Nape upo wapi wiki nzima? Huko site mzee kapigwa ngumi chini ya mkanda!

Acha apigwe tu, si aliyataka mwenyewe. Sasa mnataka mie nimsaidieje? Aliyavulia nguo, sasa ayaoge.
 
Kamuachia PONO Wasira anahangaika hadi kutokwa na mapovu huko Arumeru wakati yeye ni kijana anayetakiwa kukibeba chama. Au Mzee wa nywele nyeupe kampiga stop tena?? Nape uanamume ni kuingia vitani, tena front na sio kushinda JF na I'd ZAKO 10 unapima upepo umekaaje nenda Arumeru dogo
 
Usiende Nape, tena usiende kabisaa.
Wao si walidhani hela zitawapa ushindi? Wao si waliona wewe una wivu na huyo jamaa yao Asiyeoa? Si uliwakanya mapema lakini hawakusikia? Si walikuona wewe,Magesa na Chitanda mabwege wakapitisha mtu wao?
We usiende, waache wacheze ngoma yao, utawezaje kucheza mapigo ya ngoma usiyoijua? Acha wafanye siasa za kumchafua Vicent badala ya kunadi sera.
All in all nakushauri USIENDE, usijepata aibu itakayowakumba Aprili mosi.
 
vipi baba Nape? njoo uwasaidie wenzako huku meru kwani wamezidiwa na makamanda huku.
 
Nape hawezi kwenda AR ana sababu nyingi za justify kutokwenda kwake ni kama amepata loop hole ya kukwepa aibu watakayoipata wenzake. Lakini kama anataka aende wakagawane aibu ana uhuru huo.
 
Nape yupo Morogoro, EDO amempa kazi ya kufanya kule ili asikanyage Arumeru
 
Nape yupo Morogoro, EDO amempa kazi ya kufanya kule ili asikanyage Arumeru

Yupo Dodoma makao makuu anamnadi mgombea udiwani!! Hawezi kwenda Arusha akilogwa tu kukanyaga kule watamMWAKYEMBE!!
 
Back
Top Bottom