Nape: Sikuwahi sema kuwa Mafisadi wataondolewa CCM baada ya siku 90

Status
Not open for further replies.
vijana wa nape leo wako wapi jamani?...sjaona hata mmoja leo ...hata l mrs wa malaria sugu haonekani leo kuna nini jamani wapi faiza foxy?
 
SI swala la kudai wala vikao kuamua upya bali vikao VILISHAFANYA UAMUZI NA UAMUZI NI WAJIPIME NA KUONDOKA WENYEWE WASIPOFANYA WATAFUKUZWA NA CHAMA.

SWALA LA LINI NI PERIOD KUTOKA KIKAO KILICHOPITA CHA NEC MPAKA KIKAO KIJACHO CHA NEC, AMBACHO KWA MUJIBU WA KATIBA HUWA KINAKUTANA KILA BAADA YA MIEZI MINNE. Lakini SI LAZIMA IWE MIEZI MINNE KAMILI,KATIBA YA CCM INARUHUSU KUWA NA VIKAO MAALUMU KATIKATI KABLA YA MUDA HUO,HIVYO NEC INAWEZA KUKUTANA KABLA YA MIEZI HIYO KATIKATI KAMA ITAONEKANA IPO HAJA. NA INWEZA IKAKUTANA BAADA YA MIEZI MINNE KUTOKANA NA MAZINGIRA,KWA MFANO NAFASI YA MKITI KAMA IMEBANA TUNAWEZA KUSOGEZA MBELE SO SI SWALA LA SIKU EXACTLY.

ANGALIA HATA BUNGE KUNA MUDA UMEPANGWA LAKINI LINAWEZASOGEZA SIKU ZA KUANZA AU KUMALIZA KUTEGEMEANA NA HAJA YA KUFANYA HIVYO.

Kikubwa hapa NI KUWA WAHUSIKA WAMEITWA NA KUJULISHWA UAMUZI WA NEC NA KUWA UPO MUDA WA WAO KUTEKELEZA WASIPOFANYA KIKAO KIJACHO CHA NEC NI KUWASILISHA RIPOTI YA UTEKELEZAJI WA MAAMUZI ITAKAYO ONYESHA IMETEKELEZWA KWA KIASI GANI NA KUTEKELEZA SEHEMU YA PILI YA UAMUZI.

KUMBUKA ILISEMWA HAPA JF KUWA UAMUZI HUU HAUTATEKELEZWA NA KUWA HAYO YALIKUWA MANENO (yalitumika maneno makali, machafu) YA NAPE NA CHILIGATI SI UAMUZI WA CHAMA, AKATOKA DR. KIKWETE MWENYEKITI WA CHAMA AKASEMA PALE DIAMOND ALIPOONGEA NA MAASKOFU KUWA ANACHOSEMA NAPE NI UAMUZI HALALI WA CHAMA, WATU WAKAFUMBA MACHO NA MASIKIO NA KUENDELEA KUDAI NI YA NAPE NA KUWA WATUHUMIWA HAWATACHUKULIWA HATUA ZOZOTE HATA KUJULISHWA TU. WAMEITWA NA KUPEWAA UAMUZI WA NEC, WATU WAKAKIMBIA JF, HATA WALE WALIONITUKANA NILIDHANI WATARUDI KUPONGEZA HATUA ILIYOFIKIWA, SIKUWAONA.

NINACHOWEZA KUHAKIKISHIA HAPA UAMUZI HUU WA KUWAWAJIBISHA BAADHI YA WATUHUMIWA HAUTABADILISHWA KWA KELELE ZA BARABARANI NA SARAKASI ZA WATUHUMIWA, TUMETHUBUTU KUAMUA, TUTATEKELEZA MAAMUZI.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.

Uoga tuu huo... Kwa nini usiseme maneno haya siku zote mpaka siku zimeisha na kuona hamna ubavu wa kuwang'oa ndio unakuja na hoja nyepesi sijui muda wa vikao kabla au baada... CCM kuwang'oa hao jamaa haiwezekani hata ninyi mnajua mnaanza mchezo wa kuviziana... Kama wewe baba mwenye nyumba mkeo kakosea na unaona haiwezekani kuishi naye iweje uje na hoja ya jipime uondoke mwenyewe la hasha nitakupa talaka.. Hapo mke naye anakuona huna maamuzi na hutaweza kumwacha tisha toto... Kuviziana viziana na kutegena kwenye chama mpaka mnakuja kutuvizia hata sisi wananchi... Fanyeni maamuzi magumu...

Mimi naamini hakuna aliye juu ya CCM kama chama, na kama mkishindwa kuwang'oa hawa jamaa wakati huu, basi mjue hamtaweza daima milele na wananchi wataamua kuing'oa CCM.

Stop crying and giving excuses, just act now or not at all......
 
Wabunge wa sisiem hasa wa safari hii sio wapinga ufisadi bali watetea ufisadi, unaweza kujionea mwenyewe jinsi bungeni mambo yanavyokwenda. Hizo nia na malengo yenu ya kuvua gamba sidhani kama mtafanikiwa au la ni porojo tu za kisiasa. Nape inawezekana moyoni mwako una nia na umedhamilia kuwavua magamba hao watuumiwa lakini wakubwa zako mioyoni mwao sidhani kama wapo ivyo. Usije ukawa umetolewa mbuzi wa kafara!
 
Bro Nape hebu shughulikia hii salamu yenu maana hapa ndio kwenye Ugwadu!

Hamuwezi kubuni kibwagizo tofauti na hiki ambacho kiko neutral na kinajitambulisha na mwananchi badala ya chama??

Kwa mfano CUF wanatumia "Hakiiiiiiiiiiiii......... Sawa kwa wote"
Kina Zitto na "Pipoooooooooooz.................Powe"

Sasa nyie mnataka CCM ndo idumu hata kama Tanzania na watanzania wanaangamia???

CCM haijawaangamiza wananchi.
CcM imeijenga hii nchi ya Tanzania kwa Muda mrefu.
CCM ina haki ya kuendelea kuitawala Tanzania kwa miaka 40 tena sasa maana wanauwezo mkubwa wa kuongoza.
Mnyonge mnyongeni, Haki yake mpeni.
 
Nape nakuhurumia,kama una elimu ya kutosha endelea na mambo mengine,hiyo nafasi uliyopewa ni nani ambae amewahi kuifanya vizuri????unamkumbuka MAPURI?BW€g£ tambwe hiza nae....?????tatizo kwa sasa hakuna la kuzungumza juu ya chama,hakuna zuri,na hakuna wa kukwambia uzungumze nini,kwa nani na kwa wakati gani!!!!!!!!!ur so intelligent lakini waliokupa hiyo nafas wanaua kipaj chako na wanakuangamiza.....pole sana kijana mwenzangu
 
CCM ya sasa sio moja. Ziko "ccm" nyingi tu ndani ya hili dubwana kubwa. Uamuzi wa pamoja ni mgumu mno kufikiwa. Hili Nape analijua. Wanachama wa CCM wanalijua na WATANZANIA tunalijua!
 
CCM yatimua makatibu wa mikoa sita Send to a friend
Wednesday, 29 June 2011 21:15

nape%20mcl.jpg
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi CCM,Nape Nnauye akipata maelezo kwa Mhariri mtendaji wa Mwananchi Communications Ltd (MCL),Theophil Makunga (kulia) kuhusu namna magazeti yanavyochapishwa wakati alipotembelea ofisi za MCL,zilizopo barabara ya Mandela,Tabata Relini jijini Dar es Salaam jana.Kushoto ni msaidizi wake Sixtus Mapunda.Picha na Silvan Kiwale

Boniface Meena
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewaondoa makatibu wake wa mikoa zaidi ya sita nchini ikiwa ni mwendelezo wa mkakati wake wa kujivua gamba ulioanzishwa mapema mwaka huu.

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye alisema hayo jana alipokuwa akizungumza na wahariri wa magazeti ya kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), alipofanya ziara katika makao makuu ya kampuni hiyo Tabata-Relini jijini Dar es Salaam.

MCL ndiyo inayozalisha magazeti ya Mwananchi, The Citizen na Mwanaspoti.Katika ziara hiyo, Nape alisema kuwa zoezi hilo la kuwaondoa makatibu litaendelea hadi ngazi ya makatibu wa wilaya ikiwa ni sehemu ya falsafa ya CCM ya kujivua gamba.

Alisema kujivua gamba ni dhana pana ambayo msingi wake ni kufanya mabadiliko ya kiutendaji na uendeshaji wa CCM kwa ujumla wake na kwamba yapo mambo mengi ambayo yamefanywa katika kutekeleza azma hiyo.

"Makatibu wa mikoa kama sita au saba hivi wameshaondoka na wengine wamestaafu, ni katika kujivua gamba na tutaenda kwenye wilaya pia,"alisema Nape.

Alipoulizwa iwapo hao walioondoka katika nyadhifa zao wamestaafu au wameondolewa, Nape alijibu kwa kifupi "vyote kwa pamoja".

Alitaja baadhi ya mikoa ambayo makatibu wake wameondolewa kuwa ni pamoja na Shinyanga, Dodoma na Kagera.

Utaratibu wa kumpata mgombea urais
Alisema jambo jingine ambalo linafanyika kupitia mchakato huo ni chama hicho kuangalia upya utaratibu wa kumpata mgombea urais ambao utakuwa tofauti na uliokuwa ukitumika katika chaguzi zilizopita.

"Kuna kamati inashughulikia hilo," Nape alisema na kuongeza:
"Pia tunataka tuwe na kamati kama za Bunge ili kutathimini jinsi Serikali inavyotekeleza ahadi ambazo chama kimezitoa ama kupitia wagombea au kwenye Ilani ya Uchaguzi."

Alisema hatua hiyo itakiwezesha chama hicho kubaini udhaifu uliopo katika utekelezaji wa wajibu wake kwa umma, tofauti na sasa ambapo hakuna mfumo unaowawezesha ufuatiliaji huo.

Nape alisema kuwa hivi sasa wanafanya mabadiliko katika mfumo wa uongozi katika makao makuu ya chama hicho na ndiyo maana hakuna mawaziri katika safu za juu za uongozi.

"Hivi sasa hakuna mawaziri, kwani wakati ule walikuwepo mawaziri katika chama ambao ni viongozi, sasa tupo wenyewe na tunakiendesha chama,"alisema na kuongeza:"Hata mfumo wa ndani katika kitengo changu cha Itikadi na Uenezi nako tunafanya mabadiliko na taarifa zitakuwa zikitolewa in details(kwa undani) na si kwa ufupi ili wananchi wazipate."

Kauli yake kuhusu watuhumiwa ufisadi
Kuhusu watuhumiwa wa ufisadi na siku 90 walizopewa kujiondoa kwenye nyadhifa wanazoshikilia ndani ya chama, Nape alisema kuwa hakuna suala la siku 90 bali ni vikao vya chama vitakutana na kutoa maamuzi.

"Siku 90 zinazozungumzwa ni tafsiri ya watu pale mwenyekiti wa chama (Jakaya Kikwete) aliposema tutakutana baada ya miezi mitatu na watu wakatafsiri hivyo, lakini vikao vya NEC ndivyo vinatoa maamuzi,"alisema Nape.

Alisema kuwa hadi hivi sasa hajui makamu mwenyekiti wa CCM Bara, Pius Msekwa alichozungumza na watuhumiwa hao wa ufisadi baada ya kukutana nao.

"Sikuwepo kwenye kikao hivyo hadi sasa sijui walizungumza nini, na siwezi kwenda kumtaka Katibu Mkuu anieleze kilichozungumzwa kwani katika vikao vijavyo tutapata taarifa,"alisema Nape.

CCM na vijana
Nape ambaye alizungumzia mambo mbalimbali ya chama na Serikali alisema kuwa hali ya CCM kuwasahau vijana iliwaletea matatizo katika Uchaguzi Mkuu uliopita na ndiyo maana hivi sasa chama hicho kimeamua kujivua gamba.

Aliwaasa vijana walioko vyuoni kwa sasa akisema kuwa siyo vizuri kwao kudhani kuwa siasa ni ajira na kwamba endapo kila mwanafunzi atafikiria hivyo, hali hiyo haitawasaidia kitu.

Kuhusu takwimu za Serikali na ndani ya CCM, Nape alisema kuwa kuna ugonjwa mkubwa katika utoaji takwimu kwa kuwa takwimu nyingi zimekuwa ni za uongo.

"Udanganyifu wa takwimu unakuwa kama ni tabia na ipo kwenye chama na kwa Serikali,"alisema.

Alisema katika kila jimbo takwimu zao zinaonyesha asilimia 70 hadi 80 ya watu ni wanaCCM, lakini inashangaza kwa nini wanapata ushindi wa chini kwenye uchaguzi.

Wananchi wana haki ya kupata habari
Alisema kuwa atakuwa tayari kuwasaidia wanahabari kupata taarifa za serikalini ambazo zinakaliwa na maafisa habari au watu wa serikalini kwa kuwa wananchi wana haki ya kupata taarifa kuhusu Serikali yao.

"Kama kuna taarifa mnaihitaji serikalini nitawasaidia kuipata ili watu wapate habari kwa kuwa, Serikali ni ya CCM na sisi ndiyo viongozi wa chama,"alisema Nape.

Kuhusu kusherehekea miaka 50 ya Uhuru, Nape alisema kuwa ni vizuri wananchi na wanasiasa wakalinda historia ya taifa kwa kuwa limetoka mbali tangu Uhuru ulipotikana.

"Ombi langu kwa wananchi ni hili, miaka 50 ya Uhuru ni safari ndefu, nataka dhana ya kwamba hakijafanyika chochote iondoke, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kilianzia jengo la Ushirika na leo kipo eneo lake halafu mtu anabeza, hilo haiwezekani,"alisema.

Alisema kuwa pamoja na vyombo vya habari kufichua maovu ndani ya nchi, lakini ni lazima vilinde historia ya nchi tangu ilipopata Uhuru.

Akingia kifua gazeti la Mwananchi

Akizungumzia hali ya CCM na Serikali dhidi ya gazeti hili , Nape alisema kuwa fikra ya kwamba chama chake kinaliona gazeti la Mwananchi kama lina mlengo wa chama kingine haipo na ifutike.

"Nimekuja kwa mambo matatu, kufahamiana, kufuta dhana ya CCM kulalamikia magazeti na kutoa msimamo wa chama kuondoa dhana kwamba Mwananchi ina mlengo wa chama kimoja cha siasa,"alisema.

Alisema kuwa ni muhumu CCM ikatambua kuwa gazeti la Mwananchi ni wadau wa mabadiliko katika jamii, hivyo mstari uliopo kati ya CCM na Mwananchi ufutwe.

"CCM kama taasisi tunajua Mwananchi inaaminika na ina wasomaji wengi kuliko gazeti jingine nchini, pia tunajua linaaminiwa na watu na chama pia," alisema Nape.

Akizungumza kuhusu hilo, Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya MCL, Theophil Makunga alisema kuwa Mwananchi kama gazeti lina sera zake na moja ya sera hizo ni kutoegemea upande mmoja.

Alisema kuwa maamuzi ya habari gani inayofaa kuchapwa kwenye magazeti ya MCL hayafanywi na mtu mmoja bali hupitia vikao vya wahariri vinavyofanyika mara mbili kwa siku.

"Hata editorial (tahariri) haifanywi na mtu mmoja ni uamuzi wa wahariri,"alisema Makung
Nape ungekuwa na uwezo hawa watu wangekuwa washatimka zamani..semajukumu la kuwafukuza cio lako mwenyewe
 
CCM haijawaangamiza wananchi.
CcM imeijenga hii nchi ya Tanzania kwa Muda mrefu.
CCM ina haki ya kuendelea kuitawala Tanzania kwa miaka 40 tena sasa maana wanauwezo mkubwa wa kuongoza.
Mnyonge mnyongeni, Haki yake mpeni.

KUNA WAZUNGU WANAAMINI KUWA WAAFRIKA TUNA MATATIZO YA KUFIKIRI NA HATUNA MAONO,KAMA TAFITI ZAO ZILIKUTANA NA IDADI YA KUTOSHA YA WATANZANIA WANA-CCM WA AINA HII...NI UKWELI USIOPINGIKA
1.ccm IMEJENGA NCHI. IMEJENGA BILA RAMANI KIASI CHA NCHI KUTOELEWEKA
2.ccm INA HAKI YA KUTAWALA...NCHI YETU INAHITAJI KUONGOZWA NA SI KUTAWALIWA
POLE SANA MKUU,BADILIKA ANZA KUFIKIRI KWA KICHWA BADALA YA MOYO
 
Nape aendeleza mashambulizi
By Waandishi wetu
21st April 2011

Jukwaa lawaporomokea wakiwa mkutanoni

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye, amesisitiza kuwa Rais Jakaya Kikwete ni msafi na kwamba hahusiki katika kashfa yoyote ya kifisadi inayohusisha baadhi ya makada wa chama hicho.

Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa juzi usiku, Nape alisema kama kuna watu wanadai kwamba Rais Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM Taifa ni mchafu, wajitokeze hadharani na kuonyesha uchafu wake.

"Rais wetu hayuko kwenye nyumba ya vioo hata kidogo na ndiyo maana amekuwa wa kwanza kurusha mawe kwa watuhumiwa wa ufisadi," alisema akimaanisha kuwa kama Kikwete angekuwa ni fisadi asingekuwa wa kwanza kuwanyooshea kidole mafisadi na kuwataka waondoke kwenye nyadhifa zao ndani ya chama.

Nape aliwataja kwa majina baadhi ya watu wanaodaiwa kuhusishwa na tuhuma za ufisadi na hivyo kuchafua taswira ya CCM kwa wanachama na wananchi.

"Jamani siyo kwamba tunaogopa kuwataja, hawa watu wametajwa kwenye vikao vya chama chetu ndiyo maana nawataja hata hapa, nimewataja huko nyuma na nitaendelea kuwataja," alisema na kuongeza:

"Tumewaomba wapime wenyewe na baada ya hizo siku tisini wajiondoe kwenye nafasi za uongozi wote ndani ya chama vinginevyo tutawaondoa na ikiwezekana tutawanyang'anya kadi za uanachama kwa sababu watakuwa wamekaidi uamuzi halali wa kikao halali."
 
Hii Movie imekuwa ya kitoto sana sasa.... afadhali hata ya tom and jerry
 
Nape piga kasia,lakini kazi unayo makamu mwenyekiti wako alimwita EL mazungumzo yao umeyasikia sembuse wewe???wewe endelea kutuambia eti hukusema kwa hiyo tunakusingizia kumbuka unachofanya ni kuchimba kaburi utaingia mwenyewe.ubavu wa kupambana na hao mapacha watatu nape huna sana sana vita hiyo naamini itakugeukia na huo ndio utakuwa mwisho wako.
 
SI swala la kudai wala vikao kuamua upya bali vikao VILISHAFANYA UAMUZI NA UAMUZI NI WAJIPIME NA KUONDOKA WENYEWE WASIPOFANYA WATAFUKUZWA NA CHAMA.

SWALA LA LINI NI PERIOD KUTOKA KIKAO KILICHOPITA CHA NEC MPAKA KIKAO KIJACHO CHA NEC, AMBACHO KWA MUJIBU WA KATIBA HUWA KINAKUTANA KILA BAADA YA MIEZI MINNE. Lakini SI LAZIMA IWE MIEZI MINNE KAMILI,KATIBA YA CCM INARUHUSU KUWA NA VIKAO MAALUMU KATIKATI KABLA YA MUDA HUO,HIVYO NEC INAWEZA KUKUTANA KABLA YA MIEZI HIYO KATIKATI KAMA ITAONEKANA IPO HAJA. NA INWEZA IKAKUTANA BAADA YA MIEZI MINNE KUTOKANA NA MAZINGIRA,KWA MFANO NAFASI YA MKITI KAMA IMEBANA TUNAWEZA KUSOGEZA MBELE SO SI SWALA LA SIKU EXACTLY.

