Nape: Sikuwahi sema kuwa Mafisadi wataondolewa CCM baada ya siku 90

Status
Not open for further replies.
ngoja nikusaidie kijana nape pengine unaanza kuweweseka sasa na kutaka kubadili hali ya mambo.......kuna mbunge mmoja mwanamke tena ni kuna kipindi huwa anaongoza bunge kama mwenyekiti...nenda kamuulie yule mama...ana siri nzito hasa juu ya lowassa na ni msiri wake mkubwa

wewe unatumika sana tena sana na pengine hujijui kama unatumia na ninakwambia kutumiak kwako huko ndiko kutakukosti.......jk mwenyewe na jk amekutana na lowassa one on one mara tatu ili kuzungumza juu ya hali ya mambo....mara zote hizo jk amememuhakikishia edwa kuwa hatadhurika na dhoruba....na wala usijipe matumaini yaani kama vipi wewe kaaa kimya tu lakini ukianza kui-spin issue hii kwa kuja na vitamko vyako shauri yako......
 
"Sikuwepo kwenye kikao hivyo hadi sasa sijui walizungumza nini, na siwezi kwenda kumtaka Katibu Mkuu anieleze kilichozungumzwa kwani katika vikao vijavyo tutapata taarifa,"alisema Nape.

Source:Gazeti la Mwananchi June 29,2011
Nape, haya ni maneno yako kweli? Kama ni kweli naanzza kupata wasi wasi kwani haiyumkini kwa mtu anayepaswa kukisemea chama anafichwa taarifa kuhusu chama hicho hicho anacho[paswa kukisemea, tena taarifa nyeti kama hizi, Msekwa ana matatizo kwa kushindwa kukufahamisha, si kwa maana ya kuwa uziseme hadharani, bali kama mtu ambaye unatakiwa kuwa na taarifa sahihi ili utakapolisemea ujue useme vipi. Wewe nawe una makosa kwa kushindwa kuuliza ili upewe taarifa hizi.

Kwa wanaojua kazi ya PR (kimsingi ndio kazi yako CCM), ni lazima uwe na taarifa zote sahihui na za kubuni ili uweze kupaka picha nzuri ya taasisi unayoiwakilisha.. Kama wewe hauna taarifa nyeti kama hizi, hivi kweli tutaaminije kuwa unachokisema ni kweli na kweli tupu?
 
Limeulizwa swali la msingi sana
Je hawa mafisadi wanafukuzwa uananchama au ujumbe wa NEC ?

Nape tunaomba ujibu hili swali maana hapa ndipo penye mkanganyiko mwingine. Tunataka tujue ili tupime seriousness ya hili jambo au ni geresha tu.

Mkumbuke kama wananafukuzwa ujumbe wa NEC tu basi hii ni Danganya toto maana bado wanayo haki ya kuchaguliwa kuwa viongozi tena kwa kuwa ni wananchama halali.
Na mbaya zaidi watu hawa ndo wenye nguvu kuliko mtu yoyote kati yenu hivyo kuwafukuza ujumbe peke yake bado watarudi tena kwa kishindo na mtajuta kuzaliwa.

Tunasubiri maamuzi yenu lakini kwa upeppo ulivyokaa you stand a big chance to lose the game!

Yetu macho kama hamtakuja na porojo zilezile baada ya miezi minne tena!
 
Nakumbuka wakati wa EPA walitoa siku 90 wakadhani ni nyingi sana, zikapotea kama mvuke wakaishia kukamata dagaa. Leo wanakana siku 90 za watuhumiwa kujiondoa. Well said, maybe I didnt understand you. I'll take the new statement, no 90. Lakini elewa hakuna marefu yasiyo na ncha, tutaona tu. Time will tell, people are listening and watching.
 
NNAUYE pole na kazi....

kunatetesi kuwa kuvua gamba kumetokana na shinikizo la JK kuhofia Lowasa kugombea uraisi 2015,
yaani lengo ili JK awe huru kumwandaa membe kuwa mgombea wa CCM 2015......so anacho hofu ni kama LOWASA hatafukuzwa basi chance ya kugombea inatakuwa kubwa lowasa nakama akishinda basi maisha ya JK yatakuwa rehani....je tetesi hizi unazifikiriaje?.........
 
