Napenda wanawake wenye wapenzi!

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,319
Kiukwel napenda sana kampan ya wanawake wenye wapenzi. Sipend singles wala wake za watu, bali wenye maboyfriend! Tena napenda zaidi wanawake ambao ni nyumba ndogo za wanaume wengine! I mean nawapenda kufanya mpnz. Hadi najishangaa.
 
Hiyo ndiyo hali halisi, huwezi kumpata mpenzi asiye na mpenzi mwingine. Labda utafute vitoto darasa la 3.
 
Wewe unakwepa majukumu. Unataka kuning'inia tu kifuani halafu halafu bili zote ashughulikie mpenzi wake.
 
Hiyo ndiyo hali halisi, huwezi kumpata mpenzi asiye na mpenzi mwingine. Labda utafute vitoto darasa la 3.

bro, issue sio kuwapata, huyu jamaa anawataka walio kwenye mahusiano, kigezo cha kuwa nae ni lzm uwe na hawala au boyfriend. ukidanganya we singo anasepa
 
Kiukwel napenda sana kampan ya wanawake wenye wapenzi. Sipend singles wala wake za watu, bali wenye maboyfriend! Tena napenda zaidi wanawake ambao ni nyumba ndogo za wanaume wengine! I mean nawapenda kufanya mpnz. Hadi najishangaa.

mhh...wewe ndio wale wa chee..cheche...unapenda vitu vya chee...maisha yako..........yatakukuta makubwa wewe kwa kupenda chee..
 
Tuko hebu funguka mkuu, why hasa nyumba ndogo? hadi hapa nakuona wa ajabu nashindwa kukuelewa..
 
Last edited by a moderator:
Kiukwel napenda sana kampan ya wanawake wenye wapenzi. Sipend singles wala wake za watu, bali wenye maboyfriend! Tena napenda zaidi wanawake ambao ni nyumba ndogo za wanaume wengine! I mean nawapenda kufanya mpnz. Hadi najishangaa.

You are kinda pyscho.
 
....nawewe ukipata mkeo atakuja kuliwa kama unavowala wake za wanzio. mtenda nae hutendwa, badilika.
 
Tuko hebu funguka mkuu, why hasa nyumba ndogo? hadi hapa nakuona wa ajabu nashindwa kukuelewa..

In short, jamaa hapendi commitment. Nothing wrong with dating without commitment as long as both consent to it. Hakuna kudanganyana na pressure za bule.
 
Last edited by a moderator:
In short, jamaa hapendi commitment. Nothing wrong with dating without commitment as long as both consent to it. Hakuna kudanganyana na pressure za bule.

Hapana.. ndio mana nimeshindwa kumuelewa. Ukitembea na mke wa mtu hakuna commitment. Mara nyingi nyumba ndogo wana tabia mbaya sana. Hili kundi ni ovyo na ni nadra sana ukakuta kuwa ni mtulivu na akatulia kama vile wife anavotulia.

Anaweza akawa ni nyumba ndogo wa jamaa watatu, wote wanalipa kodi, wote wanamlea na wote wamekuwa wakichangia kufanya jambo. Kama hio nyumba ndogo ina lets say gari, basi tambua hilo gari wanaweza wakawa wamenunua jamaa watatu na kila jamaa akaambiwa nomba niongeze mil 2/3 ninunue gari. kumbe hapo ni mchango unachangishwa...

Ndio mana nimeshindwa kumuelewa WHY nyumba ndogo? vigezo gani katumia? Kwa hio mkuu sema lingine hapa bado sijaelewa...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom