Nape vs UVCCM!

Kwamex

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
378
96
Juzikati UVCCM uongozi walikuwa wanataka Nape hata UNEC avuliwe, leo Nape yupo sekretariet ya CCM...Hivi bila vijoka navyo kuvuliwa magamba si ni kuibuka bifu jingine kiutendaji kat ya Nape na UVCCM.
 
Hata vimijusi navyo wavivue magamba kama wanadhani kuvua gamba ndio nyoka anabadilika na kuwa mamba
 
Nape ni jembe hapa sisiem wameotea sana..wakati uv wanampinga walikuwa hawajui ****** anawaza nini ...ccm bila nape haiwezekani
 
Nyie hamjui tu....tulieni mcheki movie hii

Kuna mwandishi mmoja kwenye Raia Mwema kama sikosei au Mwanahalisi aliwahi kusema kiongozi anaetakiwa CCM ni yule atakaendeleza jadi ya kuwagawa wana-CCM.....Hapa ndipo utakapojua wana-CCM ni machizi

Hii yote ni kumweka kijana kwa kule kuona vijana hawaikubali CCM na kudhani akiwepo mtu wa propaganda toka CCM kijana itasaidia...hiyo ni kwa vijana wa zamani na sio wa sasa
 
Juzikati UVCCM uongozi walikuwa wanataka Nape hata UNEC avuliwe, leo Nape yupo sekretariet ya CCM...Hivi bila vijoka navyo kuvuliwa magamba si ni kuibuka bifu jingine kiutendaji kat ya Nape na UVCCM.

Yaani mimi hapo ndio huwa nachoka na siasa za CCM, ni unafiki-unafiki tu!
 
Hapa Jk anajaribu kucheza na akili za watu espacial Vijana na Wapinga ufisadi waliopo ndani ya Chama na nje ya Chama.Kitendo cha kumpendekeza Nape aingie kwenye Sekretarieti,ni kuangaria upepo wa Siasa unaendaje na Mustakabari wa chama mbeleni.Hataki na hapendi kuona Jumba bovu likimdondokea na lawama zikamvaa yeye kama ndiyo sababu.Jivue gamba,ila Nyoka ni yule yule na sumu iko paleplae,ila kama EL na RA hawataondolewa kwenye Vikao vya juu vya maamuzi vya Ccm,dogo Nape atakuwa kwenye Hali ngumu sana katika utendaji wake wa kazi
 
Back
Top Bottom