Napenda wanawake wenye wapenzi!

Najaribu kujikumbusha wimbo we Chege; "... oya oya kaa ukijua starehe gharama ... usipende vitu vya bure vina madhara ... mtoto wa kiume kavamia bia kashika ukuta..."
 
lazima kuna sababu ya kufanya hv n\ moja ya hiz inakuwa kwamba Tuko alishatendwa na haya yalikuwa maamuzi yake baada ya kupata mkasa fulani kama kifuta jasho au revenge. Sorry f am wrong.
 
watu kama hawa si wakuwalaumu saaana, ni matatizo ya ukoo, babu zao walikua watu wasiopenda majukum utakuta alimzalisha binti akakimbia, aliezaliwa sasa, ambae ndo baba wa mtoa mada na wachangiaji dizaini yake,
wamezalisha vimada wa watu au ma gf wakakimbia.
huyo unaemuona yupo na mama ako ni MWANAUME aliechukua jukumu kukulea, baba ako mzaz bado anataman mahawala na ma gf wa watu. si ajab mshagongana kwenye pita pita zenu
 
unajua nini mkuu, naona watu wanakuonea aibu kukuchana live,,, wewe ni malaya mzinifu tu kama malaya wengine
 
Kiukwel napenda sana kampan ya wanawake wenye wapenzi. Sipend singles wala wake za watu, bali wenye maboyfriend! Tena napenda zaidi wanawake ambao ni nyumba ndogo za wanaume wengine! I mean nawapenda kufanya mpnz. Hadi najishangaa.

Jiandae kuingiliwa na wewe, utageuzwa mwanamke siku mmoja....:wacko:
 
Back
Top Bottom