Nape: Wapinzani ni failures!

Mie naunga mkono hoja,tena kwa asilimia mia!!!

Nape nashukuru umeliona hili mapema!!CCM wapinzani wa Chadema ni failures!!!
Hata sisi tumejionea wenyewe Arusha,Mwanza,Mbeya na bado twazidi kujionea Chama Cha Upinzani CCM kinavyofail!!
 
Tatizo la Nape na team yake ni kutojua wanatakiwa kufanya nini! Kwa nini Nape hataki kuongelea ukubwa wa baraza la Mawaziri? Nani atagharamia baraza kubwa kuliko hata la Marekani? Badala ya kufuatilia nani anasema nini Nape angefanya la maana kutuleza ni nini umuhimu wa wizara isiyokuwa na kazi maalum nini?
 
Nape Nnauye, kupitia taarifa ya habari Chanel 10 anadai wote walioanzisha vyama pinzani wametoka CCM na kwamba walikuwa failures kule(watu walioshindwa kufuata taratibu ndani ya CCM, wamezoea vya kunyonga!)
Swali kwake:
Alipoenda kuanzisha CCJ, alikuwa winner?

si ndio hapo huyu jamaa ndio tu anayekosekana pale CDM...imagine uwe na team ya zitto, nape na vijana wengine wenye nguvu kisiasa..CDM mkichukua nchi mumchukue na huyu dogo!!
 
Kweli ukitaka kumjua mtu mpe madaraka, enzi hizo kabla Nape akipambana kule UVCCM nilikuwa naamini kabisa jamaa kichwa, kumbe maskini ya Mungu, huyu jamaa si Riziki kabisa!
 
Sio failures bali ni wale wenye akili sana walionyimwa nafasi kwa vile hawakuwa wametokea katika familia za viongozi. Hata sasa ukiangalia sana wakuu wa mikoa, wilaya, na mawaziri utakuta majina yaleyale ya zamani yanaendelea mfano Gama, Mwinyi, Makamba, Kawawa, Nnauye, Karume, Mongela, Msuya, Nyambubi, NK, Vilevile kuna wengine wamepewa post kwa vile tu wameoa katika familia za viongozi wa kitaifa mfano, ni Siyoi Sumari alivyopigiwa debe na waziri mkuu mstaafu. kwa hiyo wale ambao hawana God father inabidi watafute njia ya kuweza kuonesha uwezo wao.
 
Well said, wape wape hao vilaza vidonge vyao. Leo nimeamini kwa mara nyingine kuwa Nape mwana wa Nnauye ni jembe.."WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
ari_mpya_nguvu_mpya.jpg
hospitali.jpg
 
Ni waganga njaa tu mkuu,
hata Nape anatafuta tu pesa za wizi hapo ccm,
kuna wakati atarudi kwenye chama chake na dr. mwakyembe, mzee wa kongwa
na wengineo mkuu.

Ukiona kijana wa kizazi hiki bado yuko CCM mtazame kwa makini utagundua mengi
 
NAPE Yuko sahihi tena sahihi kabisa! Pia napenda kuwaambia wana CDM wanajidanganya sana kwa kufikilia kuwa sisi vijana wote tunakipenda chama chao cha CDM.Sisi tuko CCM na tutaendelea kuwa CCM milele yote.Kwani CCM ina sera nzuri zenye manufaa kwa Taifa letu kuliko hicho chama cha ukanda.
 
MAKAMU WA RAIS ZANZIBAR MAALIM SEIF FAILURE?kwa nini amepewa cheo kikubwa hivyo ndani ya serikali ya ccm?
 
Back
Top Bottom