Nape: Sikuwahi sema kuwa Mafisadi wataondolewa CCM baada ya siku 90

Status
Not open for further replies.
Tunaomba wataje majina watuhumiwa kwa nini mnaweka siri?

SI swala la kudai wala vikao kuamua upya bali vikao VILISHAFANYA UAMUZI NA UAMUZI NI WAJIPIME NA KUONDOKA WENYEWE WASIPOFANYA WATAFUKUZWA NA CHAMA.

SWALA LA LINI NI PERIOD KUTOKA KIKAO KILICHOPITA CHA NEC MPAKA KIKAO KIJACHO CHA NEC, AMBACHO KWA MUJIBU WA KATIBA HUWA KINAKUTANA KILA BAADA YA MIEZI MINNE. Lakini SI LAZIMA IWE MIEZI MINNE KAMILI,KATIBA YA CCM INARUHUSU KUWA NA VIKAO MAALUMU KATIKATI KABLA YA MUDA HUO,HIVYO NEC INAWEZA KUKUTANA KABLA YA MIEZI HIYO KATIKATI KAMA ITAONEKANA IPO HAJA. NA INWEZA IKAKUTANA BAADA YA MIEZI MINNE KUTOKANA NA MAZINGIRA,KWA MFANO NAFASI YA MKITI KAMA IMEBANA TUNAWEZA KUSOGEZA MBELE SO SI SWALA LA SIKU EXACTLY.

ANGALIA HATA BUNGE KUNA MUDA UMEPANGWA LAKINI LINAWEZASOGEZA SIKU ZA KUANZA AU KUMALIZA KUTEGEMEANA NA HAJA YA KUFANYA HIVYO.

Kikubwa hapa NI KUWA WAHUSIKA WAMEITWA NA KUJULISHWA UAMUZI WA NEC NA KUWA UPO MUDA WA WAO KUTEKELEZA WASIPOFANYA KIKAO KIJACHO CHA NEC NI KUWASILISHA RIPOTI YA UTEKELEZAJI WA MAAMUZI ITAKAYO ONYESHA IMETEKELEZWA KWA KIASI GANI NA KUTEKELEZA SEHEMU YA PILI YA UAMUZI.

KUMBUKA ILISEMWA HAPA JF KUWA UAMUZI HUU HAUTATEKELEZWA NA KUWA HAYO YALIKUWA MANENO (yalitumika maneno makali, machafu) YA NAPE NA CHILIGATI SI UAMUZI WA CHAMA, AKATOKA DR. KIKWETE MWENYEKITI WA CHAMA AKASEMA PALE DIAMOND ALIPOONGEA NA MAASKOFU KUWA ANACHOSEMA NAPE NI UAMUZI HALALI WA CHAMA, WATU WAKAFUMBA MACHO NA MASIKIO NA KUENDELEA KUDAI NI YA NAPE NA KUWA WATUHUMIWA HAWATACHUKULIWA HATUA ZOZOTE HATA KUJULISHWA TU. WAMEITWA NA KUPEWAA UAMUZI WA NEC, WATU WAKAKIMBIA JF, HATA WALE WALIONITUKANA NILIDHANI WATARUDI KUPONGEZA HATUA ILIYOFIKIWA, SIKUWAONA.

NINACHOWEZA KUHAKIKISHIA HAPA UAMUZI HUU WA KUWAWAJIBISHA BAADHI YA WATUHUMIWA HAUTABADILISHWA KWA KELELE ZA BARABARANI NA SARAKASI ZA WATUHUMIWA, TUMETHUBUTU KUAMUA, TUTATEKELEZA MAAMUZI.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.
 
ni heri nape ukaa kimya.......hakika nakwambia siku 90 zinaisha julai 10, baada ya hapo utaandamwa na kupotezwa jumla.......kuna kikao wiki ijayo cha tathmini ya hali ya mambo kilikuwa kifanyike wiki jana baada ya edwa kutoka lagos kikaahirishwa ....hadi wiki ijayo..post za juu nimekwambia wa kwenda kumuuliza lakini kama hutaki kaa kimya ili upotezwe jumla.......na wewe nape nakwambia mpango mzima ukifanikiwa na hawa jamaa wakabaki hakika nakwambia utaishi kwa tabu sana maana umekubali kutumika kijinga tena kichwa kichwa.....
 
Mkuu kwanini ni baadhi tu ndio watawajibishwa wengine vipi? Mmewasamehe au mnawahitaji?

Makatibu wa CCM WA Mikoa kadahaa wamestaafu, Nape anasema ndio katika kujivua gamba, hapa story imeshabadilishwa na kuwa baadhi. Waliambiwa wajipime wenyewe, wamegoma, kama alivyoambiwa Zito atafakari mwenyewe kuona kama anaaminiak kuwa Naibu KUB, mara akarudishiwa unaibu wake

Nadhani next person to exit ni Nape. Mambo haya ya kuwawajibisha wanachama kwa nini yasemwe sana na Mwenezi? kwani hiyo ni kazi yake, Katibu Mkuu kazi yake nini? JK kakutumia Nape kijana kumchafua swahiba wake, kama alivyomtumia Mwakyembe na Sita kummaliza EL. Hushangai JK anavokusupport from no where.
 
ndugu yangu nape JR.nataka kukushauri kitu,chama chenu kinabidi kusoma alama za nyakati na kupredict kitakachtokea baada ya uamuzi mtakaoufanya.kwa upeo wangu mdogo katika siasa mko katika kipindi kidgumu zaidi na kutasababisha chama kuporomoka kabisa.baadhi ya haya maswala ni kama
  1. majibizano yanayoendelea bungeni
  2. uamuzi wa nec kuhusu mafisadi
  3. uchaguzi ujao wa nec
  4. uchaguzi wa mwaka 2015
haya yatasababisha chama kisambaratike kwa kuwa na makundi mengi.
my take.
chadema,tlp,nccr,cck,chausta,cuf,dp ni wakati muafaka wa kujipanga kuchukua nchi kwa ridhaa ya wananchi
 
vikao VILISHAFANYA UAMUZI NA UAMUZI NI WAJIPIME NA KUONDOKA WENYEWE WASIPOFANYA WATAFUKUZWA NA CHAMA. .
Wacha unafiki Nape.
We kwa kinywa chako ulitamka na watanzania tukasikia tamko lako redioni ukihojiwa.
Nanukuu " sisi (nape na wanaCCM wenzake) tunatangaza tenda kwa vyama vya upinzani wanaowahitaji mafisadi"
Na hili hujalitamka mara moja. sio gazetini tu, sio redioni tu, sio TV-ini tu hata kwenye social media.
Be wise na usijibu kwa sababu unafiki wako unakufanya uzidi kujishitaki japo kwa akili zako unadhani unajitetea.
If I was in your place I would quit politics! Njaa yako haiwezi kukuruhusu kufanya uamuzi huo.
So better stay dumb.
 
No umeme
No maji
No hospitali (magari ya wagonjwa hakuna na badala yake wanajinunulia magari ya kifahari)
Shule ni duni no vifaa vya maaabara vitabu na kadharika (refer haki elimuuuu)
Wakulima wananyonywa na wafanyabiashara na serikali inangaa macho tu na handsome wao
Mbuga za wanyama zinauziwa kwa viongozi na wafanyabiashara
misitu inauzwa kwa viongozi
madini yanapotea hayanufaishi sisi
barabara hazipitiki

Haya ndo baadhi ya magamba.,nadhani ungejikita huku achana na paukwa pakawa za mapacha watatu..
 
my take.
chadema,nccr, cuf,dp ni wakati muafaka wa kujipanga kuchukua nchi kwa ridhaa ya wananchi
As far they their political battle is concerned, wameshachukua nchi.
Ungesema tu "watanzania tuchukue/tukomboe nchi yetu" you know what I mean.
 
Nape si uliamua kuondoka ccm na kuanzisha ccj sasa unang'ang'ania nini huko ccm?....au ndo yale mambo yetu ya ufisadi nawe unataka uendelee kufaidi mihela ambayo kikwete,ccm,lowasa,rostamu na wewe mmewaibia watz?..............acha unafiki kwaniu kwa kijana km wewe kutokuwa na msimamo na kuendelea kushiriki kukumbatia mafisadi na ufisadi nchi haitakuja isogee hata hatua moja kimaendeleo

si swala la kudai wala vikao kuamua upya bali vikao vilishafanya uamuzi na uamuzi ni wajipime na kuondoka wenyewe wasipofanya watafukuzwa na chama.

