Nape: Sikuwahi sema kuwa Mafisadi wataondolewa CCM baada ya siku 90

Status
Not open for further replies.
ama kweli kijana umelevywa na u-ccm
nilijiuliza apa juzi ivi ile kauli ya "siku 90" mbona kimya?tena mlivyo waoga hata maija mnaogopa kuyataja what a shameful tanzanian?na unajiita mtetezi wa wanyonge?ccm imeshindwa kuwashughulikia mafisadi sugu na wezi wa mali za umma siku zote izo!adi leo miaka 50 na mnasema mmetutoa mbali?ya wapi iyo mbali na tuonyeshe unafuu wa maisha ambayo mtanzania wa kawaida anayo seriously-ili japo kidogo tukubaliane nawe....ungekua kijana makini angalau tujivunie wachache mliopo ccm wenye uchungu wa nchi ungeanika apa kesi nzito zilizohujumu maisha yetu na rasilimali zetu na zimefikia wapi kushughulikiwa ningekuelewa.Unapokuja apa na kujitetea na hao wezi wenu unazidi kujishusha na unatuboa sana.
kijana usitufanye watoto hapa. (eti "WAHUSIKA" my foot)
mna siasa chafu sana na kebehi na majivuno mazito sana,na mmejisahau kama sie raia ndio tunawalipa na mnatakiwa kukutumikia.uvccm ni tawi lililojaa kuwekana na watoto wa watawala ndio wanataka kushika usukani why???(wachache ccm walio na uchungu wa nchi)
 
vijana wa magamba mpo wapi leo au mpo kwenye semina elekezi ya kujibu mapigo JF ?????? mpk sasa nimeona gamba moja tu Ladslaus Modest
 
SI swala la kudai wala vikao kuamua upya bali vikao VILISHAFANYA UAMUZI NA UAMUZI NI WAJIPIME NA KUONDOKA WENYEWE WASIPOFANYA WATAFUKUZWA NA CHAMA.

SWALA LA LINI NI PERIOD KUTOKA KIKAO KILICHOPITA CHA NEC MPAKA KIKAO KIJACHO CHA NEC, AMBACHO KWA MUJIBU WA KATIBA HUWA KINAKUTANA KILA BAADA YA MIEZI MINNE. Lakini SI LAZIMA IWE MIEZI MINNE KAMILI,KATIBA YA CCM INARUHUSU KUWA NA VIKAO MAALUMU KATIKATI KABLA YA MUDA HUO,HIVYO NEC INAWEZA KUKUTANA KABLA YA MIEZI HIYO KATIKATI KAMA ITAONEKANA IPO HAJA. NA INWEZA IKAKUTANA BAADA YA MIEZI MINNE KUTOKANA NA MAZINGIRA,KWA MFANO NAFASI YA MKITI KAMA IMEBANA TUNAWEZA KUSOGEZA MBELE SO SI SWALA LA SIKU EXACTLY.

ANGALIA HATA BUNGE KUNA MUDA UMEPANGWA LAKINI LINAWEZASOGEZA SIKU ZA KUANZA AU KUMALIZA KUTEGEMEANA NA HAJA YA KUFANYA HIVYO.

Kikubwa hapa NI KUWA WAHUSIKA WAMEITWA NA KUJULISHWA UAMUZI WA NEC NA KUWA UPO MUDA WA WAO KUTEKELEZA WASIPOFANYA KIKAO KIJACHO CHA NEC NI KUWASILISHA RIPOTI YA UTEKELEZAJI WA MAAMUZI ITAKAYO ONYESHA IMETEKELEZWA KWA KIASI GANI NA KUTEKELEZA SEHEMU YA PILI YA UAMUZI.

KUMBUKA ILISEMWA HAPA JF KUWA UAMUZI HUU HAUTATEKELEZWA NA KUWA HAYO YALIKUWA MANENO (yalitumika maneno makali, machafu) YA NAPE NA CHILIGATI SI UAMUZI WA CHAMA, AKATOKA DR. KIKWETE MWENYEKITI WA CHAMA AKASEMA PALE DIAMOND ALIPOONGEA NA MAASKOFU KUWA ANACHOSEMA NAPE NI UAMUZI HALALI WA CHAMA, WATU WAKAFUMBA MACHO NA MASIKIO NA KUENDELEA KUDAI NI YA NAPE NA KUWA WATUHUMIWA HAWATACHUKULIWA HATUA ZOZOTE HATA KUJULISHWA TU. WAMEITWA NA KUPEWAA UAMUZI WA NEC, WATU WAKAKIMBIA JF, HATA WALE WALIONITUKANA NILIDHANI WATARUDI KUPONGEZA HATUA ILIYOFIKIWA, SIKUWAONA.

NINACHOWEZA KUHAKIKISHIA HAPA UAMUZI HUU WA KUWAWAJIBISHA BAADHI YA WATUHUMIWA HAUTABADILISHWA KWA KELELE ZA BARABARANI NA SARAKASI ZA WATUHUMIWA, TUMETHUBUTU KUAMUA, TUTATEKELEZA MAAMUZI.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.
Weeee Nape stop lying, hakuna mwenye kichwa cha kuku hapa JF, we have non volatile memory, na stop talking to us here as if upo Lindi vijijini, tuliza ball tukuchane, ni ww tena muongo mkubwa ulisema wataondoka, tena ndiye uliyekuwa mkali.

Ulikuwa hujawajua Lowassa, Rostam, now unatafuta pa kutokea, that's why politics here Tz is not a professional, juzi tu ulisema wataondoka leo unageuka? Come on Nape, shame on you, uliingia ktk movies usiyoweza kucheza, hata sasa naona KITAMBI hichooo, when i see ur face najua 100% unaanza na uongo most of the time.

You are not composed, majibu yako mengi ya viroja huna hoja, master of spinning, but don't come here dirty like this, nenda kule mitaani na vijijini, come clean buddy here JF, stop meandering, be straight, stop ukinyonga, get out of kitchen if you won't sustain the heat, uongo mbaya, usituletee mazingaombwe, Nape are u kidding.!!? cheating...!!!? cleaning up..!!? popping up...!!? which is which.!? What is what.!?

Nikufuhamishe kidogo, ' Silent' is the BEST art of conversation, huna la maana keep shut, ur too emotional on talking but motionless on acts, usirudi tena hapa JF kutuhadaa, Gafternoon Nape....!! Get me buddy
 
SI swala la kudai wala vikao kuamua upya bali vikao VILISHAFANYA UAMUZI NA UAMUZI NI WAJIPIME NA KUONDOKA WENYEWE WASIPOFANYA WATAFUKUZWA NA CHAMA.

SWALA LA LINI NI PERIOD KUTOKA KIKAO KILICHOPITA CHA NEC MPAKA KIKAO KIJACHO CHA NEC, AMBACHO KWA MUJIBU WA KATIBA HUWA KINAKUTANA KILA BAADA YA MIEZI MINNE. Lakini SI LAZIMA IWE MIEZI MINNE KAMILI,KATIBA YA CCM INARUHUSU KUWA NA VIKAO MAALUMU KATIKATI KABLA YA MUDA HUO,HIVYO NEC INAWEZA KUKUTANA KABLA YA MIEZI HIYO KATIKATI KAMA ITAONEKANA IPO HAJA. NA INWEZA IKAKUTANA BAADA YA MIEZI MINNE KUTOKANA NA MAZINGIRA,KWA MFANO NAFASI YA MKITI KAMA IMEBANA TUNAWEZA KUSOGEZA MBELE SO SI SWALA LA SIKU EXACTLY.

ANGALIA HATA BUNGE KUNA MUDA UMEPANGWA LAKINI LINAWEZASOGEZA SIKU ZA KUANZA AU KUMALIZA KUTEGEMEANA NA HAJA YA KUFANYA HIVYO.

Kikubwa hapa NI KUWA WAHUSIKA WAMEITWA NA KUJULISHWA UAMUZI WA NEC NA KUWA UPO MUDA WA WAO KUTEKELEZA WASIPOFANYA KIKAO KIJACHO CHA NEC NI KUWASILISHA RIPOTI YA UTEKELEZAJI WA MAAMUZI ITAKAYO ONYESHA IMETEKELEZWA KWA KIASI GANI NA KUTEKELEZA SEHEMU YA PILI YA UAMUZI.

KUMBUKA ILISEMWA HAPA JF KUWA UAMUZI HUU HAUTATEKELEZWA NA KUWA HAYO YALIKUWA MANENO (yalitumika maneno makali, machafu) YA NAPE NA CHILIGATI SI UAMUZI WA CHAMA, AKATOKA DR. KIKWETE MWENYEKITI WA CHAMA AKASEMA PALE DIAMOND ALIPOONGEA NA MAASKOFU KUWA ANACHOSEMA NAPE NI UAMUZI HALALI WA CHAMA, WATU WAKAFUMBA MACHO NA MASIKIO NA KUENDELEA KUDAI NI YA NAPE NA KUWA WATUHUMIWA HAWATACHUKULIWA HATUA ZOZOTE HATA KUJULISHWA TU. WAMEITWA NA KUPEWAA UAMUZI WA NEC, WATU WAKAKIMBIA JF, HATA WALE WALIONITUKANA NILIDHANI WATARUDI KUPONGEZA HATUA ILIYOFIKIWA, SIKUWAONA.

NINACHOWEZA KUHAKIKISHIA HAPA UAMUZI HUU WA KUWAWAJIBISHA BAADHI YA WATUHUMIWA HAUTABADILISHWA KWA KELELE ZA BARABARANI NA SARAKASI ZA WATUHUMIWA, TUMETHUBUTU KUAMUA, TUTATEKELEZA MAAMUZI.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.

Dr Nnauye,
Naona bado unafikiria kuwa bunge ni kamati ya CCM vile.......???
 
Nape unafaa sana kuhutubia hao hapo STREET UNIVERSITY kina Shigongo ambao wana upeo kama wako! Nape.jpg
 
Mh Nape, kumbuka ccm ni chama cha wakulima na wafanyakazi hivi ndivyo kilivyokuwa enzi ya mwl nyerere,ingawa ghafla chama hiki kimekuwa chama cha matajiri na kimebadilisha hata mwuundo wake toka ujamaa hadi ubepari.

Mh Nape umetumia nguvu kubwa sana kufanya ziara mikoani ukitangaza maamuzi ya ccm ya kuvua magamba yaani wale viongozi wasio na maadili waondoke.matatizo ya nchi hii ni makubwa sana nasio hao watu watatu mliowalenga, nchi hii ina matatizo ya mfumo wa uongozi kila kitu hakiendi, nianze na machache elimu imeshuka ,uchumi umeanguka kwa sababu ya umeme ,bidhaa zimepanda bei na wananchi wanakula mara moja.

TRA inakusanya fedha nyingi sana na zinahujumiwa kwenye tenda nyingi hewa .Mh nape tumia nguvu kutatua matatizo ya nchi,ili elimu iboreshwe,wafanyakazi waongezwe mishahara,inasikitisha sana kuona mbunge mmoja analipwa milioni 7 na kuna waalimu wapya hawajalipwa mishahara unategemea elimu iboreke
 
si swala la kudai wala vikao kuamua upya bali vikao vilishafanya uamuzi na uamuzi ni wajipime na kuondoka wenyewe wasipofanya watafukuzwa na chama.

Swala la lini ni period kutoka kikao kilichopita cha nec mpaka kikao kijacho cha nec, ambacho kwa mujibu wa katiba huwa kinakutana kila baada ya miezi minne. Lakini si lazima iwe miezi minne kamili,katiba ya ccm inaruhusu kuwa na vikao maalumu katikati kabla ya muda huo,hivyo nec inaweza kukutana kabla ya miezi hiyo katikati kama itaonekana ipo haja. Na inweza ikakutana baada ya miezi minne kutokana na mazingira,kwa mfano nafasi ya mkiti kama imebana tunaweza kusogeza mbele so si swala la siku exactly.

Angalia hata bunge kuna muda umepangwa lakini linawezasogeza siku za kuanza au kumaliza kutegemeana na haja ya kufanya hivyo.

Kikubwa hapa ni kuwa wahusika wameitwa na kujulishwa uamuzi wa nec na kuwa upo muda wa wao kutekeleza wasipofanya kikao kijacho cha nec ni kuwasilisha ripoti ya utekelezaji wa maamuzi itakayo onyesha imetekelezwa kwa kiasi gani na kutekeleza sehemu ya pili ya uamuzi.

Kumbuka ilisemwa hapa jf kuwa uamuzi huu hautatekelezwa na kuwa hayo yalikuwa maneno (yalitumika maneno makali, machafu) ya nape na chiligati si uamuzi wa chama, akatoka dr. Kikwete mwenyekiti wa chama akasema pale diamond alipoongea na maaskofu kuwa anachosema nape ni uamuzi halali wa chama, watu wakafumba macho na masikio na kuendelea kudai ni ya nape na kuwa watuhumiwa hawatachukuliwa hatua zozote hata kujulishwa tu. Wameitwa na kupewaa uamuzi wa nec, watu wakakimbia jf, hata wale walionitukana nilidhani watarudi kupongeza hatua iliyofikiwa, sikuwaona.

Ninachoweza kuhakikishia hapa uamuzi huu wa kuwawajibisha baadhi ya watuhumiwa hautabadilishwa kwa kelele za barabarani na sarakasi za watuhumiwa, tumethubutu kuamua, tutatekeleza maamuzi.

Kidumu chama cha mapinduzi.

nape acha porojo tulikusikia live unasema siku 90 sasa leo unabadili, acha unafiki hapo umeingia choo cha kike. Lowasa na roastam ndio walioweka ccm madarakani sarakasi zote wanazijua.

Kagoda wanaijua na mengine mengi, mzee wa vijisenti alishikilia mpini kwa miaka kumi anajua madudu mengi ndio maana akasema miela yake ni vijisenti kwa sababu anajua wenye mihele wanaotutesa mpaka leo.

Sasa mwageni mboga muone wanaume wanavyomwaga ugali ndio mtajua kifo cha ccm. Usisahau wao ndio wamemtoa mzee wa speed na kuweka kimeo makindai, usisahau hao ndio vinara wa mtandao na wana theluthi mbili ya nec, bunge, usalama na kila kitu wakati nyie mnapiga kelele.

Ushauri wangu kama kuvua gamba kweli wambieni tume wakili walichakachua dr wa ukweli dr slaa atinge ikulu uone mambo. Dr slaa aliwaambia atakula mihogo ikulu achana na anasa za sasa hivi. Dr slaa akiapishwa anaanza na anaemwapisha mwenyewe na magamba yote achana na nyie mnafanya unafiki wa kutoana kafara, hakuna msafi ccm nape wote hamaminiki ndio maana hamuwezi kuchukua hatua.

Watanzania tunamtaka dr slaa huyu mzeeeee ni nyerere namba pili. Aliwatajia list ambayo tunaamini akiingia ikulu anaanza na hiyo list of shame.
 
Kwa hili Nape nakupongeza sana brother this is what most of tanzanians wanataka!! umekuja jamvini na kujibu hoja na kukubali challenges that how great minds are!

Kama alivyofanya Beno wa chadema(alituhumiwa kutoa ruswa na kuondolewa kwenye kinyanganyiro na chama kikisema alifanya kampeni kabla) huo ndio ujana wa sasa tuachane na mazee na fikra zao za kuwa challenges ni ukosefu wa nidhamu na kuchafua mtu, uongozi unahitaji clean people na nikuhakikishie mtu wa mungu utamuona kwa matendo sio kujisemea yeye mwenyewe kama mtu wa mungu bali sisi tukutazamao ndio tutasema yule mtu wa mungu na yule analile ana hili na sio majungu wala kuchafuana bali matendo

Once again big up na kazi ngumu ya kumuondoa EL , RA na AC maana jamaa wapo strong na ww bado mchanga sana kisiasa hivyo uwe makini mno la!! utakufa kifo cha mende maana i can tell you nusu ya ccm ni wanafiki na wanamuunga mkono huyo jamaa EL chini chini.

Siku hazigandi lets wait and see!!
 
Hi wanaJF!

i read this thread in the morning and i was literally melting from anger and i decided not to respond immediately otherwise i could have written things which some of you could have regarded as offensive to Mr. Nape.

As i wrote yesterday, I have been following discussions here in the forum for a couple of yrs without joining actively in the discussions. Before joining the forum i used to skip things i considered not productive by simply not reading now the story is different (unfortunately)!!

MR. Nape, people like you used to be on this globe even when romans where the padrones and you know the described them as people thinking with their feet instead of their brains - caput imperare non pedes. So try to switch on your brain provided you have one and stop letting us puking!!!

People in Tanzania as well as Tanzanians of good will all over are not interested in your empty rhetoric,not at all. When Albert Eistein was astonished by the infinity of human stupidity( "Only two things are infinite, the universe and human stupidity, and I'm not sure about the former) I'm extra-sure he had infront of him the person like you - no doubt!!

People are not interested of your techinicality in the explanation of your regulations in the gang you call CCM, people need the betterment of their lives, the immediate stop of robbery of the national treasure - are they/we asking too much??? You're playing with Tanzanians patiency and you're dangerously reaching the threshold of non-supportation, be careful!!!

Ninafahamu mtaji wenu ni ujinga wa some of our fellow citizens, mind you that wont last forever- i can see your end coming! JITAYARISHENI!
 
