Napenda kuwa moderator

Hivi kazi ya mod ni nini, kupiga ban au?? Btw, natumai na wao wameshauona huu ujumbe ndo maana hata post yako waliihamishia huku!
 
mkuu kuna tangazo jf. moderator0anahitajika. kigezo unatakiwa uwe kenya. au subili Fung asitafu. mia
 
Last edited by a moderator:
penda kuwa moderator, lakini usitamani uwe moderator ili uwaban watu kwa kuwaonea...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom