Napendekeza dr magufuri awe pm wetu mpya kama una kubaliana na mim vote na like hapa

Watu mna mapenzi ya kipumbavu sana. Kwa ufupi Magufuli hafai na hakuna wa kututoa hapa kutoka CCM kwa sababu hawana sera za kufanya hivyo
 
Wana jamvi nakunjua jamvi kwa mapendekezo vote vote vote wano kubali John pombe Maghufuri awe PM wetu mpya
wanao kubali sema ndioooooooooooooooooooooo
wnao kataaa sema hapanaaaaaaaaaaaaaaaaaa
nwahojiiiiii wnao kubali vs wnaokataaaa

Wanaosema ndio wameshinda!!
 
Hili ndio tatizo letu Watanzania......kupenda ....kupenda .......kupenda

Wekeni vigezo vya waziri mkuu tunayemuhitaji katika status hii halafu wekeni na wasifu wake..........sio CV (as hata hawa wanaotuhumiwa leo wapo wenye CV nzuri tu) bali pia na mapungufu yake yaanikwe yeye na wengine then tuta-suggest..........sio suala la NDIO au HAPANA

Nawasilisha
Ushabiki na mapenzi ya kuona ndo umetufikisha hapa.........

yeah! And thats all, tuwekeni wazi waziri mkuu anatakiwa awe na sifa gani siyo kuropoka tuu!
 
Hili ndio tatizo letu Watanzania......kupenda ....kupenda .......kupenda

Wekeni vigezo vya waziri mkuu tunayemuhitaji katika status hii halafu wekeni na wasifu wake..........sio CV (as hata hawa wanaotuhumiwa leo wapo wenye CV nzuri tu) bali pia na mapungufu yake yaanikwe yeye na wengine then tuta-suggest..........sio suala la NDIO au HAPANA

Nawasilisha
Ushabiki na mapenzi ya kuona ndo umetufikisha hapa.........

yeah! And thats all, tuwekeni wazi waziri mkuu anatakiwa awe na sifa gani siyo kuropoka tuu! Safi sana mkuu
 
..najua wengi watakataa ila jamaa anafaa kwa kazi anazozifanya hapa umemsahau naibu waziri wa tamisemi mr.mwanri apewe barabara uone mambo...Mi nampa kula ya ndio
 
Huyu jamaa nadhani hatufai kama PM labda watupatie lipumba
 
Mamlaka ya uteuzi inaogopa kufunikwa. Hii ndio sababu pekee hatoteuliwa.
 
..najua wengi watakataa ila jamaa anafaa kwa kazi anazozifanya hapa umemsahau naibu waziri wa tamisemi mr.mwanri apewe barabara uone mambo...Mi nampa kula ya. ndio
.

Halafu we nyangumi sisi tunazungumzia kura hapa, sio kupeana kula. Toa sababu madhubuti na zenye hoja hata tusio mjua huyo magufuli tushawishike.
 
NOOOOOOOOOOOOOOOOO!!!! aliuzia ndugu na marafiki zake nyumba za serikali mwizi mkubwa huyu!!!!!
 
anafaa, but kwa wenzie itakuwa ngumu kumkubali maana viongozi we2 wanapenda ulaji kupitiliza.
 
mbona mnapenda kuwehuka na nani kawaambia Waziri Mkuu ataondolewa,kwa kigezo kipi.,?kwn kwenye list ya Mawazi wanaolalamikiwa yupo miongoni mwao?ndoto nyingine bwana.nimechukia
 
Hafai, muongo, mnafki, mpenda sifa..... atatuharibia nchi. Yuko tayari kumuumbua mtu hadharani ili tu aonekane yeye bora mbele ya wananchi.
 
Chuki binafsi weka pembeni angalia mtu personaly magufuri una unafuu wake mchpa kazi muwazi na yuko streight fowrd hana longo longo
cv yake kila mtanzania hata mtoto mdogo anaijua si kwamba namfagilia ila kwenye makumi yupo kmi mmoja magufuri is best one kwa magamba waliobakia
 
Jana nimeota kikwete ananiuliza nimpendekeze mtu anaefaa kuwa PM...nami bila kusita nikampitisha Mwanri....ni ndoto ttu wadau kama afanyavyo abunuasi
 
Wana jamvi nakunjua jamvi kwa mapendekezo vote vote vote wano kubali John pombe Maghufuri awe PM wetu mpya
wanao kubali sema ndioooooooooooooooooooooo
wnao kataaa sema hapanaaaaaaaaaaaaaaaaaa
nwahojiiiiii wnao kubali vs wnaokataaaa

Magufuli akiwa PM,Mambo yataenda vyema sna ila shida sie waTz ni walalamikaji sna!akipewa meno wengi watakua na presha na mambo yataenda...Anafaa sana kuwa PM na Nchi itawajibika vilivyo kwa kipindi hichi hadi 2015-and MAGAMBAS' POLITICAL CREDIBILITY WILL SHINE IN THE DACK SIDE OF LIFE!!
 
Back
Top Bottom