NAPE: Tumetuma Vijana wapeleke mashambulizi mitandao ya kijamii

CCM kujivua magamba alisema Shibuda na kuhoji tangu lini kanzu jeupe likafuliwa kwa sabuni ya mkaa?
 
Kwakweli Nape should be ashamed of himself. Jana ameanzisha thread "Naipenda JF" imekua moved (not sure where). Analalamika watu wanatumia matusi kuchangia. Well, vijana aliowatuma huku hawana lugha hata kidogo. Yaani mtu hawezi kuandika sentensi bila tusi. Sasa yeye analalamika nini oh oh nilifikiri JF ni great thinkers etc. Wewe una-recruit vijana wenye upeo mdogo then wanashindwa hoja wanatukana wewe unalalamika nini? Halafu anakataa hajafanya hivyo, wakati vijana wenyewe hawakanushi chochote. Kwakweli this is an insult kwa JF na wote wasiopenda kupoteza muda wakubishana na hawa watu. The guy has zero credibility. Nachukia nikiona watu waliopata nafasi za kusaidia vijana wengine wanageuka kuwa insult kwa jamii. Nikuulize wewe Nape: hao vijana wa CCM unawajenga au unawabomoa? Matusi sio soln lazima uwe na akili yakujenga hoja. The only investment hao vijana wanaweza kujivunia ni elimu tu, kama hana uwezo wakujieleza kwenye ulimwengu wa leo, vyeti na vyeo ndani ya chama haviwasaidii chochote. Get real Man!
 
Nape mbona hasemi kwa nini ccm walikimbia midahalo? Yuko tayari kuanzisha midahalo live kwenye tv?
 
Ni mawazo ya mtu ambaye hajaenda shule ,awaambie pia kuwa wawe tayari kuvumilia hoja wasije kuanza kutukana watu,ndio maana wanapita vyuoni na kugawa fedha zetu ili zitumike kwenye mitandao .huu ni ufisadi mwingine,hivi ccm watu wenye busara wameisha?kwa mtindo huu tz hakuna maendeleo,poleni mnaotumiwa
 
Hivi ana fikiri vijana wenye akili wanadanganywa kwa kanga na tshirts? Awalete tu ila wafuate mashariti ya forums hasa jf, wakija vibaya wanakula ban tu!
 
kina komredi ngosha? Wee! Thubutu, mimi sio malaya wa siasa, ccm ilishanitoka moyoni nikaipa taraka. Niko na kimwana kipya, kinaitwa chadema. Mtoto kila siku anazidi kupendeza, tangu nimuoe mwaka jana september ni raha tu mpaka najilaumu nilikua wapi kumpata mapema nikapoteza muda wangu na nungayembe ccm! Mwaka 2015 tutapata mtoto wetu wa kwanza.
 
Wanaonyesha jinsi gani walivyo mamluki na wasio itakia mema nchi badala wasimame kwenye kasoro na kuzfanyia kaz kwa umakini wanaleta upumb*vu,wajarbu kujiulza ni kitu gani klchofanya wachukiwe na vijana
 
Ndio maana facebook nayo imevamiwa kila kukicha ni page mpya za mh mwenyekiti wa chama
 
vv
Kwa hiyo na wewe wataka kusema mtandao wa J*F ni wa Chama cha Demokaya na Magwanda ?

mh. waziri wa mambo ya hovyo hovyo..... ahsante kwa majibu yako mazuri ya swali la nyongeza

JF ni mtandao wva watanzania wenye mapenzi mema na nchi yao na waliochoka kukandamizwa na kunyimwa maendeleo na serikali ya chama tawala .... hawa pia huto matumaini kwa watanzania wengi walio katika maisha duni na kutetea haki zao

kwa hivyo basi inawezekana kabisa wengi wao ni wana CDM .... nadhani umejijibu swali lako mwenyewe
 
Mbona tunao humu toka mwaka jana, hawa wanakundi lao lianaitwa vijana zaidi ambalo lilikuwa linaratibiwa na Abrahaman Kinana, kiongozi wao ni Miraji Kikwete na ofisi zao zipo upanga.
Kwa taarifa nilizonazo sasa hivi kundi hili linaelekea kusambaratika maana waliahidiwa ajira baada ya uchaguzi lakini mpaka leo hamna kitu, ila hata Kinana amewashtukia kwamba hakuna walichoisaidia ccm zaidi ya kula pesa na kutembelea magari ya kifahari huku fuko la pesa likiwa linashikiliwa na Miraji Jakaya Kikwete.
Kimsingi walishafeli ndio maana utashangaa mtu kutwa mzima yupo JF wakati hata Invisible mwenyewe anakuwa offline ukweli tasimama kuwa ukweli daima mkitaka majina yao halisi zaidi niwashushia hapa hapa nafahamu wengi wao na nimeshaingia mpaka ofisini kwao. huwa lazima kuwe na shifti ya vijana kati ya wawili mpaka wanne.
 
Its very difficult to stand for what you dont believe in.most of them,wale walotumwa na nape ni waathirika wa sera zilizoshndwa za ccm,watashindwa hatimaye...
 
Mbona tunao humu toka mwaka jana, hawa wanakundi lao lianaitwa vijana zaidi ambalo lilikuwa linaratibiwa na Abrahaman Kinana, kiongozi wao ni Miraji Kikwete na ofisi zao zipo upanga.
Kwa taarifa nilizonazo sasa hivi kundi hili linaelekea kusambaratika maana waliahidiwa ajira baada ya uchaguzi lakini mpaka leo hamna kitu, ila hata Kinana amewashtukia kwamba hakuna walichoisaidia ccm zaidi ya kula pesa na kutembelea magari ya kifahari huku fuko la pesa likiwa linashikiliwa na Miraji Jakaya Kikwete.
Kimsingi walishafeli ndio maana utashangaa mtu kutwa mzima yupo JF wakati hata Invisible mwenyewe anakuwa offline ukweli tasimama kuwa ukweli daima mkitaka majina yao halisi zaidi niwashushia hapa hapa nafahamu wengi wao na nimeshaingia mpaka ofisini kwao. huwa lazima kuwe na shifti ya vijana kati ya wawili mpaka wanne.

tuanzishie list yao mkuu,tutaongezea
 
Wasilete mashambulizi wambie wakathiliwe magamba ndo waje kuleta mashambulizi
 
Hee yani nimesoma post zote sijamuona malaria sugu,faizafoxy,salimia,john marwa,gamba jipya ila kuna mwenzao mmoja anajaribu kujitutumua thinktwice. Huyu nadhan aendan na jina lake analotumia humu jf.yan ameshindwa kuthink twice kabla ya kununuliwa na diaper oh sory namaanisha nepi. Hapa jf lazima watakimbia tu.
 
Back
Top Bottom