Atuambie maana ya uchaguzi! yeye kajuaje wameshinda,mi naomba cdm wajiandae kuwapeleka magamba mahakamani kwa sababu inaonekana wamesha panga matokeo kabla ya uchaguziAkiongea na Wapo radio jioni hii Nape anasema wamesha shinda Arumeru kwa kishindo kwani wana madiwani kata zote 17 kwa hiyo wameshinda kwa kishindo wanasubiri kutangazwa tu washindi.
Anasema CHADEMA wanajifariji kushindwa na wamesha shindwa vibaya CCM imeshinda kwa kishindo
Kweli hayo ni makalio, kwani kura zitapigwa na hao madiwani 17 basi?Akiongea na Wapo radio jioni hii Nape anasema wamesha shinda Arumeru kwa kishindo kwani wana madiwani kata zote 17 kwa hiyo wameshinda kwa kishindo wanasubiri kutangazwa tu washindi.
Kweli hayo ni makalio, kwani kura zitapigwa na hao madiwani 17 basi?
Akiongea na Wapo radio jioni hii Nape anasema wamesha shinda Arumeru kwa kishindo kwani wana madiwani kata zote 17 kwa hiyo wameshinda kwa kishindo wanasubiri kutangazwa tu washindi.