Napenda matangza ya kazi yaliyo wazi kutaja Mshahara kama hili.

Retreat

JF-Expert Member
Dec 14, 2010
229
70
Binafsi huwa sioni logic ya kuficha Mshahara wakati wa kutangza kazi, mi naona iwe inawekwa wazi tu watu waote wajue. Maana unaweza ukakosa watu wazuri kwa kutokujua mshahara utakuwa shillingi ngapi.

MAtangazo mengi ya kazi hapa bongo hayataji kiasi cha mshahara, naomba waige mfano wa hawa jamaa, kidogo TANAPA nao huwa wanataja kiasi cha mshahara.

View attachment Job Details.doc
 
Back
Top Bottom