NAPENDA CHADEMA ISHINde 2015

Ngekewa

JF-Expert Member
Jul 8, 2008
7,705
1,288
Wana JF wenzangu , natowa msimamo wangu mapema juu ya uchaguzi wa mwaka 2015. Napenda chama makini na chenye Demokrasia ya kweli kama CHADEMA. Sababu za kupenda washinde ziko kwenye umakini na Demokrasia.
Kwa upande wa umakini Naamini Raisi wetu atakuwa makini kiasi kuwa kila kazi ataifanya yeye na lile suala la kuweka Mawaziri litakuwa hakuna haja. Rais wetu kwa umakini wake atashughulikia mambo yote hata ile mifereji kule kwetu uswanzi. Haya atafanya yeye mwenyewe.
Kwa upande wa Demokrasia najuwa tutakuwa tuna uhuru wa kufanya lolote tunalolitaka. Hatutokuwa na haja ya Katiba ili Wapinzani wetu waweze kufanya lolote watakalo. Hawa kina Mwema na Kova wataondoshwa kwani hawana kazi. Kila mtu akijisikia atweza kufanya maandamano kwenda kwa Rais na yeye mwenyew atawapa jibu kwa matatizo yao.
VIVA CHADEMA 2015.
 
hata mimi napenda,mwananchi yeyote mwenye akili anapenda chadema ishinde
 
Chadema ilishinda 2010 uraisi na wabunge wengi. Lakini usalama wa taifa, JK, na NEC wakachakachua. JK aliachwa mbali saana na Slaa. Watanzania inabidi waweke mikakati ya kulinda majizi na wezi wa CCM. mafisadi wa CCM ndo mastermind wa kuiba kura. Kikwete hataweza kuitawala hii nchi kwa sababu ya laana ya wizi wa kura. Hii laana itamuua. Kipindi chote cha miaka 5 hatapata usingizi maana ameiba uongozi na haki ya watanzania kuchagua viongozi wao, haki yao toka kwa Mungu. Kwa kuwa amepata uraisi kwa wizi, ndo maana hawezi kukemea maovu ktk jamii au kujitenga na ufisadi
 
Ilishinda 2010 ikachakachuliwa rais na wabunge kibao ndio maana inaonesha ukomavu kuanzia kwa mameya ili ioneshe inavyoweza kusimamia na kuwajibika kuleta maendeleo. Chadema ni sauti ya umma na inatumia umma kudai haki ya umma iliyoporwa.
 
Back
Top Bottom