Nilisema Nape si mtu Makini, mropokaji wa aina ya Kipekee, ameingizwa Mkenge.....! amejijengea maadui ambao Mh. J Kikwete anawahofu, kamsukumizia huyo mtoto nae kwa ujinga akajidai anapambana na hao anaoita mapacha watatu, ambao pia MH Pinda aliishakiri kuwa hawakamatiki, kifupi aliwaogopa....!
NAPE KIELELEZO CHA CCM KUKOSA WATU MAKINI , KUKOSA VIONGOZI MIONGONI MWAO....ikibidi wamrudishe Davutwa kundini labda atawpa msaada

Bro. Nguvumali!
Kuna mwanajamii fulani aliwahi tuma thread titled " huwezi kuwa na akili timamu ukawa mwana-ccm" it's very harsh but really!!! If Nape, is the rappresentation of the cream CCM can provide then that gang really stinks!!!
Everytime I read his posting, i become negatively impressed and ask myself how comes that empty head(you call him rightly, MROPOKAJI)can hold that position??? How comes????? His posting are full of nullity- no substance at all - quod erat demostrandum to be intelligent but he is not at all probably he is the so called one eyed person in a group of blinds,beato monoculo in terra coecorum - not more!!!
CCM rulers are completely out of touch and unfortunately they can't be ashamed of themselves,by the way the sense of shame is the vice belonging to the concious mind - they don't have any concious let alone the minds!!!!!
 
SI swala la kudai wala vikao kuamua upya bali vikao VILISHAFANYA UAMUZI NA UAMUZI NI WAJIPIME NA KUONDOKA WENYEWE WASIPOFANYA WATAFUKUZWA NA CHAMA. .........................................

Nape napenda nikuhakikishie Huku mtaaani katika movie iliyotayarishwa na watanzana inayoepndwa zaidi na kusubiriwa kwa hamu kila episode itoke ni hiii. ya UVUAJI MAGAMBA

Tunashukuru umetupa muktasairi wa nini tutarajie katika episode inayofuata.

We are waiting....
 
Huyu nape anajua na hili nalo litapita na litasahaulika tu, sasa nini maana ya kuweka miezi minne. kama kuna mafisadi kweli kati yenu kwa nini msiwafukuze mara moja badala yake mnawapa kipaumbele kwamba wajitoe wenyewe? kila siku mnatuhubiria utawala wa sheria n.k , sasa huko kwenye chama chenu hakuna sheria?

Maoni yangu ni kwamba hapa hakuna atakayewajibisha wala nini. sana sana Nape alikuwa akitumia nafasi hii kupata atention ya media. hakuna jingine.
 
Wewe Nape Jr fanya mambo yako lakini tunataka yield tu na si kingine...Nyie uwezo wa kuwaondoa hapo mapacha wa tatu hamna labda mpike majungu.......Siku hazigandi ndugu tunataka Output.
 
Nanukuu

........Tangu kukabidhiwa wadhifa wa ukatibu mwenezi wa CCM, Nape amekuwa akisisitiza, “…kung’oa mafisadi ndani ya CCM, ni jambo ambalo halina tena mjadala.” Amesema, “Kinachosubiriwa sasa ni suala la utekelezaji tu; NEC imetoa siku 90 kwa mafisadi kuondoka” katika chama hicho. Katika hili, Nape alijiapiza kuwa barua za kujulisha mafisadi kuondoka katika chama tayari zimeandaliwa na zitatolewa kabla ya kumalizika Sikukuu ya Pasaka.

Hata hivyo, Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama aliwaambia waandishi wa habari ...... jijini Dar es Salaam, “…hakuna mahali popote katika maazimio ya NEC panapotaja siku 90.” Alisema, “Kama ni muda basi ni pale mwenyekiti wetu aliposema NEC ijayo. NEC hukutana kila baada ya miezi minne na kwa hiyo kama ni siku, basi ni 120 na siyo 90.”

Hata kama Nape alikuwa ametumwa na mwenyekiti wake, Rais Jakaya Kikwete kusema aliyosema, bado alipaswa kuwa makini na mzigo aliobebeshwa. Kwa wanaomfahamu Kikwete tangu alipokuwa Tanga Sekondari, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) hadi ikulu, wanajua jinsi alivyo bingwa wa kutumia wenzake na kisha kuwaacha njiani pale maslahi yake yanapoguswa.........

........Hivyo basi, hatua ya Nape ya kujiingiza katika mgongano wa ndani kwa ndani na wenzake ; na kung’ang’ania hoja ya kufukuza wanaoitwa “mafisadi ndani ya chama,” inaweza kumgharimu. Kikwete anaweza kuamua kumuacha Nape solemba kwa kuwa kibarua alichompa kimemshinda; hawezi kutetea alichoagizwa; hafahamu anachotakiwa kufanya na hajui anachotenda..........

Source: Page not found | Gazeti la MwanaHalisi





Bonge la movie mithili ya prison break ..... haya yetu macho...... mwisho wake unakuja....
 
SI swala la kudai wala vikao kuamua upya bali vikao VILISHAFANYA UAMUZI

Bravo Nape, mlikaa mkafanya UAMUZI ! Haya endelea..........

NA UAMUZI NI WAJIPIME NA KUONDOKA WENYEWE WASIPOFANYA WATAFUKUZWA NA CHAMA.

OMG Nape, kwa hiyo kwenye kikao hamkufanya uamuzi wowote ila mliwatupia mpira wao(?) ndio wafanye maamuzi ! Yaani kikao kilkuwa kama cha wanywa kahawa au wapiga soga na mliishia kulipana posho kwa hela mnazopora kila kukicha za walipa kodi.

NINACHOWEZA KUHAKIKISHIA HAPA UAMUZI HUU WA KUWAWAJIBISHA BAADHI YA WATUHUMIWA HAUTABADILISHWA KWA KELELE ZA BARABARANI NA SARAKASI ZA WATUHUMIWA

Duh, uamuzi tena upi huo ambao hautabadilishwa ! Hivi kwa lugha ya kiCCM, neno uamuzi lina maana ngapi ? Kwa nini usiseme tu kikao kinapendekeza, kinawaomba au kinawabembeleza hao watuhumiwa wakisaidie na kukiokoa chama kwa kukiamulia cha kufanya.

TUMETHUBUTU KUAMUA, TUTATEKELEZA MAAMUZI.

Masikini Nape, masikini CCM, masikini Kikwete ! Nashindwa kuelewwa ni kitu gani hasa mmethubutu kuamua na mko tayari kukitekeleza. Isije ikawa kama lilivyo kawaida yenu mmethubutu kuamua hewa na hivyo hivyo mtatekeleza hewa - si ndio jadi yenu ? Ahadi hewa, mipango hewa, sera hewa, uwajibikaji hewa na utekelezaji hewa.
 
Nape acha kudanganya watu. Unasema watuhumiwa wa ufisadi waliitwa kujulishwa uamuzi wa NEC ili kupima wenyewe, kwani wao hawakuwa ndani ya kikao? Kama walikuwa hawakusikia hayo maamuzi? Nakuambia Kikwete hana uwezo wa kumfukuza RA kwa kuwa ni yeye aliyemuingiza madarakani kupitia fedha za Kagoda. Wewe hujui hilo kwa kuwa ulikuwa kambi ya Mwandosya na Malecela.

Nakumbuka moja ya kauli yako ulisema, "Kikwete akishinda urais utaondoka nchini hadi amalize kipindi chake." Mbona hukuondoka? Ulikimbuilia India, lakini baadaye ukarejea nchini na kupiga magoti kuomba ukuu wa wilaya. Leo, yule yule ambaye ulisema hana uwezo ndiyo unayemtetea. Acha hizo.
 
Ninachojiuliza ni hiki: kwanini JK au Msekwa, wanaongea na watuhumiwa peke yao bila uwepo wa viongozi wengine wa juu wa chama? Je hii kweli ni demokrasia ya kufanya maamuzi gizani/in secrecy?

Sasa hii sio njama madhubuti ya kumkwamisha Nape and his grp? I hope Nape na yeye anajiuliza maswali magumu kama haya; otherwise kama walivyoeleza wengine utajikuta shimoni. If anything does not make sense then it means it is not true! E.g. kusema watuhumiwa wajiondoe wenyewe why?

Kama inawezekana kuwaondoa why not do it then? Kama wamepewa barua na wanatakiwa wajitetee ni kujitetea mbele ya Kikwete, Msekwa, au mbele ya kikao kikuu cha chama? Kama wanasubiri maamuzi ya kikao kijacho cha chama (ambacho ndicho chenye majaji wenye final say) kwanini watuhumiwa wanakutana faragha na baadhi ya majaji (Kikwete-mwenyekiti, Msekwa -naibu) kabla ya siku yenyewe ya kikao/kesi kusikilizwa??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom