NAPE Vs TAMBWE HIZA NNI MBWATUKAJI BORA??

utemi

Senior Member
Mar 27, 2011
167
23
Wana jf kati ya nape na tambwe nani mbwatukaji bora ?

Nisaidieni jamani
 
Mh Nape ndiyo kiboko ksb anatumwa kwenda kuropoka na yeye kwa kujitafutia umaarufu anakwenda kwenda tu. wanazani Zito aliibuka tu kwa kutumwa tumwa Zito ni Kichwa.
 
Tofauti Tambwe hiza anabuni mwenyewe, Nape ni vuvuzela linalopulizwa na watu fulani.
 
Mkuu hii ndiyo problem ya kuwa na wanasiasa uchwara wanaofuata upepo. Kimsingi wote ni humo humo kwa kuanza na Nape siasa ndiyo kazi kwake hana pa kushika zaidi ya hapo. Siasa ikimtupa leo sijui atajiweka wapi na hii ni kwa wale wote vijana waliotupa proffession zao bila kuzitumia hata chembe kujipatia uzoefu, kwa mazingira hayo kununuliwa kutumwa na kufanywa kipaza sauti cha wajanja ni lazima. Tena sifa nyingine kubwa kwa wote ni kusema bila kutafakari, wanadhani kwa kusema fulani ni fisadi ni swala la mchezo. Wanakopa agenda na kuzileta kwa wananchi kishabiki shabiki tu utadhani ni wakati wa kusutana.Kijani ooooooooooooooooooooooooooooooovyo kweli kweli manake hizo zote zishakuwa sera za uma na kijiko na si jeeeeeee.........na nyu...............
 
Mh Nape ndiyo kiboko ksb anatumwa kwenda kuropoka na yeye kwa kujitafutia umaarufu anakwenda kwenda tu. wanazani Zito aliibuka tu kwa kutumwa tumwa Zito ni Kichwa.

Hivi wewe unamfahamu NGIRI mnyama? anatofauti gani na NGURUWE? Tambwe hiza na Nape ni sawa na Ngiri na Nguruwe. Yaani walitoa ngiri wakaingiza nguruwe (No difference).
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom