Napendekeza dr magufuri awe pm wetu mpya kama una kubaliana na mim vote na like hapa

No body iz perfect kwa asilimia miamoja, hata kwenye vichaa kuna ambao wana unafuu, na kwa kuwa CCM wote wameoza na PM ni lazima atoke CCM basi hapa tutalazimika kuchagua mwenye unafuu katika hawa waliooza........na hapa sasa mtu kama Pombe Magufuli anapoingia kama wenye unafuu. At least anajitahidi kuwa mfuatiliaji na msimamiaji mzuri wa sheria na mara nyingi hamung'unyi maneno....ana historia inayotia moyo kidogo kwenye wizara alizopitia na kinachommaliza siku zote ni uuzaji wa nyumba za serikali
 
Dr.Magufuli anafaa kuwa PM wetu kwasababu ana kila sifa na sababu yakuchukua nafasi hiyo
Hata kama wana JF wote watapiga kura ya ndiyoooooooo! anayeteua atamteua? Ataweza kumpiga stop kwa maamuzi yake magumu kama alivyofanya kwenye bomoa bomoa?
 
dr. Magufuli ni jembe, kama lowassa au sokoine. Mpeni muone rostam atapitisha tena migari yake kwenye barabara zetu za kichina.
 
Wana jamvi nakunjua jamvi kwa mapendekezo vote vote vote wano kubali John pombe Maghufuri awe PM wetu mpya
wanao kubali sema ndioooooooooooooooooooooo
wnao kataaa sema hapanaaaaaaaaaaaaaaaaaa
nwahojiiiiii wnao kubali vs wnaokataaaa

Napenda John Pombe Magufuli asiwe PM tu, awe Rais kabisa.
 
Back
Top Bottom