Napenda wanawake wenye migongo mikubwa

Wanawake wengi siku hizi wana tabia ya kuvaa mavazi ambayo yana display mgongo na matiti. Sasa mi nikiona migongo mikubwa ya wanawake inang'ara halafu ipo wazi basi mi nakuwa hoi.
Wanawake mtaniua jamani.

Wapenda kubebwa?
 
Mkuu hauko peke yako!!..... haswa mgongo ukiwa tepetepe.

1. Mgongo wa Rungwe - umechangiwa sana na maparachichi na huwa very soft with a nice complexion, na size yake ni kubwa na hufanana na kitunguu.

2. Mgongo wa pwani - ukanda wa pwani ya bahari ya hindi umejaaliwa kina dada wenye migongo iliyoenda shule... hasa kuanzia kismayu mpaka Sofala na inasemekana jua huwa linaipika hiyo migongo taratiibu.... hii huifanya iwe juicy due to slow roasting na mafuta ya nazi ukichanganya na damu mbalimbali kama za kiarabu na kireno, huifanya hii migongo iwe na complexion iliyoenda shule.

3.Migongo ya knyarwanda..... maziwa na siagi huifanya iwe na dimples!!

Mkuu hebu nijulishe migongo ya huko kwenu, achana na hao wazee wa mapenzi....
 
Yaani mgongo huuu wa kubebea mtoto au unamaanisha nini, mbona unahatari ya kubaka?
 
Back
Top Bottom