ANGALIA HATA BUNGE KUNA MUDA UMEPANGWA LAKINI LINAWEZASOGEZA SIKU ZA KUANZA AU KUMALIZA KUTEGEMEANA NA HAJA YA KUFANYA HIVYO.

Kikubwa hapa NI KUWA WAHUSIKA WAMEITWA NA KUJULISHWA UAMUZI WA NEC NA KUWA UPO MUDA WA WAO KUTEKELEZA WASIPOFANYA KIKAO KIJACHO CHA NEC NI KUWASILISHA RIPOTI YA UTEKELEZAJI WA MAAMUZI ITAKAYO ONYESHA IMETEKELEZWA KWA KIASI GANI NA KUTEKELEZA SEHEMU YA PILI YA UAMUZI.

KUMBUKA ILISEMWA HAPA JF KUWA UAMUZI HUU HAUTATEKELEZWA NA KUWA HAYO YALIKUWA MANENO (yalitumika maneno makali, machafu) YA NAPE NA CHILIGATI SI UAMUZI WA CHAMA, AKATOKA DR. KIKWETE MWENYEKITI WA CHAMA AKASEMA PALE DIAMOND ALIPOONGEA NA MAASKOFU KUWA ANACHOSEMA NAPE NI UAMUZI HALALI WA CHAMA, WATU WAKAFUMBA MACHO NA MASIKIO NA KUENDELEA KUDAI NI YA NAPE NA KUWA WATUHUMIWA HAWATACHUKULIWA HATUA ZOZOTE HATA KUJULISHWA TU. WAMEITWA NA KUPEWAA UAMUZI WA NEC, WATU WAKAKIMBIA JF, HATA WALE WALIONITUKANA NILIDHANI WATARUDI KUPONGEZA HATUA ILIYOFIKIWA, SIKUWAONA.

NINACHOWEZA KUHAKIKISHIA HAPA UAMUZI HUU WA KUWAWAJIBISHA BAADHI YA WATUHUMIWA HAUTABADILISHWA KWA KELELE ZA BARABARANI NA SARAKASI ZA WATUHUMIWA, TUMETHUBUTU KUAMUA, TUTATEKELEZA MAAMUZI.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.
Andika kwa herufi ndogo Nape, unamgombeza nani hapa, hukufundiswa maadili ya kuandika wewe?
 
hata hivyo vikao vya NEC vitafika tu..hana jipya kama walidhani wanatudanya sisi basi wameumia..hata 2015 pia itafika na watakosa cha kusingizia..
 
SI swala la kudai wala vikao kuamua upya bali vikao VILISHAFANYA UAMUZI NA UAMUZI NI WAJIPIME NA KUONDOKA WENYEWE WASIPOFANYA WATAFUKUZWA NA CHAMA.

SWALA LA LINI NI PERIOD KUTOKA KIKAO KILICHOPITA CHA NEC MPAKA KIKAO KIJACHO CHA NEC, AMBACHO KWA MUJIBU WA KATIBA HUWA KINAKUTANA KILA BAADA YA MIEZI MINNE. Lakini SI LAZIMA IWE MIEZI MINNE KAMILI,KATIBA YA CCM INARUHUSU KUWA NA VIKAO MAALUMU KATIKATI KABLA YA MUDA HUO,HIVYO NEC INAWEZA KUKUTANA KABLA YA MIEZI HIYO KATIKATI KAMA ITAONEKANA IPO HAJA. NA INWEZA IKAKUTANA BAADA YA MIEZI MINNE KUTOKANA NA MAZINGIRA,KWA MFANO NAFASI YA MKITI KAMA IMEBANA TUNAWEZA KUSOGEZA MBELE SO SI SWALA LA SIKU EXACTLY.

ANGALIA HATA BUNGE KUNA MUDA UMEPANGWA LAKINI LINAWEZASOGEZA SIKU ZA KUANZA AU KUMALIZA KUTEGEMEANA NA HAJA YA KUFANYA HIVYO.

