napenda kuwashukuru watu wa namna hii humu ndani

Hivi unapata wapi audacity ya kutetea utovu wako wa nidhamu kwa lugha ya kiswahili na kwa audience ya JF?

mbna ww unatuchanganyia kiswahili na kiingereza unajiona uko sahihi na ww! Hauko serious ht ww kama mwenzako anakosoa halafu kaweka neno magumashi, huna jipya ndugu potea.
 
Haya kijana, masomo mema huko chuo kikuu.
Ni vizuri kuwa na msimamo, lakini ni vizuri zaidi kuhakiki usahihi wa yale unayotaka kusimamia kabla hujafanya hivyo.
 
hapo kaka umenishauri la msingi lakini sio kunisema, nimekubali sana ntajitahidi sana.
 
huyu dogo ndio wale wanaoingi internet hawana la kufanya. Anaingia anapost mada za kifacebook ili mradi tu aonekane ameanzisha mada. Na yeye
 
Back
Top Bottom