Swala la lini ni period kutoka kikao kilichopita cha nec mpaka kikao kijacho cha nec, ambacho kwa mujibu wa katiba huwa kinakutana kila baada ya miezi minne. Lakini si lazima iwe miezi minne kamili,katiba ya ccm inaruhusu kuwa na vikao maalumu katikati kabla ya muda huo,hivyo nec inaweza kukutana kabla ya miezi hiyo katikati kama itaonekana ipo haja. Na inweza ikakutana baada ya miezi minne kutokana na mazingira,kwa mfano nafasi ya mkiti kama imebana tunaweza kusogeza mbele so si swala la siku exactly.

Angalia hata bunge kuna muda umepangwa lakini linawezasogeza siku za kuanza au kumaliza kutegemeana na haja ya kufanya hivyo.

Kikubwa hapa ni kuwa wahusika wameitwa na kujulishwa uamuzi wa nec na kuwa upo muda wa wao kutekeleza wasipofanya kikao kijacho cha nec ni kuwasilisha ripoti ya utekelezaji wa maamuzi itakayo onyesha imetekelezwa kwa kiasi gani na kutekeleza sehemu ya pili ya uamuzi.

Kumbuka ilisemwa hapa jf kuwa uamuzi huu hautatekelezwa na kuwa hayo yalikuwa maneno (yalitumika maneno makali, machafu) ya nape na chiligati si uamuzi wa chama, akatoka dr. Kikwete mwenyekiti wa chama akasema pale diamond alipoongea na maaskofu kuwa anachosema nape ni uamuzi halali wa chama, watu wakafumba macho na masikio na kuendelea kudai ni ya nape na kuwa watuhumiwa hawatachukuliwa hatua zozote hata kujulishwa tu. Wameitwa na kupewaa uamuzi wa nec, watu wakakimbia jf, hata wale walionitukana nilidhani watarudi kupongeza hatua iliyofikiwa, sikuwaona.

Ninachoweza kuhakikishia hapa uamuzi huu wa kuwawajibisha baadhi ya watuhumiwa hautabadilishwa kwa kelele za barabarani na sarakasi za watuhumiwa, tumethubutu kuamua, tutatekeleza maamuzi.

Kidumu chama cha mapinduzi.
 
SI swala la kudai wala vikao kuamua upya bali vikao VILISHAFANYA UAMUZI NA UAMUZI NI WAJIPIME NA KUONDOKA WENYEWE WASIPOFANYA WATAFUKUZWA NA CHAMA.

SWALA LA LINI NI PERIOD KUTOKA KIKAO KILICHOPITA CHA NEC MPAKA KIKAO KIJACHO CHA NEC, AMBACHO KWA MUJIBU WA KATIBA HUWA KINAKUTANA KILA BAADA YA MIEZI MINNE. Lakini SI LAZIMA IWE MIEZI MINNE KAMILI,KATIBA YA CCM INARUHUSU KUWA NA VIKAO MAALUMU KATIKATI KABLA YA MUDA HUO,HIVYO NEC INAWEZA KUKUTANA KABLA YA MIEZI HIYO KATIKATI KAMA ITAONEKANA IPO HAJA. NA INWEZA IKAKUTANA BAADA YA MIEZI MINNE KUTOKANA NA MAZINGIRA,KWA MFANO NAFASI YA MKITI KAMA IMEBANA TUNAWEZA KUSOGEZA MBELE SO SI SWALA LA SIKU EXACTLY.

ANGALIA HATA BUNGE KUNA MUDA UMEPANGWA LAKINI LINAWEZASOGEZA SIKU ZA KUANZA AU KUMALIZA KUTEGEMEANA NA HAJA YA KUFANYA HIVYO.

Kikubwa hapa NI KUWA WAHUSIKA WAMEITWA NA KUJULISHWA UAMUZI WA NEC NA KUWA UPO MUDA WA WAO KUTEKELEZA WASIPOFANYA KIKAO KIJACHO CHA NEC NI KUWASILISHA RIPOTI YA UTEKELEZAJI WA MAAMUZI ITAKAYO ONYESHA IMETEKELEZWA KWA KIASI GANI NA KUTEKELEZA SEHEMU YA PILI YA UAMUZI.

KUMBUKA ILISEMWA HAPA JF KUWA UAMUZI HUU HAUTATEKELEZWA NA KUWA HAYO YALIKUWA MANENO (yalitumika maneno makali, machafu) YA NAPE NA CHILIGATI SI UAMUZI WA CHAMA, AKATOKA DR. KIKWETE MWENYEKITI WA CHAMA AKASEMA PALE DIAMOND ALIPOONGEA NA MAASKOFU KUWA ANACHOSEMA NAPE NI UAMUZI HALALI WA CHAMA, WATU WAKAFUMBA MACHO NA MASIKIO NA KUENDELEA KUDAI NI YA NAPE NA KUWA WATUHUMIWA HAWATACHUKULIWA HATUA ZOZOTE HATA KUJULISHWA TU. WAMEITWA NA KUPEWAA UAMUZI WA NEC, WATU WAKAKIMBIA JF, HATA WALE WALIONITUKANA NILIDHANI WATARUDI KUPONGEZA HATUA ILIYOFIKIWA, SIKUWAONA.

NINACHOWEZA KUHAKIKISHIA HAPA UAMUZI HUU WA KUWAWAJIBISHA BAADHI YA WATUHUMIWA HAUTABADILISHWA KWA KELELE ZA BARABARANI NA SARAKASI ZA WATUHUMIWA, TUMETHUBUTU KUAMUA, TUTATEKELEZA MAAMUZI.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.

Kwa hiyo msimamo wenu upo pale pale lazima RACHEL waondoke? mbona inasemekana kwa nyakati tofauti wameitwa na makamu mwenyekiti kuelezwa hali halisi na wote wamekana kuwa wao sio mafisadi?, hapo kwenye red and bold ungesema Kikwete ingetosha
 
Dr Nape!

Unacheza ngoma ya kitoto! Sintoshangaa kusikia akina Zungu na makatibu kata ndo wanawajibishwa kwa jina la Gamba
 
Nilisema Nape si mtu Makini, mropokaji wa aina ya Kipekee, ameingizwa Mkenge.....! amejijengea maadui ambao Mh. J Kikwete anawahofu, kamsukumizia huyo mtoto nae kwa ujinga akajidai anapambana na hao anaoita mapacha watatu, ambao pia MH Pinda aliishakiri kuwa hawakamatiki, kifupi aliwaogopa....!

NAPE KIELELEZO CHA CCM KUKOSA WATU MAKINI , KUKOSA VIONGOZI MIONGONI MWAO....ikibidi wamrudishe Davutwa kundini labda atawpa msaada
 
SI swala la kudai wala vikao kuamua upya bali vikao VILISHAFANYA UAMUZI NA UAMUZI NI WAJIPIME NA KUONDOKA WENYEWE WASIPOFANYA WATAFUKUZWA NA CHAMA.

SWALA LA LINI NI PERIOD KUTOKA KIKAO KILICHOPITA CHA NEC MPAKA KIKAO KIJACHO CHA NEC, AMBACHO KWA MUJIBU WA KATIBA HUWA KINAKUTANA KILA BAADA YA MIEZI MINNE. Lakini SI LAZIMA IWE MIEZI MINNE KAMILI,KATIBA YA CCM INARUHUSU KUWA NA VIKAO MAALUMU KATIKATI KABLA YA MUDA HUO,HIVYO NEC INAWEZA KUKUTANA KABLA YA MIEZI HIYO KATIKATI KAMA ITAONEKANA IPO HAJA. NA INWEZA IKAKUTANA BAADA YA MIEZI MINNE KUTOKANA NA MAZINGIRA,KWA MFANO NAFASI YA MKITI KAMA IMEBANA TUNAWEZA KUSOGEZA MBELE SO SI SWALA LA SIKU EXACTLY.

ANGALIA HATA BUNGE KUNA MUDA UMEPANGWA LAKINI LINAWEZASOGEZA SIKU ZA KUANZA AU KUMALIZA KUTEGEMEANA NA HAJA YA KUFANYA HIVYO.

Kikubwa hapa NI KUWA WAHUSIKA WAMEITWA NA KUJULISHWA UAMUZI WA NEC NA KUWA UPO MUDA WA WAO KUTEKELEZA WASIPOFANYA KIKAO KIJACHO CHA NEC NI KUWASILISHA RIPOTI YA UTEKELEZAJI WA MAAMUZI ITAKAYO ONYESHA IMETEKELEZWA KWA KIASI GANI NA KUTEKELEZA SEHEMU YA PILI YA UAMUZI.

KUMBUKA ILISEMWA HAPA JF KUWA UAMUZI HUU HAUTATEKELEZWA NA KUWA HAYO YALIKUWA MANENO (yalitumika maneno makali, machafu) YA NAPE NA CHILIGATI SI UAMUZI WA CHAMA, AKATOKA DR. KIKWETE MWENYEKITI WA CHAMA AKASEMA PALE DIAMOND ALIPOONGEA NA MAASKOFU KUWA ANACHOSEMA NAPE NI UAMUZI HALALI WA CHAMA, WATU WAKAFUMBA MACHO NA MASIKIO NA KUENDELEA KUDAI NI YA NAPE NA KUWA WATUHUMIWA HAWATACHUKULIWA HATUA ZOZOTE HATA KUJULISHWA TU. WAMEITWA NA KUPEWAA UAMUZI WA NEC, WATU WAKAKIMBIA JF, HATA WALE WALIONITUKANA NILIDHANI WATARUDI KUPONGEZA HATUA ILIYOFIKIWA, SIKUWAONA.

NINACHOWEZA KUHAKIKISHIA HAPA UAMUZI HUU WA KUWAWAJIBISHA BAADHI YA WATUHUMIWA HAUTABADILISHWA KWA KELELE ZA BARABARANI NA SARAKASI ZA WATUHUMIWA, TUMETHUBUTU KUAMUA, TUTATEKELEZA MAAMUZI.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.

Comred Nape,
Kwanza nakupongeza kujitokeza na kujibu baadhi ya hoja. Hivi ndivyo inavyotakiwa, uwongo ukiachwa bila kusahihishwa na hivyo kurudiwa rudiwa, sio tuu utageuka kuwa kama ukweli, bali utageuka ndio ukweli kwa principle ya lisemwalo.

Nimekusikia vema na kukuelewa vuzuri. Kwa vile wewe ni kijana, japo umezaliwa CCM na kukulia CCM hivyo umo ndani ya CCM na CCM ni wewe, kwa mtaji huo, kuna mapungufu makubwa ya CCM ambao sio wewe, sio Mwenyekiti wako wala sio nyie mlio CCM mnaweza kuyaona, ila sio akina sisi, tuliojisimamia pembeni ndio tunayaona. Nakuomba sana msizipuuzie critic zinazotolewa humu jukwaani JF kwa chama chako, ikijiaminisha they are nothing, belive me, they are not nothing, they are something!.

Hili la kujivua gamba, kwangu binafsi ni kipimo CCM ni makini kiasi gani na utekelezaji wake, nausubiri kwa hamu kubwa.

Wakati tukisubiri huo utekelezaji wa hayo maamuzi yenu ya NEC kuhusu kujivua gamba, naomba nikupe my honest opinion ambayo its only time that will tell.

Kama CCM ni chama cha haki, ni CCM ndio inaongoza serikali, hao mnaowaita mafisadi, wamefanya kosa gani kustahili kuadhibiwa na chama, wakati hawana/ hawajawahi kuwa na kesi yoyote?.

Kama mmediriki kusimama majukwaani kuwafanyia kampeni watuhumiwa wa ufisadi ambao tayari wameshaipandishwa kizimbani na kesi zao ziko mahakamani, leo CCM ina moral authority gani kuwanyooshea kidole wengine ambao hawana hata kesi moja ya kujibu!.

Nape, please take it from me, CCM haina ubavu wowote wa kuwafanya chochote hao mnaowaita ni mafisadi kwa sababu kuna sababu za msingi ambazo nitazieleza tuu, mara baada ya kikao chenu cha NEC ambacho na wewe utashuhudia bila kuamini macho na masikio yako kuwa CCM haiwezi kufanya chochote, wala lolote kwa watuhumiwa!.

Huna haja ya kujibu lolote kwenye posti hii, yuo just mark my words kwa sababu its only time will tell.

Wasalaam

Pasco.
 
Nape , pole , umeuvagaa mkenge unawaya waya sana, umeshikwa na umeshikika, ngoja Magamba watakapokurudi, kwakua wamekua wakifuata nyayo zao kila hatua, nakwambia Hutasalimika, hutakua na furaha wala Amani .
SIKUHURUMII, UNAPASWA KUTUMIA AKILI ZAIDI KULIKO MDOMO.
 
Comred Nape,
Kwanza nakupongeza kujitokeza na kujibu baadhi ya hoja. Hivi ndivyo inavyotakiwa, uwongo ukiachwa bila kusahihishwa na hivyo kurudiwa rudiwa, sio tuu utageuka kuwa kama ukweli, bali utageuka ndio ukweli kwa principle ya lisemwalo.

Nimekusikia vema na kukuelewa vuzuri. Kwa vile wewe ni kijana, japo umezaliwa CCM na kukulia CCM hivyo umo ndani ya CCM na CCM ni wewe, kwa mtaji huo, kuna mapungufu makubwa ya CCM ambao sio wewe, sio Mwenyekiti wako wala sio nyie mlio CCM mnaweza kuyaona, ila sio akina sisi, tuliojisimamia pembeni ndio tunayaona. Nakuomba sana msizipuuzie critic zinazotolewa humu jukwaani JF kwa chama chako, ikijiaminisha they are nothing, belive me, they are not nothing, they are something!.

Hili la kujivua gamba, kwangu binafsi ni kipimo CCM ni makini kiasi gani na utekelezaji wake, nausubiri kwa hamu kubwa.

Wakati tukisubiri huo utekelezaji wa hayo maamuzi yenu ya NEC kuhusu kujivua gamba, naomba nikupe my honest opinion ambayo its only time that will tell.

Kama CCM ni chama cha haki, ni CCM ndio inaongoza serikali, hao mnaowaita mafisadi, wamefanya kosa gani kustahili kuadhibiwa na chama, wakati hawana/ hawajawahi kuwa na kesi yoyote?.

Kama mmediriki kusimama majukwaani kuwafanyia kampeni watuhumiwa wa ufisadi ambao tayari wameshaipandishwa kizimbani na kesi zao ziko mahakamani, leo CCM ina moral authority gani kuwanyooshea kidole wengine ambao hawana hata kesi moja ya kujibu!.

Nape, please take it from me, CCM haina ubavu wowote wa kuwafanya chochote hao mnaowaita ni mafisadi kwa sababu kuna sababu za msingi ambazo nitazieleza tuu, mara baada ya kikao chenu cha NEC ambacho na wewe utashuhudia bila kuamini macho na masikio yako kuwa CCM haiwezi kufanya chochote, wala lolote kwa watuhumiwa!.

Huna haja ya kujibu lolote kwenye posti hii, yuo just mark my words kwa sababu its only time will tell.

Wasalaam

Pasco.

mwambieni nyie huenda atawaelewa.....alianza kwa kasi ya ajabu...naakumbuka one day alikuwa chanel ten...kwa mdomo wake akasema lazima wafukuzwe hawa na kama vyama vya upinzani vinawahitaji viwachukue....leo anakuja na kitu kingine..ahahahhaha....hapo katikati akamshupalia Dr wa ukweli kuwa halipi kodi, mara akaoma juu juu hotuba ya bajeti mbadala bila hata ya kuielewa akaja na tamko la ajabu alilobandika humu mwenyewe kwa kutumia ile ID yake nyingine ya A-che-be.....malaria sugu akawa wa kwanza kujibu post ile kwa kumwambia nanukuu''' nape tuna kazi ya kuondoa mafisadi tumalize hii kwanza'' nape hakuelewa akaita waandishi wa habari na kueleza utumbo wake....leo hana hoja anaona lililo mbele ni kubwa kuliko urefu wake sasa anaanza kubadilisha mada ohh sikuwahi kusema siku 90....nakwambie kwenye hiyo chupa ukitoka salama bila mchubuko utaniambia .......
 
SI swala la kudai wala vikao kuamua upya bali vikao VILISHAFANYA UAMUZI NA UAMUZI NI WAJIPIME NA KUONDOKA WENYEWE WASIPOFANYA WATAFUKUZWA NA CHAMA.

SWALA LA LINI NI PERIOD KUTOKA KIKAO KILICHOPITA CHA NEC MPAKA KIKAO KIJACHO CHA NEC, AMBACHO KWA MUJIBU WA KATIBA HUWA KINAKUTANA KILA BAADA YA MIEZI MINNE. Lakini SI LAZIMA IWE MIEZI MINNE KAMILI,KATIBA YA CCM INARUHUSU KUWA NA VIKAO MAALUMU KATIKATI KABLA YA MUDA HUO,HIVYO NEC INAWEZA KUKUTANA KABLA YA MIEZI HIYO KATIKATI KAMA ITAONEKANA IPO HAJA. NA INWEZA IKAKUTANA BAADA YA MIEZI MINNE KUTOKANA NA MAZINGIRA,KWA MFANO NAFASI YA MKITI KAMA IMEBANA TUNAWEZA KUSOGEZA MBELE SO SI SWALA LA SIKU EXACTLY.

ANGALIA HATA BUNGE KUNA MUDA UMEPANGWA LAKINI LINAWEZASOGEZA SIKU ZA KUANZA AU KUMALIZA KUTEGEMEANA NA HAJA YA KUFANYA HIVYO.

Kikubwa hapa NI KUWA WAHUSIKA WAMEITWA NA KUJULISHWA UAMUZI WA NEC NA KUWA UPO MUDA WA WAO KUTEKELEZA WASIPOFANYA KIKAO KIJACHO CHA NEC NI KUWASILISHA RIPOTI YA UTEKELEZAJI WA MAAMUZI ITAKAYO ONYESHA IMETEKELEZWA KWA KIASI GANI NA KUTEKELEZA SEHEMU YA PILI YA UAMUZI.

KUMBUKA ILISEMWA HAPA JF KUWA UAMUZI HUU HAUTATEKELEZWA NA KUWA HAYO YALIKUWA MANENO (yalitumika maneno makali, machafu) YA NAPE NA CHILIGATI SI UAMUZI WA CHAMA, AKATOKA DR. KIKWETE MWENYEKITI WA CHAMA AKASEMA PALE DIAMOND ALIPOONGEA NA MAASKOFU KUWA ANACHOSEMA NAPE NI UAMUZI HALALI WA CHAMA, WATU WAKAFUMBA MACHO NA MASIKIO NA KUENDELEA KUDAI NI YA NAPE NA KUWA WATUHUMIWA HAWATACHUKULIWA HATUA ZOZOTE HATA KUJULISHWA TU. WAMEITWA NA KUPEWAA UAMUZI WA NEC, WATU WAKAKIMBIA JF, HATA WALE WALIONITUKANA NILIDHANI WATARUDI KUPONGEZA HATUA ILIYOFIKIWA, SIKUWAONA.

NINACHOWEZA KUHAKIKISHIA HAPA UAMUZI HUU WA KUWAWAJIBISHA BAADHI YA WATUHUMIWA HAUTABADILISHWA KWA KELELE ZA BARABARANI NA SARAKASI ZA WATUHUMIWA, TUMETHUBUTU KUAMUA, TUTATEKELEZA MAAMUZI.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.

Hebu nikumbushe ndugu' HV MTAWAONDOA NEC AU MTAWAVUA UANACHAMA ILI TUINGIE KWENYE UCHAGUZI MDOGO WA WABUNGE?!
 
mwambieni nyie huenda atawaelewa.....alianza kwa kasi ya ajabu...naakumbuka one day alikuwa chanel ten...kwa mdomo wake akasema lazima wafukuzwe hawa na kama vyama vya upinzani vinawahitaji viwachukue....leo anakuja na kitu kingine..ahahahhaha....hapo katikati akamshupalia Dr wa ukweli kuwa halipi kodi, mara akaoma juu juu hotuba ya bajeti mbadala bila hata ya kuielewa akaja na tamko la ajabu alilobandika humu mwenyewe kwa kutumia ile ID yake nyingine ya A-che-be.....malaria sugu akawa wa kwanza kujibu post ile kwa kumwambia nanukuu''' nape tuna kazi ya kuondoa mafisadi tumalize hii kwanza'' nape hakuelewa akaita waandishi wa habari na kueleza utumbo wake....leo hana hoja anaona lililo mbele ni kubwa kuliko urefu wake sasa anaanza kubadilisha mada ohh sikuwahi kusema siku 90....nakwambie kwenye hiyo chupa ukitoka salama bila mchubuko utaniambia .......
Ngoja wadau watafute moja ya Video yake akijiapiza kuwa mapacha hawaponi
 
CCM hii ya akina Nape haiwezi kumuwajibisha yeyote. Hawana pa kuanzia. Na wa kumnyooshea kidole mwenzake ndani ya CCM hayupo. Nilivyoliona Bunge letu juzi likimshangilia Lowassa silitofautishi na NEC ya CCM.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom