Napendekeza dr magufuri awe pm wetu mpya kama una kubaliana na mim vote na like hapa

Yasser5

JF-Expert Member
Mar 15, 2012
207
17
Wana jamvi nakunjua jamvi kwa mapendekezo vote vote vote wano kubali John pombe Maghufuri awe PM wetu mpya
wanao kubali sema ndioooooooooooooooooooooo
wnao kataaa sema hapanaaaaaaaaaaaaaaaaaa
nwahojiiiiii wnao kubali vs wnaokataaaa
 
Jembe lipo poa,tatizo watambwela kumpa maana hakawi kuwa umbua faster wote

hapo umenena mkuu jamaa hawezi kukubali kuburuzwa kma pinda huyu hachelewi kuwapa wajiuzuru wote ndani ya liasaa limoja
 
tutapiga mbizi hadi kwenye mchanga (joke) atleast anaafadhali si kama mtoto wa mkulima feki
 
Hili ndio tatizo letu Watanzania......kupenda ....kupenda .......kupenda

Wekeni vigezo vya waziri mkuu tunayemuhitaji katika status hii halafu wekeni na wasifu wake..........sio CV (as hata hawa wanaotuhumiwa leo wapo wenye CV nzuri tu) bali pia na mapungufu yake yaanikwe yeye na wengine then tuta-suggest..........sio suala la NDIO au HAPANA

Nawasilisha
Ushabiki na mapenzi ya kuona ndo umetufikisha hapa.........
 
Naunga mkono hoja 100% huyu jamaa anatisha. Sema mgonjwa cjuw wamempiga kipapai?
 
Wana jamvi nakunjua jamvi kwa mapendekezo vote vote vote wano kubali John pombe Maghufuri awe PM wetu mpya
wanao kubali sema ndioooooooooooooooooooooo
wnao kataaa sema hapanaaaaaaaaaaaaaaaaaa
nwahojiiiiii wnao kubali vs wnaokataaaa

Ni raisi tu mwenye mamlaka ya kupendekeza Waziri mkuu, then bunge wanampitisha
 
tuambie hizo sifa unazosema anazo msishabikie tuu
hvyo hivyo 2005 watu walimshabikia. jk sasa hivi walia unaesema safi sana twambie wasifu wake isije ikawa kisasa bomoa bomoa na kugawa masamaki ndicho mnashabikia ninashaka na ushabiki huu
 
jembe yuko poa kwa wenye mcmamo wa kimapinduzi,jamaa hawezi kuficha uchafu hata kidogo.mnaomuona mwongo sio yeye ni mfumo wa serikali ndo unaomkwamisha,ila yeye ni jembe ukilinganisha na pindwa.
 
umeshasema mfumo unamponza tayari hatofaa kwa sababu ya mfumo so tuache ushabiki
 
binafsi namwona ni walewale tu akina pleasant tofauti yake ni hana Tabia ya udokozi aka ufisadi tu Ila ni manafki wa hatari
 
Back
Top Bottom