Napenda mke wangu atokee Zanzibar..Inshaallah

Mkuu ni ile rangi yao imekubabaisha. Ukiondoa ule weupe wao sioni kama wana cha ziada. Nilipata nafasi ya kuishi mitaa ya mlandege kwa shughuli maalum kama miezi 2 hivi. Kama baada ya wiki 3 nikajitwalia mmoja ki utani utani. Ila kwenye yale mambo yetu mi niliona ni kawaida tu tena hata wa bara wana mautundu kuwazidi. Sema kwa rangi ya ngozi aisee lazima upagawe
Mkuu kinacho matter ni papuchi! Vipi naskia zina baridi yaani zimepoa sana ni kweli au maneno ya mtaani?
 
1-uwe muislam
2-uwe na tabia njema
3-uwe unajiweza kwa kipato
4-uwe na kwako(usipange)..hii ni added advantage
5-uwe na nasabu ya kueleweka na isiyokuwa na historia ya mabalaa kama vile tabia ya ujambazi,wizi,ushirikina na maradhi ya kurithi.
6-kutegemeana na familia husika na asili yao,kama ni familia yenye asili ya kiarabu au uhindini basi nawe ukiwa na asili ya hizo race basi pia itakuwa ni added advantage.hapa ukiwa mweusi tii basi inabidi uwe na pesa ya kutosha....

PROCESS:
1-ukishampata uliyemridhia,utampeleka mshenga kwao ili akapose.
2-ukikubalika,utatajiwa mahari yao,siku hizi huwa wanapenda sana fenicha za ndani kama vile kitanda na godoro lake(ukubwa kulingana na matashi yao),kabati kubwa la milango mitatu la nguo,kabati la vyombo,dressing table....na kapesa ka wazazi kama laki tatu mpk tano. approximately mahari jipange kuanzia million mbili mpk 2.5m
3-mkiwa tayari itapangwa siku ya kupeleka mahari ukweni.baada ya hapo w.ume mtapanga siku ya kwenda kuoa kwa mbaali mkishirikisha upande wa kikeni,japo nyie ndo mtakuwa na power ya kuamua zaidi.
4-Ndoa....utakabidhiwa rasmi zigo lako.
5-Talaka ikiwa mtashindwana ktk iyo ndoa yenu kwa sababu moja au nyengine na hii ni baada ya kufata taratibu zote za talaka kwa mujibu wa dini ya kiislam.

Wengine wataongezea!
kwenye bold hapo jamani siku hizi wanaangalia mawalii wa mke na yeye mke amekubali?? hizi za kupanga na nyumba na kazi ni basi tu ila la kwanza waridhiane mwaya navofahamu unajitokeza kwao, kisha unafunga uchumba ili akitokea mwingine wa kuoa akute mlango umefungwa means kuna mtu yupo ndio taratibu zingine zitafata ataambiwa huko huko kuna sehemu na sehem lakini ila napenda ile chai yao baada ya ndoa wallah jahhaha :):):):)
 
Mbali na kujua sifa hizo za mchakato wa kupata Mke kutoka znzbar pamoja na sifa zao... Naomba kujua maeneo mbalimbali ya znzbr na aina ya watu/wanawake wanaoishi maeneo hayo.
Pllllzz
........................
 
mkuu hii ya kujua maeneo yote ya zanzibar mbn ni kibarua kizito sn kwa wachangiaji?we tafuta map ya zenji tu utayaona hayo maeneo...na kuhusu w.wake sehemu zote za zenji wapo w.wake...ila ukitaka wa kishua ni mitaa ya Mbweni,Chukwani,Mombasa na baadhi ya maeneo ya Bububu.
 
kwenye bold hapo jamani siku hizi wanaangalia mawalii wa mke na yeye mke amekubali?? hizi za kupanga na nyumba na kazi ni basi tu ila la kwanza waridhiane mwaya navofahamu unajitokeza kwao, kisha unafunga uchumba ili akitokea mwingine wa kuoa akute mlango umefungwa means kuna mtu yupo ndio taratibu zingine zitafata ataambiwa huko huko kuna sehemu na sehem lakini ila napenda ile chai yao baada ya ndoa wallah jahhaha :):):):)
ndo maana hilo la kuwa na maskani yko nikasema ni added advantage...mara nyingi unapokwenda kuposa wazazi wa upande wa m.ke huwa wanataka kujua juu ya wapi utaenda kuishi na mtoto wao,na huwa wanafurahi zaidi ikiwa wewe muoaji una nyumba yako hata km ni banda tu...au kama utakaa nae kwenu bs at least panatizamika!japo walio wengi siku hizi wanaoa na kuishi kwa wazazi wao,kutokn na ugumu wa maisha,maana kujenga si mchezo...so sharti hili kdg limeregezwa,wanaangalia zaidi njia zako za kujipatia kipato.
Masharti ya kuoa zenji huwa ni magumu mno hasa unapoenda kuoa ktk familia inayojiweza kiuchumi au ktk family zenye maji maji ya kisultan,hiyo mahari yake tu unaweza kuhairisha kuoa aloo.

Kuhusu misosi tu hasa katka kuisanifu ngano,zenji tupo juu si haba!so usijali Madame S ntakualika siku ya harusi yangu uje upige chai moja matata sanaaa plus biriani ya bata.
 
Nami usininyime biriani
 
ahahahahhahaa asante
 
Mkuu ni ile rangi yao imekubabaisha. Ukiondoa ule weupe wao sioni kama wana cha ziada. Nilipata nafasi ya kuishi mitaa ya mlandege kwa shughuli maalum kama miezi 2 hivi. Kama baada ya wiki 3 nikajitwalia mmoja ki utani utani. Ila kwenye yale mambo yetu mi niliona ni kawaida tu tena hata wa bara wana mautundu kuwazidi. Sema kwa rangi ya ngozi aisee lazima upagawe
Huna ulijualo wewe wakike wote sawa tu !tena wewe kwa vile hujui kitu hata ukipewa ya punda au mbuzi itakufaa tu!
 
Back
Top Bottom