Napenda kutoa shukrani kwa hawa wafuatao.

Slave

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
5,314
2,635
kwanza kabisa napenda kutoa shukrani zangu kwa uongozi wote wa jamii forum kwani bila wao nisingeweza kukutana na watu walio nisaidia ushauri na muongozo wa namna ninavyo weza kupata tiba ya masikio. pili niwashukuru

DR PHONE Wallet.nguruvi3.rubi.fredwash.nsiande.paulss.gsana
nasema nina shukuru sana na ninawaombea dua njema kwa mungu awape imani na roho ya huruma.awaongezee ujuzi wa kufikiri,hekima busara na nguvu ya kujitolea.
 
ni jambo la kheri kama umepata muongozo uliokusaidia.hii itawapa moyo waliochangia kutambua thamani ya michango yao na kuendelea kusaidia wengine..
tupo pamoja daima
 
mkuu heshima mbele nashukuru sana kwa kunishukuru nafarijika sana kama umepona mkuu nafurai na ww tupo pamoja mkuu sori kwa kuchelewa kujibu uku uwa cpiti sana
 
mkuu heshima mbele nashukuru sana kwa kunishukuru nafarijika sana kama umepona mkuu nafurai na ww tupo pamoja mkuu sori kwa kuchelewa kujibu uku uwa cpiti sana

pa1 man.
 
Back
Top Bottom