NAPE: Watu wameshindwa kujitokeza kupiga kura wakiohofia kumwagiwa Tindikali

Naloli,
SIKU MKITUSUMBUA KWENYE UCHAGUZI TUTABADILI MBINU, LAKINI KWA STYLE HII YA KUTAMBAA WAKATI WENZENU TWAKIMBIA HII INAWATOSHA, GOLI LINALOUMA NI LILE UNALOFUNGWA MOJA BILA AU MBILI MOJA NA SIO KUMI KWA TATU

Afadhali mmekiri kuwa tuliwasumbua,japo sisi hatukuwa na jeshi/mawaziri Serikalini/Bakwata/Wakurugenzi Wa Manispaa/kutusingizia kila kitu kibaya kimefanywa na Chadema!!!!Chadema peopless Power mwanzo mwisho na vijana Arusha tunakusubiria uje na umbea wako lazima tukukalishe.
 
Nape anaomba watu kuwa na busara hapa jf lakin kasahu yeye alishindwa kujibu kwa busara tbc akajibu Kwa HOJA KURUPUSHI.
 
Katibu wa Itikatdi na Uenezi wa CCM.
Nape, kaongea kwenye taarifa ya habari TBC1, anasema sababu iliofanya watu wachache kujitokeza kupiga kura kwenye jimbo la Igunga, watu walihofiwa kumwagiwa Tindikali.

SOURCE: TBC1 HABARI
Kama kauli yake huyu Nape AFADHALI YA MAKAMBA Imekua kawaida yake kuropoka na baadae kuzikana kauili zake.Inafahamika ya wazi kua CCM inanunua shahada na kuwalipa watu wasipige kura kwani wapiga kura wanapokua wachache kwa CCM chama cha mafisadi ni lahisi kuchakachua.Ebu atueleze katika uchaguzi wa Rais idadi ya waliojitokeza kupiga kura ni asilimia ngapi ukilinganisha na waliojiandikisha??Pia waliogopa kumwagiwa Tindikali????!!!

Watu kutojitokeza kwa wingi ni njama za chama tawala kwa kutumia njaa zao kununua shahada zao. Bastola ya Rage inatisha zaidi ya tindikali ambayo pia ilitumiwa na CCM kutafuta huruma ya wapiga kura.Uchaguzi umekwisha hata huyo waliomwagia tindikali CCM ili wamtumie kwa manufaa yao hatutamsiki hata huko hospitali hakuna atakaenda kumjulia hali hii ndio CCM.

MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Sikutegemea kbisa kuona uwezo wa kufikiria wa Nape kuwa mdogo koasi hiki! Propaganda kama hizi ningezisikia kwa Tabwe Hisa nisingeshangaa, ila kama Nape nae yuko hivi.. Basi wote wanafikiria kwa kutumia masAburi!
 
Na wale ambao hawakupiga kura uchaguzi mkuu wa 2010 walikuwa wakihofia nini? Huyu dogo ameshindwa kutafakari sababu za msingi za watu kushindwa kujitokeza analeta porojo! Tume ya Uchaguzi ina homework ya kufanya kuhusu hili jambo.

Daftari la kudumu la wapiga kura ni dubwana jingine lisilokidhi haja, lifanyiwe kazi. All in all CDM wamewahenyesha, big-up!!
 
Mchakamchaka,
Nakushukuru sana kwa ushauri wako, lakini ungewashauri pia wanaojibu hapa tujadili hoja sasa kama wanageuza jukwaa the commedy, eneo la kutukana tu... Tulikimbie jukwaa? Hapana sie ndo waanzilishi humu hAtutoki ila tutajibu kwa uwezo na jinsi ya akili unaye mjibu,,!!!!
hivi wewe Nape na chama chako cha magamba unaweza kujihita unahoja?Nakuuliza maswali matatu ukiyajibu naweza kukubali kua una hoja.

Moja kwanini wewe, naibu katibu mkuu, Samwel Sitta, Chilingati, Mwakyembe, Kilango mlipigwa marufuku kukanyaga Igunga wakati wa Kampeni?Wakati wewe kwa nafasi yako ndio ulikua unapashwa kua mratibu wa shughuli za kampeni hizo. Ulikua hufai ?Au kunasababu nyingine.

Pili kama Rostam Aziz amepotenza nafasi yake ya ubunge kutokana na mkakati wa kujivua magamba nikwanini katika kampeni za uchaguzi wa Igunga swalala kujivua magamba na ufisadi lilipigwa marufuku katika midomo ya viongozi wa CCM?!!

Na la mwisho Kama Rostam Aziz ni Gamba na fisadi ambae mlimtema ilkuaje kukubalikulamba matapishi na kumuangukia ashiriki katika kampeni za Igunga!?

NAPE UNAPWAYA KATIKA NAFASI YAKO. BORA KAA KIMYA ILI TUDHANI KWAMBA UNAHEKIMA KULIKO KUROPOKA NA KUTUFANYA TUAMINI KUA HUNA HEKIMA.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Mkuu haya maswali kwa sasa CCM hawana mtu mwenye busara ya kuyajibu! Labda angekuwapo Makamba Senior au Tambwe Hizza wangejaribu kumwaga mipasho yao!
 
