BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,004
Mimi katika safiri safiri yangu katika mikoa mingi ya nchi yetu niliipenda sana Mbeya ikifuatiwa na Iringa kutokana na hali ya hewa na pia bei za Vyakula ambazo wakati huo zilikuwa poa sana ukilinganisha na Dar. Njombe hata mimi nilikupenda sana.