Nape unatumikisha watoto kwa ajiri ya chama? Poleni ccm

andrews

JF-Expert Member
Mar 28, 2012
1,679
152
13.jpg
 
kushinda kunapokaribiwa kushindwa wahusika hujitahidi kutumia kila namna kuonekana kuwa wanakaribia kushinda ili hali kiukweli ni kwamba wanashindwa.
Leteni hata wabibi kwenye gwaride ila ukweli utabaki palepale.
 
Hawa chichiem! Wamemshika yule mnyama Mbogo pabaya!


Hata wangewaleta vibabu! Hakuna mtu wa kudanganyika kamwe!
 
Watoto wao wako darasani kwenye shule za Saints Saints, hawa wa walalahoi wanaokaa chini sio tu wanasoma kwenye mazingira magumu lakini bado hawaachwi wakaa darasani - wanawekwa kwenye jua kuwambia wakubwa! Kuna uonevu zaidi ya huu? Mtoto wa maskini hana lake nchi hii.
 
Hii inanikumbusha enzi za zamani sana za Chipukizi. Kuna mtu anaitwa Cosmas Kasangani, yule alikuwa mmoja wa mashahidi kwenye kesi ya ubunge ya Tundu Lissu. Huyu jamaa kaanza long time alikuwa kinara wa kunoa watoto kucheza magwaride ya CCM. Jamaa alikuwa mwalimu wa shule ya msingi Isike pale Tabora ila alikuwa ni trainer mzuri sana wa chipukizi. Ila baada ya kuanzishwa sheria ya vyama vingi ilikubalika kuwa sasa watoto wa mashuleni waachwe wasome. Sasa sijui hawa watoto Nape kawatoa wapi?, je kila chama kikiwa na vijana wake kama hawa tutajenga taifa la aina gani?. Siasa tuwaachie watu walifikia umri wa kuwa na utashi wa kuamua sasa.
 
Teeh teeh teeh! Bongoland lazima utumie ubongo. Nyie wakubwa mngeitwa kuja kumpokea mngejitokeza? Jibu liko wazi, yanini mtu apate kashfa ya wananchi kutojitokeza kumpokea Mh.N??.Ita watoto ili wapambe mapokezi, halafu inakuwa asubuhi inakuwa jioni siku imekwisha.
 
Back
Top Bottom