Kikubwa hapa NI KUWA WAHUSIKA WAMEITWA NA KUJULISHWA UAMUZI WA NEC NA KUWA UPO MUDA WA WAO KUTEKELEZA WASIPOFANYA KIKAO KIJACHO CHA NEC NI KUWASILISHA RIPOTI YA UTEKELEZAJI WA MAAMUZI ITAKAYO ONYESHA IMETEKELEZWA KWA KIASI GANI NA KUTEKELEZA SEHEMU YA PILI YA UAMUZI.

KUMBUKA ILISEMWA HAPA JF KUWA UAMUZI HUU HAUTATEKELEZWA NA KUWA HAYO YALIKUWA MANENO (yalitumika maneno makali, machafu) YA NAPE NA CHILIGATI SI UAMUZI WA CHAMA, AKATOKA DR. KIKWETE MWENYEKITI WA CHAMA AKASEMA PALE DIAMOND ALIPOONGEA NA MAASKOFU KUWA ANACHOSEMA NAPE NI UAMUZI HALALI WA CHAMA, WATU WAKAFUMBA MACHO NA MASIKIO NA KUENDELEA KUDAI NI YA NAPE NA KUWA WATUHUMIWA HAWATACHUKULIWA HATUA ZOZOTE HATA KUJULISHWA TU. WAMEITWA NA KUPEWAA UAMUZI WA NEC, WATU WAKAKIMBIA JF, HATA WALE WALIONITUKANA NILIDHANI WATARUDI KUPONGEZA HATUA ILIYOFIKIWA, SIKUWAONA.

NINACHOWEZA KUHAKIKISHIA HAPA UAMUZI HUU WA KUWAWAJIBISHA BAADHI YA WATUHUMIWA HAUTABADILISHWA KWA KELELE ZA BARABARANI NA SARAKASI ZA WATUHUMIWA, TUMETHUBUTU KUAMUA, TUTATEKELEZA MAAMUZI.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.

Kama hata katika haya maandiko yako umeshindwa kutamka majina ya hao unaowaita watuhumiwa nina uhakika kuna siku utaikana hata kauli ya kujivua gamba. Kuwa jasiri bwana mdogo, sema ANDREW CHENGE, EDWARD LOWASA NA ROSTAM AZIZ... Mbona maneno marahisi sana na yameishazoeleka kwa watanzania, wewe unaogopa nini kuyatamka?
 
  • Thanks
Reactions: Aza
CCM haijawaangamiza wananchi.
CcM imeijenga hii nchi ya Tanzania kwa Muda mrefu.
CCM ina haki ya kuendelea kuitawala Tanzania kwa miaka 40 tena sasa maana wanauwezo mkubwa wa kuongoza.
Mnyonge mnyongeni, Haki yake mpeni.

Acha njaa kijana!hv maovu ya CCM huyaoni wewe?! Hv una akili kichwani kweli?!Pole sana mungu akusaidie!
 
Nikijua kabisa kuwa bwana Nape Nnauye kuwa ni kiongozi kati ya viongozi wa juu wa CCM, nisengependa kumkosea heshima, kwani kuna watu wana mwamini na wamemuona anafaa kuwa kiongozi wao.

Ila kwa hili sinta chelea kusema kuwa Nape ni MWONGO, kwa makusudi aliwaaminisha Watanzania kuwa ndani ya siku Tisini mapacha wajitoe au la wanafukuzwa. Alipoulizwa Mukama katibu mkuu wa CCM alisema hakuna kitu kama hicho cha siku tisini.

Kwa makusudi Nape alendelea kudanganya umma wa watanzania kuwa CCM iko makini kujivua gamba.
Wito naomba kila mmoja aende mjini na vijijini na kueleza wananchi kuwa Nape Nnnauye sio mtu wa kumwamini tena kwani ni mwongo na anaongea mambo ya kutunga na ugomvi wake binafsi na wezi wa mali ya umma. Serikali ya CCM pamoja na CCM yenyewe haiko tayari kuvunja ndoa na fisadi yeyote aliyekisaidia CCM kushinda kwenye uchaguzi 2005/2010 kwa hali na mali. Mafisadi ndio roho ya CCM na Nape mwenyewe.

Magamba yamekumbatia roho za wana-CCM na viongozi wao, ni njia ya maisha yao.

Ni mimi,
Chief Mkwawa
Iringa, Kalenga
 
Nilichojifunza na siasa a kibongo, hakika hutakiwi kuwa na mshipa wa aibu. Nape Nape Nape, time will tell...........
 
SI swala la kudai wala vikao kuamua upya bali vikao VILISHAFANYA UAMUZI NA UAMUZI NI WAJIPIME NA KUONDOKA WENYEWE WASIPOFANYA WATAFUKUZWA NA CHAMA.

SWALA LA LINI NI PERIOD KUTOKA KIKAO KILICHOPITA CHA NEC MPAKA KIKAO KIJACHO CHA NEC, AMBACHO KWA MUJIBU WA KATIBA HUWA KINAKUTANA KILA BAADA YA MIEZI MINNE. Lakini SI LAZIMA IWE MIEZI MINNE KAMILI,KATIBA YA CCM INARUHUSU KUWA NA VIKAO MAALUMU KATIKATI KABLA YA MUDA HUO,HIVYO NEC INAWEZA KUKUTANA KABLA YA MIEZI HIYO KATIKATI KAMA ITAONEKANA IPO HAJA. NA INWEZA IKAKUTANA BAADA YA MIEZI MINNE KUTOKANA NA MAZINGIRA,KWA MFANO NAFASI YA MKITI KAMA IMEBANA TUNAWEZA KUSOGEZA MBELE SO SI SWALA LA SIKU EXACTLY.

ANGALIA HATA BUNGE KUNA MUDA UMEPANGWA LAKINI LINAWEZASOGEZA SIKU ZA KUANZA AU KUMALIZA KUTEGEMEANA NA HAJA YA KUFANYA HIVYO.

Kikubwa hapa NI KUWA WAHUSIKA WAMEITWA NA KUJULISHWA UAMUZI WA NEC NA KUWA UPO MUDA WA WAO KUTEKELEZA WASIPOFANYA KIKAO KIJACHO CHA NEC NI KUWASILISHA RIPOTI YA UTEKELEZAJI WA MAAMUZI ITAKAYO ONYESHA IMETEKELEZWA KWA KIASI GANI NA KUTEKELEZA SEHEMU YA PILI YA UAMUZI.

KUMBUKA ILISEMWA HAPA JF KUWA UAMUZI HUU HAUTATEKELEZWA NA KUWA HAYO YALIKUWA MANENO (yalitumika maneno makali, machafu) YA NAPE NA CHILIGATI SI UAMUZI WA CHAMA, AKATOKA DR. KIKWETE MWENYEKITI WA CHAMA AKASEMA PALE DIAMOND ALIPOONGEA NA MAASKOFU KUWA ANACHOSEMA NAPE NI UAMUZI HALALI WA CHAMA, WATU WAKAFUMBA MACHO NA MASIKIO NA KUENDELEA KUDAI NI YA NAPE NA KUWA WATUHUMIWA HAWATACHUKULIWA HATUA ZOZOTE HATA KUJULISHWA TU. WAMEITWA NA KUPEWAA UAMUZI WA NEC, WATU WAKAKIMBIA JF, HATA WALE WALIONITUKANA NILIDHANI WATARUDI KUPONGEZA HATUA ILIYOFIKIWA, SIKUWAONA.

NINACHOWEZA KUHAKIKISHIA HAPA UAMUZI HUU WA KUWAWAJIBISHA BAADHI YA WATUHUMIWA HAUTABADILISHWA KWA KELELE ZA BARABARANI NA SARAKASI ZA WATUHUMIWA, TUMETHUBUTU KUAMUA, TUTATEKELEZA MAAMUZI.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.

@New York City, USA

Bila shaka atakuwepo hapa na kuona hizi sanaa ambazo sisi wengine tulikwisha ziona muda mrefu. Ni rahisi Kikwete kufukuzwa uanachama kuliko hawa jamaa watatu ambao hata majina unaogopa kuwataja...sasa itawekekana kweli kuwshughulikia....Leo umekana kauli yako, nashukuru watanzania si wajinga kiasi hiki.
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Status
Not open for further replies.
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom