Nape waombe radhi serikali ya mapinduzi Zanzibar, adai Seif alikubali muafaka sababu ya njaa zake!

Na Mrema naye pamoja na kujipendekeza kwa Magamba amepewa dongo la ukweli,nadhani Nape amechukua kitengo cha Tambwe Hiza.
 
Nape awe anapima kauli zake. Halafu sijui ana matatizo gani na Maalim Seif kwani hata siku ya uzinduzi wa kampeni za diwani wa kata ya Kinyerezi Dar, alimpaka Seif na kusema mafao ya Uwaziri kiongozi aliyokuwa amenyimwa kupewa yamesababisha akubali serikali ya umoja wa kitaifa. Akaendelea mbele zaidi kusema ni njaa zimemfanya akubali muafaka.

Nilikuwepo kwenye kampeni hizo na nikasema laiti waandishi wa habari wangelikuwepo siku ile ile, mgogoro ungeibuka hata kabla ya uchaguzi kufanyika. Nape alikuwa ndiye kiongozi wa juu wa CCM kwa siku hiyo aliyekuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa kampeni zile, zilizofanyika viwanja vilivyo mkabala na shule ya msingi kinyerezi.
 
Kwa hali hii, Nape asome Zaburi 141:2-3 Isemayo BWANA Mungu ninakuomba uweke mlinzi kinywani mwangu, mngojezi katika midomo yangu.
 
Nape alikuwa ana "joke" kiutani tu. Mbona wachora katuni wakiwa "sannif" viongozi inakuwa hakuna ubaya?

Mafataani ndio wanayakuza haya.

Maalim ni mwana siasa na kiongozi mzoefu na haya anayajua kuwa ni majungu. Wala hatetereki.
 
cuf watakoma kuungana na wendawazimu hawajui yupi rafki na yp adui,hata mrema ameipata fresh.Chama cha fitina na makundi!
 
Background yake ipo je? Labda anatakiwa afanyiwe psychology evaluation.

Sure this boy he need that .Lakini hii ndiyo CCM ilivyo kupotosha na kukashifu kwani wana sera kweli wale Jamaa? Wadharaulika mno .Ukimuona kijana huko basi ujue nate kesha pata urefu wa kamba yake .Yule dogo mtupu mno .
 
Kama Nape angelikuwa ni ujauzito basi mamaake angetakiwa kubaki wadini mpaka ajifungue maana yawezekana ama mtoto akamuua mama ama mama kumuua mtoto akiwa tumboni...ishu itakuja atakapoambiwa naye ajivue gamba sijuhi atarudi ccj ama itakuwaje,ngoja tuone!
 
Nape alikuwa ana "joke" kiutani tu. Mbona wachora katuni wakiwa "sannif" viongozi inakuwa hakuna ubaya?

Mafataani ndio wanayakuza haya.

Maalim ni mwana siasa na kiongozi mzoefu na haya anayajua kuwa ni majungu. Wala hatetereki.
Hivi mchora katuni na mwanasiasa si ni picha 2 zinazotofautiana, Gamba na maji unasema hakuna tofauti. Halafu mtoto kumtania mwenye umri kama baba yake ndio siasa? FF unaishi ulimwengu wa kusadikika usimsemee Maalim Seif subiri (makamu wa Rais) tamko lake.
 
Kwani alichokisema Nape kina matatizo gani, si ndiyo ukweli wenyewe, Seif anaongozwa na maslahi binafsi na huo ndio ukweli!!!!!!
 
Kwa hili Nape wala hakukosea. Ni ukweli usiokubalika na pia Seif ni kiongozi wa chama ambaye maamuzi yake ndiyo yanapelekea kuhoja sababu zilizompfanya kufikia muafaka na CCm hali CUF na CCM walikuwa hawana mtazamo sawa katika karibu mambo yote... Ni sababu gani zilimfanya Seif hamad kuweka muafaka na CCM, sasa kama mnalo jibu zuri zaidi ya hilo la Nape ilwekeni hapa...

Pili, jukumu la kujitetea sio la chama kizima cha CUF klwa sababu aliyetuhumiwa ni Seif Hamad na ndiye pekee anaweza kujibu hoja ya Nape sio chama kwa niaba yake wakati hawajui vishawishi vipi walivyotoa CCM hadi wafikie kukubali muafaka ambao unatazama sehemu moja tu ya Jamhuri kiutawala na hakuna sehemu hata moja ya kisheria inayowanufaisha Wazanzibar ktk kuboresha maisha yao..

Zanzibar ni nchi iliyoungana na bara, na wanayo kila haki ya kuendesha shughuli zao za kiutawala kama nchi iliyoungana na bara na hakuna njia (solution) nzuri na pekee ya kuondosha mgogoro uliopo isipokuwa kwa kuunda serikali tatu..Hili ndilo wazo pekee linalokubalika kwa Wazanzibar likiungwa mkono na vyama viwili - CUF na Chadema, hivyo Maalim Seif Hamad na wenzake kwenda nje ya madai hayo na kuunda serikali ya mseto ndani ya serikali mbili ni kinyume kabisa cha matakwa ya wanaCUF hata kama kura za maoni zilipigwa. Kwani hizo kura zilibebwa na makada pamoja na washabiki wengi wa CCM kupitia baraza la mapinduzi, ambao kwao muafaka huu ulikuwa ushindi mkubwa!..wakati kwa wanachama wa CUF muafaka huu ni sawa na mkataba wa Richmond bara!... iweje tusiseme Lowassa hakusukumwa na ulafi, ufisadi na uroho wa madaraka!.
 
Hii ndoa inaelekea kubaya wenzao Zimbabwe wana mpango wa kuitisha uchaguzi mwaka huu Kisa eti Serikali ya mseto haikuundwa iwe ya kudumu Ktk hili CUF wawe makini Serikali za Mseto tunazoiga siyo za milele

Hata kama ni joke huzingatiwa na mtoa wasikilizaji hasa pasa pale inapo karibiana na Ukweli
 
Nape alikuwa ana "joke" kiutani tu. Mbona wachora katuni wakiwa "sannif" viongozi inakuwa hakuna ubaya?

Mafataani ndio wanayakuza haya.

Maalim ni mwana siasa na kiongozi mzoefu na haya anayajua kuwa ni majungu. Wala hatetereki.
.
O.k kumbe siku hizi kwenye siasa kuna utani!kweli hizi siasa mpya za zanzibar sasa zinaamia Tanganyika!!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom