Napenda mafuta ya alizeti lakini

GENERARY

Member
Aug 31, 2012
95
17
Ninapenda sana kutumia vitu vya asili, lakini mafuta ya alizeti ambayo huwa nanunua dukani mara kwa mara (super market) yenye ujazo wa lita 5 yana radha ya kauchungu hivi. Je! ni mimi tu au
 
Ninapenda sana kutumia vitu vya asili, lakini mafuta ya alizeti ambayo huwa nanunua dukani mara kwa mara (super market) yenye ujazo wa lita 5 yana radha ya kauchungu hivi. Je! ni mimi tu au

ukinunua tena au uliyonayo kama yamebaki yachemshe mpaka moshi mweusi utoke kisha yaweke yapoe ktk chombo wazi kama sufuria then yatakuwa tayari kutumika na hayatakuwa na kauchungu tena.
 
ukinunua tena au uliyonayo kama yamebaki yachemshe mpaka moshi mweusi utoke kisha yaweke yapoe ktk chombo wazi kama sufuria then yatakuwa tayari kutumika na hayatakuwa na kauchungu tena.

Mafuta ya alizeti yanaitaji kuchemshwa sana kabla ya kuuzwa!
 
Ninapenda sana kutumia vitu vya asili, lakini mafuta ya alizeti ambayo huwa nanunua dukani mara kwa mara (super market) yenye ujazo wa lita 5 yana radha ya kauchungu hivi. Je! ni mimi tu au

alizeti halisi huwa kuna hako kauchungu. So ni kawaida usjal
 
hii si mara moja tu! mara kibao

mafuta ya alizeti yaliyokamuliwa kienyeji kuwa na radha ya ajabuajabu ni kitu cha kawaida maana bado yame-retain un edible contents nyingi. BTW, sokoni kuna mafuta ya alizeti ya aina tatu:

1. Yale yaliyokamuliwa locally na kuchemshwa na kuingizwa sokoni, haya hayafai, kwani baada ya siku chache yanabadilika radha kwa kuwa hayakusafishwa.

2. Yale yaliyokamuliwa kutoka kwenye mashudu baada ya mafuta ya awali kukamuliwa, haya ni mazuri na ni masafi, hata rangi yake huwa ni meupe zaidi kuliko yale ya awali.

3. Yale yaliyokamuliwa viwandani, haya ni bora zaidi kwani yamechujwa na kusafishwa kuondoa impurities zote, yamaradha nzuri.
 
kwa kuwa niliyakuta ya aina mbili ngoja nikaombe yaliyo chujwa vizuri zaidi. however, thanks
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom