Napenda

kitalolo

JF-Expert Member
Dec 4, 2006
1,827
707
Ninapoona jinsi wakina dada zetu walivyogundua jinsi ya kutuondoa stress za ugumu wa uchumi kwa kuyabana na kuachia nje machakula yaa watoto. duh mwenzenu huwa napenda sana na nikikutana na mdada wa hivyo huwa sifichi kumwambia ukweli maana mwisho wa siku atagundua tu maana macho yangu hayatamwangalia pengine kwani nikiwa nakuangalia kufuani wewe hutajua?

wakati flani wazee walilalamika kuhusu kumomonyoka kwa maadili haswa kinadada walipoanza ile mtindo wa kuhakikisha unavaa nguo lakini nguo ya ndani laizma itokezee kwa juu, wakiitaka serekali iingie kati na baba riz alipokuwa kule mwanza akawaambia wazee wasiwe na shaka ni fasheni tu na itapita na kweli ikapita sasa iko hii najua itapita lakini kwangu ni burudani sana.
 
hivi yule king mswati,wakati anapita kutafuta mchumba kwenye kundi la wanawake wanaoonyesha matiti yao na mapaja,huwa asimamishagi?????????......................................~just asking~
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom