Napenda sana chupi ya kike, napenda sana matiti ya mwanamke

WILSON MWIJAGE

JF-Expert Member
May 30, 2011
276
76
Ndugu,

Mimi kama mwanadamu wa kiume, ninapenda sana kuona chupi ya msichana au mwanamke lakini pia napenda sana kuona matiti ya binti/msichana/mwanamke. Jambo hili si utani hata kidogo, napenda sana (sana) kuviona na wala sina tatizo kwa anayenionyesha vitu hivyo (chupi/matiti)!

Pamoja na kupenda sana kuviona vitu hivyo, napata tatizo kwa wanaovionyesha pasipo ridhaa yangu. Sitaki vitu hivi nivione kwenye daladala, sitaki kuviona sokoni au dukani wala sitaki kuviona ofisini!. Nataka kuviona chumbani tukiwa wawili tu. Kwa nini mabinti/wanawake wanavionyesha wazi wazi pasipo makubaliano maalumu na wanaoviona?

Kumeibuka tabia ya kuonyesha matiti (chakula ya ntoto) hadharani, nguo zinakatwa makusudi, matiti yanaminywa na kuonyeshwa PIA Kumeibuka tabia ya kuvaa suluali si tu kwamba zinabana bali pia zinazoonyesha chupi pindi ikitokea binti/mwanamke akawa anachambua nguo au machungwa sokoni au anashuka kwenye daladala na mbaya zaidi ni pale anapojikwaa.


Suala hili si la mabinti ambao hawakubahatika kwenda shule, haliwahusu tu wa darasa la saba, wala wa kidato cha nne, suala hili linawahusu pia hata wenye digrii na masta. Nimejaribu kuwazuia baadhi (wamenitii) na wengine wamekataa kwa maana ya utandawazi na kwa maana ya muda tulionao!

Napenda sana kuona ILA mahali panapostahili kwa makubaliano maalumu.

Nawakilisha



,
 
Maadili mema yanaanza nyumbani, ikiwa wazazi wameona ni kawaida unategemea wewe utambadilisha?
 
Maadili mema yanaanza nyumbani, ikiwa wazazi wameona ni kawaida unategemea wewe utambadilisha?

Ndugu kama umesoma kwa uzuri nimesema 'nimejaribu kuwazuia baadhi na wametii'. Najua.... siwezi kuibadilisha dunia kwa jambo lolote kabla sijabadilika mwenyewe! Nimeanza kwa baadhi na wewe MadameX chukua jukumu.
 
Kuna siku utawalaumu wachuuzi wanaotembeza vyakula mitaani kisa tu wanauza chakula unachokipenda wakati una njaaa na huna fedha ya kununulia!!!

Au tamaa yako ni kwenye chupi tu?
 
aaaaagh we kumbe hujui bhana.......!!!!
Wenzio wana bidhaa zinauzwa ziko sokoni....!!!!
Kweli MUNGU atusaidie..................
 
hivi ukipita Ambiance night kali su ndio utazimia...kama za dukani tu zinakukinai
 
Ikiwa unapenda kuona matiti na chu** ya mpenzi wako tu, kwangu nakupa hongera sana na wala sioni taabu yoyote kabisa. Endelea tu mzee. Umbile vipi mzee, hupendi kuliona?
 
Biashara ni matangazo, siku zikinunuliwa wataacha kuuza tena.
Wasiosoma ni chakula cha wasomi.
 
hii kali...... labda ni ugonjwa.
lakini mimi nimeelewa kwamba unahamasisha wanawake wasivae nguo za ajabu na wasijaribu
kurusha roho za wenzao au kuwatamanisha kimaumbile...
pia jiulize muhusika akifanya hivyo anania gani au lengo lipi.. maana wengine wanafanya matangazo hata
mchana kweupe bila soni na wengine wajua wanaenda na wakati.. kwahiyo katika hili linahitaji moyo ktk
kuelimisha hao waahusika maana wengine unaweza kugombana nao.
ila kilichonitisha ni kwamba unapata tabu ukiona vitu hivyo... ili jaribu kutembelea fukwe za bahari na
kumbi za starehe unaweza ukarudi hali ya ubinadamu ya kuangalia na kupotezea kitu ulichokiona (kikiwa hakina maana)
baada ya hapo endelea kuwa na imani ya dini yako na kuhamasisha hao wanawake kupunguza Mshawasha kwa watu.
:eek2: duh !!!
 



Ndugu,

Hapa sina tatizo kwasababu akiri, fikra na mawazo nimeya-tune kuangalia kilichokiona. Tatizo ni kwenda kununua nyanya ukakutana na matangazo. By the way asante kwa picha nzuri.
 
Last edited by a moderator:
Ndugu,

Hapa sina tatizo kwasababu akiri, fikra na mawazo nimeya-tune kuangalia kilichokiona. Tatizo ni kwenda kununua nyanya ukakutana na matangazo. By the way asante kwa picha nzuri.
 
Last edited by a moderator:
heri ufumbe macho ukiwa watembea,maana hayo utayaona mpaka fashion hiyo ipite, na inategemea itaingia fashion gani, kama itakuja ya kutokuvaa chupi umeumia!

Ninachojaribu kusema kuna baadho ya vitu ni vya kupita usijiumize saana akili, mwingine unaweza muonya akapiga ukunga mwizi unazaka kumuibia ukapigwa kibiriti, wanawake wengine vichwa vyao wanavielewa wenyewe
 
Back
Top Bottom