Nape vs mnyika

Wa kusoma

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
3,454
2,975
CHEKI HIZI STORY WALIZOKUWA WANAPIGA NAPE NA MNYIKA WALIPOKUTANA MSIBANI JUZI

"Nape:We dogo hivi kwa nini Hukuniachia jimbo la ubungo?"
Mnyika:Kwani mimi? si Mwenyekiti wenu akamweka yule mama?

Nape:Halaf mkanibania kujiunga kwenu....

Mnyika:Ujiunge ili ugombee ubungo....!kwani mie sitaki ubunge?

Nape:Anyway....!nikitaka kujiunga CDM inakuwaje??

Mnyika:Acha tamaa dogo,kwanza we si ulipewa u-DC Masasi? na huku unataka,Katibu mwenezi wewe,gamba wewe,CCJ wewe...! duh ndo maana wenzio wanakuita rafiki wa David Cameroon

Nape:Naona umeanza kuingia mpaka ndani,utavimba si muda dogo.......

Mnyika:Fisadi tu weweeeeeeeee......................
 
Nape:...aisee mnatupeleka peleka.

JJ:...acheni uoga, mnakuwa kama hamjui siasa bwana!

Nape:...ila mmetukubali kiana.

JJ:...¨ªla chai ya ikulu tamuu...

Nape:...hahahaaa, karibuni tena

JJ:...ngoja nionge na mwenyekiti tutafute sababu, he! Umehamia VETA?

Nape:...umenichoka ee...

Nape: Mnyika unajua CCM wasingefanya uhuni na wakanipitisha kugombea ubunge ningekushinda jimbo la Ubungo?

Mnyika: Wewe acha hizo, wakati mimi nilikuwa na nguvu ya umma!

Nape: Mbona vijana wote wa Ubungo nilisha wateka na kuwaahidi maisha bora?

Mnyika: Vijana wa Ubungo sio kama wa majimbo mengine, hawadanganyiki.

NAPE. nimejaribu kuwafanya watanzania wanielewe ila sijafanikiwa ndipo nikagundua hizi pamba mnazopiga ndizo wabongo wanazizimia,sasa ngoja nipige kama wewe.
MNYIKA.kweli? ndivyo akili yako imekuambia?jaribu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom