Nape, toa tamko kama mara ya kwanza kuhusu kada wa chama kuhusishwa na mauaji ya Arumeru

UNANISHANGAZA SANA TUNATAKA KUJUA MAUAJI HAYA YAMESABABISHWA NA NINI NA NI KWA NINI CHAMA KILICHOKO MADARAKANI NDO KINACHOTAKIWA KUJIBU UMMA. WEWE YAANI UNACHEZA NA ROHO ZA WATU IVI UKAAMKA UKAKUTA MKEO AU MTOTO WAKO AMEKUFA AMEKATWAKATWA UTAFANYAJE? IVI UNAJUA ALIYEKUFA AMEACHA WATOTO NA MKE? SASA HAWA WATOTO WALIKUWA WANAMTEGEME BABA YAO ASILIMIA 100 MTOT MWENYE UMRI WA MIAKA 2 AU 10 INAKUAJE? iVI UNAJUA TUNAVOTAFUTA SOLUTION ALAFU WEWE UNATETEA KWA SABABU YA MASLAHI YAKO INAKUWA SIO VIZURI MBELE YA MUNGU? NADHANI KWA MAADA ILIYO SERIOUS KAMA HII NI VIZURI NA WEWE UKAONYESHA MASIKITIKO KWA MTU KUTOLEWA ROHO. VINGINEVYO UNAWEZA KUJIKUTA UKIPATA MIKOSI USIJUE NI KWA NINI. PLEASE BADALA YA WEWE KUWASUPPORT WALIOHUSIKA NI HERI UKAA CHINI KUMWOMBEA MWENZETU HUYU. MUNGU ALITOA MUNGU AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE
Acheni upotoshaji wa kijinga,kwani mwana ccm akifanya jambo anakua katumwa na chama,siasa hizi za chuki hazita tusaidia,nashangaa hata moderator kuacha thread kama hii ambayo inakuza chuki tu!
 
Kusema ukweli hakuna namna ya kuelezea ukatili na unyama huu. Wengi tunaamini kwamba wananyinyiemu walihusika sana kwenye mipango ya mauaji ya mpiganaji wetu. Mungu atalipa hapa hapa duniani na kipigo cha mbwa mwizi ni 2014 na 2015. Mungu ailaze mahala pema peponi roho ya marehemu.
 
wahalifu wahusika wa tukio hili wasingekamatwa iwapo wananchi wasingetishia kuteketeza familia za wahusika
 
Heri kufa kwa kuchinjwa kuliko kufa ukiinyenyekea ccm!.

Wa Tanzania msiogope
mungu anatarajia kuwaadhibu kwa dhambi hii ya kuuwa. Ole wenu ccm.
 
Acheni upotoshaji wa kijinga,kwani mwana ccm akifanya jambo anakua katumwa na chama,siasa hizi za chuki hazita tusaidia,nashangaa hata moderator kuacha thread kama hii ambayo inakuza chuki tu!

Mkuu thread hizi za siku hizi nyingi humu ni kama hizi, no thinking, no proof, no argument, no..nothing!!! angalia wachangiaji sasa , ndio utalia

shule za kata zimeharibu vijana wetu!! so so sad!
 
Back
Top Bottom