Naloli,
SIKU MKITUSUMBUA KWENYE UCHAGUZI TUTABADILI MBINU, LAKINI KWA STYLE HII YA KUTAMBAA WAKATI WENZENU TWAKIMBIA HII INAWATOSHA, GOLI LINALOUMA NI LILE UNALOFUNGWA MOJA BILA AU MBILI MOJA NA SIO KUMI KWA TATU

very poor analysis. Nadhan waliokupa hiyo nafasi watakuwa na matatizo upstairs
 
hivi wewe Nape na chama chako cha magamba unaweza kujihita unahoja?Nakuuliza maswali matatu ukiyajibu naweza kukubali kua una hoja.

Moja kwanini wewe, naibu katibu mkuu, Samwel Sitta, Chilingati, Mwakyembe, Kilango mlipigwa marufuku kukanyaga Igunga wakati wa Kampeni?Wakati wewe kwa nafasi yako ndio ulikua unapashwa kua mratibu wa shughuli za kampeni hizo. Ulikua hufai ?Au kunasababu nyingine.

Pili kama Rostam Aziz amepotenza nafasi yake ya ubunge kutokana na mkakati wa kujivua magamba nikwanini katika kampeni za uchaguzi wa Igunga swalala kujivua magamba na ufisadi lilipigwa marufuku katika midomo ya viongozi wa CCM?!!

Na la mwisho Kama Rostam Aziz ni Gamba na fisadi ambae mlimtema ilkuaje kukubalikulamba matapishi na kumuangukia ashiriki katika kampeni za Igunga!?

NAPE UNAPWAYA KATIKA NAFASI YAKO. BORA KAA KIMYA ILI TUDHANI KWAMBA UNAHEKIMA KULIKO KUROPOKA NA KUTUFANYA TUAMINI KUA HUNA HEKIMA.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
Kama Nape una busara jibu haya maswal
 
Advocate Jasha,

Haya maswali yako nimeyajibu sana sana..... Pengine hebu ni jibu Chadema ndio waliotoa list of shame( kama walivyoiita).... Niambie kiongozi gani Igunga wa Chadema amezungymzia ufisadi?

CCM TUMETHUBUTU, TUMEWEZA NA TUNASONGA MBELE....... HIVI KUNA MTU ANA USHAHIDI WA KUZUIWA KWA ULIOWATAJA? au ni dhana yako tu ya kufikirika? BAHATI MBAYA NA POLE HUNA ABAI YA KUTOSHA....UNAJUA MAMA KILANGO KAPITA IGUNGA NA KUMNADI KAFUMU.?? UNAJUA SITA KAFANYA MIKUTANO YA KUMNADI DR. KAFUMU IGUNGA!!!!!!!.

NINGEKUWA MPUUZI NA MJINGA KAMA MNAVYOTAKA KUWAAMINISHA WATU HAPA, KWA NINI MNAHANGAIKA KUMJIBU MTU ASIYE NA AKILI WALA mvuto.......
 
Jamani Nape is an hopeless object,mhurumieni,hajui alitendalo,hajitambui yeye ni nani na anatakiwa ku behave vipi.
 
dah! Mkuu unajiona una mvuto! Hahahahaa....haya bana,,
 
Nape kazi unayofanya mbona ina mambo ya kishetani hivi, kwa nini uwe na fitina kijana mdogo hivi. Unafikiri siku zote utakuwa hapo ulipo? You must think also the future vijana wengi sasa hivi wanakudharau sana.
 
Jamani Nape is an hopeless object,mhurumieni,hajui alitendalo,hajitambui yeye ni nani na anatakiwa ku behave vipi.

Gracious,
SI KAZI YANGU KUWAFURAHISHA CHANDIMU, WALA CHANDIMU HAWANA MAMLAKA YA KUNIFUNDISHA CHA KUFANYA, ETI LEO NIFANYE AMBACHO CHANDIMU MNATAKA NIFANYE??? ,imekla kwenuu.... Mwl. Aliwhi sema...... Ukiona adui yako anazifia slaa zote za maangamizi jua umekosea. FURAHA YANGU NI KUWAKERA CHANDIMU SO MKIKEREKA NIJUA NIKO VIZUIIIIIII
 
Bora kuka kimya uonekane umeogopa kuliko kuropoka pumba. Nape kuwa makini, we ni kiongozi.
 
Gracious,
SI KAZI YANGU KUWAFURAHISHA CHANDIMU, WALA CHANDIMU HAWANA MAMLAKA YA KUNIFUNDISHA CHA KUFANYA, ETI LEO NIFANYE AMBACHO CHANDIMU MNATAKA NIFANYE??? ,imekla kwenuu.... Mwl. Aliwhi sema...... Ukiona adui yako anazifia slaa zote za maangamizi jua umekosea. FURAHA YANGU NI KUWAKERA CHANDIMU SO MKIKEREKA NIJUA NIKO VIZUIIIIIII

haya ni maneno ya kiongozi wa siasa. Mungu mbariki huyu kijana.
 
ccm is walking in the gallow, the date of execution of the criminal is october 2015!
 
Back
Top Bottom