananiswhe na Nyerere, eti huduma bure kama Nyerere. Kweli ukishabikia Chadema unatakiwa uwe na akili zilizofyatuka.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

we umesoma nini? Maana nashangaa hata wewe chakula cha mafisadi,,,
 
Huduma muhimu zitakuwa Free mkuu... kumbuka Enzi za Mwalimu Tulisoma free,ni kuanzia mwaka 1983 ndipo ada ya Sh 20 ilianza kutozwa lakini Daftari tulikua tunazipata free shule, ZZk Mbeya ilifanya mambo na Elimu saplaya walikua makina...

Kama ulikuwepo unakumbuka Magwanji wewe? Sh 20 zilikuwa zinalipwa wapi?
 
Huduma muhimu zitakuwa Free mkuu... kumbuka Enzi za Mwalimu Tulisoma free,ni kuanzia mwaka 1983 ndipo ada ya Sh 20 ilianza kutozwa lakini Daftari tulikua tunazipata free shule, ZZk Mbeya ilifanya mambo na Elimu saplaya walikua makina...

Nani aliokudanganya ni free? na kodi za wachache umesahau? na alivypdhulumu (kutaifisha) mali za watu umesahau? Naona una mawazo ya kijinga sana, wewe ndio kama wale wanaiba hapa wanakwenda kuweka mabilioni ya dollars kwa wazungu halafu mkiletewa ka mkopo au ka msaada mnafikiri kuwa mmepewa bure, kupenda ni mafuta yenu wenyewe yanawakaanga.

Hizo huduma zenyewe zilikuwepo? alikuta usafiri wa DMT Dar mpaka mabasi ya ghorofa, hakuna ugomvi wala kugombania basi na yanakuja vituoni kwa wakati. Alipopewa madaraka tu, baada ya muda akaiita UDA na ndio likawa nyang'anyang'a.

Huyo Slaa hawezi kitu, uongozi ni maadili mema na huyo kisha udhihirishia umma kuwa hana maadili mema.
 
Gamba @ work... Hupendi kusikia jina Slaa....:frusty:

Tunae Jerry Slaa au umensahau? jina halinipi shida, ni mtu ambae hana zaidi ya kukoroma kama mchungaji na maadili mabovu ya kuweza kuishi na kuzaa nje ya ndoa na mke wa mtu, halafu mnamuita kiongozi? Sasa mtu anaekosa maadili kama huyu ataongoza nchi au ataitumbukiza shimoni? Ameshindwa kujiongoza yeye mwenyewe binafsi ataweza kuongoza hata mtaa mmoja huyu? Fikiri!

Hivi nyinyi mnayajuwa maadili ya uongozi huko mlikotoka? au ndio kwenu kawaida kuwa na watu wanaozaa na wake za watu na wake za watu wanaozaa hovyo na kila mtu? Mimi huwa nawashangaa sana.
 
Ovyo kabisa, hilo bango wanafananisha tembo na sisimizi. Yaani kilaza kama Slaa ndiye afananiswhe na Nyerere, eti huduma bure kama Nyerere. Kweli ukishabikia Chadema unatakiwa uwe na akili zilizofyatuka.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

Unarusha mawe wakati una nyumba ya kioo, sasa kama Dr. Slaa ni kilaza ba Mwanaasha ni nani? na ccm na serikali yake utawaitaje?

Nirudi kwenye mada: wazo la majimbo liko ktk mkakati na sera za CDM labda unge-polish nini kifanyike ktk implementation
 
Tunae Jerry Slaa au umensahau? jina halinipi shida, ni mtu ambae hana zaidi ya kukoroma kama mchungaji na maadili mabovu ya kuweza kuishi na kuzaa nje ya ndoa na mke wa mtu, halafu mnamuita kiongozi? Sasa mtu anaekosa maadili kama huyu ataongoza nchi au ataitumbukiza shimoni? Ameshindwa kujiongoza yeye mwenyewe binafsi ataweza kuongoza hata mtaa mmoja huyu? Fikiri!

Hivi nyinyi mnayajuwa maadili ya uongozi huko mlikotoka? au ndio kwenu kawaida kuwa na watu wanaozaa na wake za watu na wake za watu wanaozaa hovyo na kila mtu? Mimi huwa nawashangaa sana.

Mkuu mbona mipovu hivyo? Baba hana hakika na mtoto wake, Mama ndiye ajuaye Baba halali wa Mtoto... Huenda hata wewe mdingi wako c waukweli.. (Potezea hiyoo) Huanza kutoka Original then feki hutengenezwa tena kwa promo kibao...
JK Nyerere ni Original
JK Mrisho ni Feki..
W Slaa ni Original
J Slaa ni Feki..

Feki ni Feki tu.. na Original ni Original tu...
 
Unarusha mawe wakati una nyumba ya kioo, sasa kama Dr. Slaa ni kilaza ba Mwanaasha ni nani? na ccm na serikali yake utawaitaje?

Nirudi kwenye mada: wazo la majimbo liko ktk mkakati na sera za CDM labda unge-polish nini kifanyike ktk implementation

Mkuu TZ kila mkoa una raslimali zinazo lipa hasa zikisimamiwa vizuri, na kama kila Jimbo(Mkoa) utajitegemea kwa kila raslimali zilizopo nadani ya Jimbo zitumike kwa maendeleo ya Jimbo husika na wananchi husika, kaka Bongo ingekuwa kama Mbele.... Mwanza ki vyao,A-Town ki vyao, Mbeya ki vyao Bongo ki vyao na Serikali isepe bongo iende Dom..
 
Back
Top Bottom