Nape: Wapinzani wasipige kelele uchaguzi Igungu umekwishwa

Wanajamvi,
USHABIKI MWINGINE MATATIZO SANA! MATUSI YANAYOSEMWA HAPA KISA NI KIMOJA TU CDM WAMAUMIZWA NA AINA YA SIASA NINAYOENDESHA BASI! HIVI MNACHEZA MPIRA TIMU PINZANI INAWEKA MCHEZAJI ASIYEKUWA NA UWEZO KABISA HALAFU NYIE MNAANZA KUWAAMBIA WAMTOE WAWEKE MWENYE UWEZO INAINGIA AKILINI HII??? KWANINI MSITUMIE UDHAIFU HUO KAMA KWELI UPO KUJENGA TIMU YENU ISHINDE???? BADALA YAKE UZOEFU UNAONYESHA HUWA INATUMIKA NGUVU KUBWA KUTAKA MCHEZAJI MWENYE MADHARA KWENU ASICHEZE ILI MCHEZO UWAENDEE AFADHALI... UKIONA MATUSI NA VISHAWIWSHI KUJARIBU KUONYESHA NAPE ANAVYOVURUGA UTADHANI WANA MAPENZI YA DHATI NA CCM.. CHANGAMOTO KWENU KAMA NI WA KWELI NYAMAZENI TUMIENI UDHAIFU HUO KUVIJENGA VYAMA VYENU NA KUBOMOA CCM... VINGINEVYO HAMNA TOFAUTI NA MACHOZI YA MAMBA ....

sasa ndio nimemini wewe una title ya MC wa sherehe watoto wa mjini wanaita Msema chochote au ukienda mbali zaidi mropokaji, kwa akili zako finyu ulizopata Nsumba sec. unadhani wote tunafurahishwa na upupu unaoropoka kila ukiwa kwenye media.

wewe zinakufaa harusi, vipaimara na sherehe za uswahilini ukawe MC maana sioni tofauti kati ya MC na wewe Nape, unajiabisha sana kijana wangu
.
 
Wanajamvi,
USHABIKI MWINGINE MATATIZO SANA! MATUSI YANAYOSEMWA HAPA KISA NI KIMOJA TU CDM WAMAUMIZWA NA AINA YA SIASA NINAYOENDESHA BASI! HIVI MNACHEZA MPIRA TIMU PINZANI INAWEKA MCHEZAJI ASIYEKUWA NA UWEZO KABISA HALAFU NYIE MNAANZA KUWAAMBIA WAMTOE WAWEKE MWENYE UWEZO INAINGIA AKILINI HII??? KWANINI MSITUMIE UDHAIFU HUO KAMA KWELI UPO KUJENGA TIMU YENU ISHINDE???? BADALA YAKE UZOEFU UNAONYESHA HUWA INATUMIKA NGUVU KUBWA KUTAKA MCHEZAJI MWENYE MADHARA KWENU ASICHEZE ILI MCHEZO UWAENDEE AFADHALI... UKIONA MATUSI NA VISHAWIWSHI KUJARIBU KUONYESHA NAPE ANAVYOVURUGA UTADHANI WANA MAPENZI YA DHATI NA CCM.. CHANGAMOTO KWENU KAMA NI WA KWELI NYAMAZENI TUMIENI UDHAIFU HUO KUVIJENGA VYAMA VYENU NA KUBOMOA CCM... VINGINEVYO HAMNA TOFAUTI NA MACHOZI YA MAMBA ....

lakini ndugu yangu Nape kwa nini umekuwa mropokaji sana?hivi haujui vijana ndo wenye maamuzi makubwa 2015,kwa akili ya kawaida tu ungejiuliza kwa nini katika miezi 11 ushindi wenu umeporomoka kwa kura 10,000?Tangu uwe katibu umeanza kutumia akili za mwenyekiti wako aliyesema hajui kwa nini Tz ni maskini...kijana nakutabiria mwisho wako kisiasa.....au kujipodoa nako kumechangia kuporomoka kwa uwezo wako wa kufikiri?
 
Nape,
tafadhali, weka huo upupu wako kwenye lower case.
Kwa nini unatumia capitals kwenye mabandiko yako?!
 
Wanajamvi,
USHABIKI MWINGINE MATATIZO SANA! MATUSI YANAYOSEMWA HAPA KISA NI KIMOJA TU CDM WAMAUMIZWA NA AINA YA SIASA NINAYOENDESHA BASI! HIVI MNACHEZA MPIRA TIMU PINZANI INAWEKA MCHEZAJI ASIYEKUWA NA UWEZO KABISA HALAFU NYIE MNAANZA KUWAAMBIA WAMTOE WAWEKE MWENYE UWEZO INAINGIA AKILINI HII??? KWANINI MSITUMIE UDHAIFU HUO KAMA KWELI UPO KUJENGA TIMU YENU ISHINDE???? BADALA YAKE UZOEFU UNAONYESHA HUWA INATUMIKA NGUVU KUBWA KUTAKA MCHEZAJI MWENYE MADHARA KWENU ASICHEZE ILI MCHEZO UWAENDEE AFADHALI... UKIONA MATUSI NA VISHAWIWSHI KUJARIBU KUONYESHA NAPE ANAVYOVURUGA UTADHANI WANA MAPENZI YA DHATI NA CCM.. CHANGAMOTO KWENU KAMA NI WA KWELI NYAMAZENI TUMIENI UDHAIFU HUO KUVIJENGA VYAMA VYENU NA KUBOMOA CCM... VINGINEVYO HAMNA TOFAUTI NA MACHOZI YA MAMBA ....

QUOTE=Gracious;2618713]Wanajamvi,
Unajua ukiwa unatetea kitu ambacho kimekosa mvuto au hakuna hoja unayoweza kuisimamia kutetea kitu hicho.Itakulazimu kutumia mbinu zingine ambazo hazina mashiko kukitetea kitu hicho.CCM Haina mvuto na wameishiwa sera za kuwashawishi wananchi.Hata kama ungekua na Phd lazima tu utaanza kuwa mropokaji.Kwani mnamuonaje yule mzee mkama,i thought is the smart guy,lakini amekuwa Kiongozi wa ngazi za juu CCM kwa takribani mwaka mmoja tu lakini mmeona jinsi nanavyoropoka.

Janga kubwa liko kwa huyu kijana Nape,Inadhaniwa kwamba vijana wana fikra mpya.Lakini huyu jamaa wa CCM ameprove wrong.Anachojua Nape ni taarab.Siku moja alisema kwamba ataimba taarabu zake kwa sana ilimradi tu awakere CHADEMA.Kijana ukibehave kama Nape ujanani,uzeeni utakuwa mchawi.
[/QUOTE]
Ulishakaikana kwamba hii ID siyo yako...unatafuta nini humu???inabidi uwaombe kwanza wanajamvi kwa kucheza na akili zao.
 
Hivi ushindi wa CCM Igunga nao unasherehekewa, mi nilidhani CCM wangekuwa bize kurudisha ushawishi kwa wanaigunga,kupoteza kura 23000 kwa chama amabacho hakikuwa hata na mwenyekiti wa mtaa,si jambo la kusherehekea, anyway kwa vile ccm inaishiria sishangai,
Kweli sikio la kufa
Katibu mwenezi!
 
Back
Top Bottom