Napenda kufahamu

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
Habarini wandugu!
"Je wewe ungependa kuishi mkoa gani hapa Tanzania ukiwa na mpenzi au familia yako hata kama hujabahatika kuishi huko na ni sababu gani zinakupelekea kuupenda huo mkoa na ukapenda kuishi na mpenzi wako ama familia yako na ukajiona mwenye furaha maishani?"

Mimi ningependa saaaana kuishi Mwanza na Mpenzi wangu na sababu hasa ni wale samaki na mndhari nzuri ya Mwanza!
 
Moshi Arusha...si mbali na hapo...haswa Moshi...pasafi jamani!!!
aaaaaaaaaaaaaaaaaa..
sorry...
au kule chini maeneo ya Matema...i jus love clean places!
I dislike Dar..labda kwa starehe tu tena nikiwa na pesa zangu!!!
 
Kama wengine wasemavyo maisha popote ila kwa hili suala la kuishi na familia nadhani nitaishi mkoa wowote ule ila si Dar maana hilo joto, hao mbu, foreni za magari na ukubwa wa jiji kiasi cha kumlazimu mtu kupanda hata daradara tatu kabla ya kufika aendako, hayo mambo siyawezi na ninawapa pole sana muishio Dar, pole sana.
 
mkoa wa MARA mura, kure mambo ni kijesh jesh tu ukireta habari za kuchukua mabinti wa watu unaro!!:mad2:
 
Jiji kunuka dar bana, hata unabuku unakula pa kulala sasa ndio balaa , mbele ya nyumba jalala.
 
mkoa wa MARA mura, kure mambo ni kijesh jesh tu ukireta habari za kuchukua mabinti wa watu unaro!!:mad2:

eeeh sasa utahemea wapi tena:becky: hata ukikapata unakuwa na wasiwasi linaweza shuka la mgongoni paaaaaaaa:becky:
 
Mpwa bwana, chagua sehemu moja kati ya hizi: Moro,dar,arusha,znz,mbeya,iringa. Naomba nikuchagulie Arusha, Sakina.
ha ha ha ha. umenichekesha sana tu.ASANTE KUNICHAGULIA. Well, Arusha hasa pale sakina si pabaya........mmmh???? unanijua nini????
 
Mbeya..................ni asili
Iringa....................ni asili na mkoa nilikozaliwa
Morogoro..............unanifaaa kwa kushuguli za kijasiriamali....
Dodoma................promising future economic power house of TZ
Singida.................Kudumisha mila na ujasiriamali

Mikoa yote hapo juu ina hali nzuri ya hewa; ni sehemu nzuri kutunza familia :A S 8::A S 8::A S 8::A S 8::becky::becky::becky::becky:
 
Habarini wandugu!
"Je wewe ungependa kuishi mkoa gani hapa Tanzania ukiwa na mpenzi au familia yako hata kama hujabahatika kuishi huko na ni sababu gani zinakupelekea kuupenda huo mkoa na ukapenda kuishi na mpenzi wako ama familia yako na ukajiona mwenye furaha maishani?"

Mimi ningependa saaaana kuishi Mwanza na Mpenzi wangu na sababu hasa ni wale samaki na mndhari nzuri ya Mwanza!

Iringa - Maeneo ya Njombe
 
Back
Top Bottom