Safi, hii ndo tungependa mara nyingi ufanye hapa JF, always firm kwny unachoamini, tatizo 'vijana wako' hapa JF (you know what I mean) kama usingewahi kuyaandika haya mwenyewe wangei-spin hii habari na kusababisha watu kuhama hata hoja.

Kidumu?
Kidumu? and KIMAHESABU vice versa is true .KIDUMU KULEA MAFISADI ILI MWISHO WAKE UFIKE MAPEMA .MMESHAFIKA SATURATION POINT NDUGU ZETU...
 
Nape, haya ni maneno yako kweli? Kama ni kweli naanzza kupata wasi wasi kwani haiyumkini kwa mtu anayepaswa kukisemea chama anafichwa taarifa kuhusu chama hicho hicho anacho[paswa kukisemea, tena taarifa nyeti kama hizi, Msekwa ana matatizo kwa kushindwa kukufahamisha, si kwa maana ya kuwa uziseme hadharani, bali kama mtu ambaye unatakiwa kuwa na taarifa sahihi ili utakapolisemea ujue useme vipi.

Wewe nawe una makosa kwa kushindwa kuuliza ili upewe taarifa hizi. Kwa wanaojua kazi ya PR (kimsingi ndio kazi yako CCM), ni lazima uwe na taarifa zote sahihui na za kubuni ili uweze kupaka picha nzuri ya taasisi unayoiwakilisha.. Kama wewe hauna taarifa nyeti kama hizi, hivi kweli tutaaminije kuwa unachokisema ni kweli na kweli tupu?

yeye alikuwa anapayuka mikoa ya kusini eti anakisafisha chama............sasa kaam hajui mambo nyeti kama haya kwa nafasi yake hiyo maana yke ni kwamba hajui anachokifanya na nini wajibu wake.......na wala asitufiche hapa kuwa hajui kitu ukweli ni kwamba ameshaona mbele palivyo ndio maana anasema hajawahi kutoa siku 90....juzi wameambiwa wafanye maamuzi magumu fanyeni basi tuone
 
Nape tunashukuru kukuona unapost jf!
Swali langu ni ....,unadhani ishu ya kujivua gamba sio muhimu?tunapoanza kusogeza muda huoni credibility ya chama inaendelea kuporomoka?kuwa honest na useme mmeshindwa kuvua gamba!
 
Nape, haya ni maneno yako kweli? Kama ni kweli naanzza kupata wasi wasi kwani haiyumkini kwa mtu anayepaswa kukisemea chama anafichwa taarifa kuhusu chama hicho hicho anacho[paswa kukisemea, tena taarifa nyeti kama hizi, Msekwa ana matatizo kwa kushindwa kukufahamisha, si kwa maana ya kuwa uziseme hadharani, bali kama mtu ambaye unatakiwa kuwa na taarifa sahihi ili utakapolisemea ujue useme vipi.

Wewe nawe una makosa kwa kushindwa kuuliza ili upewe taarifa hizi. Kwa wanaojua kazi ya PR (kimsingi ndio kazi yako CCM), ni lazima uwe na taarifa zote sahihui na za kubuni ili uweze kupaka picha nzuri ya taasisi unayoiwakilisha.. Kama wewe hauna taarifa nyeti kama hizi, hivi kweli tutaaminije kuwa unachokisema ni kweli na kweli tupu?
Yeye alikuwa anapayuka mikoa ya kusini eti anakisafisha chama............sasa kaam hajui mambo nyeti kama haya kwa nafasi yake hiyo maana yke ni kwamba hajui anachokifanya na nini wajibu wake.......na wala asitufiche hapa kuwa hajui kitu ukweli ni kwamba ameshaona mbele palivyo ndio maana anasema hajawahi kutoa siku 90....juzi wameambiwa wafanye maamuzi magumu fanyeni basi tuone
 
SI swala la kudai wala vikao kuamua upya bali vikao VILISHAFANYA UAMUZI NA UAMUZI NI WAJIPIME NA KUONDOKA WENYEWE WASIPOFANYA WATAFUKUZWA NA CHAMA.

SWALA LA LINI NI PERIOD KUTOKA KIKAO KILICHOPITA CHA NEC MPAKA KIKAO KIJACHO CHA NEC, AMBACHO KWA MUJIBU WA KATIBA HUWA KINAKUTANA KILA BAADA YA MIEZI MINNE. Lakini SI LAZIMA IWE MIEZI MINNE KAMILI,KATIBA YA CCM INARUHUSU KUWA NA VIKAO MAALUMU KATIKATI KABLA YA MUDA HUO,HIVYO NEC INAWEZA KUKUTANA KABLA YA MIEZI HIYO KATIKATI KAMA ITAONEKANA IPO HAJA. NA INWEZA IKAKUTANA BAADA YA MIEZI MINNE KUTOKANA NA MAZINGIRA,KWA MFANO NAFASI YA MKITI KAMA IMEBANA TUNAWEZA KUSOGEZA MBELE SO SI SWALA LA SIKU EXACTLY.

ANGALIA HATA BUNGE KUNA MUDA UMEPANGWA LAKINI LINAWEZASOGEZA SIKU ZA KUANZA AU KUMALIZA KUTEGEMEANA NA HAJA YA KUFANYA HIVYO.

Kikubwa hapa NI KUWA WAHUSIKA WAMEITWA NA KUJULISHWA UAMUZI WA NEC NA KUWA UPO MUDA WA WAO KUTEKELEZA WASIPOFANYA KIKAO KIJACHO CHA NEC NI KUWASILISHA RIPOTI YA UTEKELEZAJI WA MAAMUZI ITAKAYO ONYESHA IMETEKELEZWA KWA KIASI GANI NA KUTEKELEZA SEHEMU YA PILI YA UAMUZI.

KUMBUKA ILISEMWA HAPA JF KUWA UAMUZI HUU HAUTATEKELEZWA NA KUWA HAYO YALIKUWA MANENO (yalitumika maneno makali, machafu) YA NAPE NA CHILIGATI SI UAMUZI WA CHAMA, AKATOKA DR. KIKWETE MWENYEKITI WA CHAMA AKASEMA PALE DIAMOND ALIPOONGEA NA MAASKOFU KUWA ANACHOSEMA NAPE NI UAMUZI HALALI WA CHAMA, WATU WAKAFUMBA MACHO NA MASIKIO NA KUENDELEA KUDAI NI YA NAPE NA KUWA WATUHUMIWA HAWATACHUKULIWA HATUA ZOZOTE HATA KUJULISHWA TU. WAMEITWA NA KUPEWAA UAMUZI WA NEC, WATU WAKAKIMBIA JF, HATA WALE WALIONITUKANA NILIDHANI WATARUDI KUPONGEZA HATUA ILIYOFIKIWA, SIKUWAONA.

NINACHOWEZA KUHAKIKISHIA HAPA UAMUZI HUU WA KUWAWAJIBISHA BAADHI YA WATUHUMIWA HAUTABADILISHWA KWA KELELE ZA BARABARANI NA SARAKASI ZA WATUHUMIWA, TUMETHUBUTU KUAMUA, TUTATEKELEZA MAAMUZI.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.

Nanukuu

........Tangu kukabidhiwa wadhifa wa ukatibu mwenezi wa CCM, Nape amekuwa akisisitiza, "…kung'oa mafisadi ndani ya CCM, ni jambo ambalo halina tena mjadala." Amesema, "Kinachosubiriwa sasa ni suala la utekelezaji tu; NEC imetoa siku 90 kwa mafisadi kuondoka" katika chama hicho. Katika hili, Nape alijiapiza kuwa barua za kujulisha mafisadi kuondoka katika chama tayari zimeandaliwa na zitatolewa kabla ya kumalizika Sikukuu ya Pasaka.

Hata hivyo, Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama aliwaambia waandishi wa habari ...... jijini Dar es Salaam, "…hakuna mahali popote katika maazimio ya NEC panapotaja siku 90." Alisema, "Kama ni muda basi ni pale mwenyekiti wetu aliposema NEC ijayo. NEC hukutana kila baada ya miezi minne na kwa hiyo kama ni siku, basi ni 120 na siyo 90."

Hata kama Nape alikuwa ametumwa na mwenyekiti wake, Rais Jakaya Kikwete kusema aliyosema, bado alipaswa kuwa makini na mzigo aliobebeshwa. Kwa wanaomfahamu Kikwete tangu alipokuwa Tanga Sekondari, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) hadi ikulu, wanajua jinsi alivyo bingwa wa kutumia wenzake na kisha kuwaacha njiani pale maslahi yake yanapoguswa.........

........Hivyo basi, hatua ya Nape ya kujiingiza katika mgongano wa ndani kwa ndani na wenzake ; na kung'ang'ania hoja ya kufukuza wanaoitwa "mafisadi ndani ya chama," inaweza kumgharimu. Kikwete anaweza kuamua kumuacha Nape solemba kwa kuwa kibarua alichompa kimemshinda; hawezi kutetea alichoagizwa; hafahamu anachotakiwa kufanya na hajui anachotenda..........

Source: http://www.mwanahalisi.co.tz/nape_nnauye_amebeba_‘gunia_la_kokoto'
 
SI swala la kudai wala vikao kuamua upya bali vikao VILISHAFANYA UAMUZI NA UAMUZI NI WAJIPIME NA KUONDOKA WENYEWE WASIPOFANYA WATAFUKUZWA NA CHAMA.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.

Bro Nape hebu shughulikia hii salamu yenu maana hapa ndio kwenye Ugwadu!

Hamuwezi kubuni kibwagizo tofauti na hiki ambacho kiko neutral na kinajitambulisha na mwananchi badala ya chama??

Kwa mfano CUF wanatumia "Hakiiiiiiiiiiiii......... Sawa kwa wote"
Kina Zitto na "Pipoooooooooooz.................Powe"

Sasa nyie mnataka CCM ndo idumu hata kama Tanzania na watanzania wanaangamia???
 
SI swala la kudai wala vikao kuamua upya bali vikao VILISHAFANYA UAMUZI NA UAMUZI NI WAJIPIME NA KUONDOKA WENYEWE WASIPOFANYA WATAFUKUZWA NA CHAMA.

SWALA LA LINI NI PERIOD KUTOKA KIKAO KILICHOPITA CHA NEC MPAKA KIKAO KIJACHO CHA NEC, AMBACHO KWA MUJIBU WA KATIBA HUWA KINAKUTANA KILA BAADA YA MIEZI MINNE. Lakini SI LAZIMA IWE MIEZI MINNE KAMILI,KATIBA YA CCM INARUHUSU KUWA NA VIKAO MAALUMU KATIKATI KABLA YA MUDA HUO,HIVYO NEC INAWEZA KUKUTANA KABLA YA MIEZI HIYO KATIKATI KAMA ITAONEKANA IPO HAJA. NA INWEZA IKAKUTANA BAADA YA MIEZI MINNE KUTOKANA NA MAZINGIRA,KWA MFANO NAFASI YA MKITI KAMA IMEBANA TUNAWEZA KUSOGEZA MBELE SO SI SWALA LA SIKU EXACTLY.

ANGALIA HATA BUNGE KUNA MUDA UMEPANGWA LAKINI LINAWEZASOGEZA SIKU ZA KUANZA AU KUMALIZA KUTEGEMEANA NA HAJA YA KUFANYA HIVYO.

Kikubwa hapa NI KUWA WAHUSIKA WAMEITWA NA KUJULISHWA UAMUZI WA NEC NA KUWA UPO MUDA WA WAO KUTEKELEZA WASIPOFANYA KIKAO KIJACHO CHA NEC NI KUWASILISHA RIPOTI YA UTEKELEZAJI WA MAAMUZI ITAKAYO ONYESHA IMETEKELEZWA KWA KIASI GANI NA KUTEKELEZA SEHEMU YA PILI YA UAMUZI.

KUMBUKA ILISEMWA HAPA JF KUWA UAMUZI HUU HAUTATEKELEZWA NA KUWA HAYO YALIKUWA MANENO (yalitumika maneno makali, machafu) YA NAPE NA CHILIGATI SI UAMUZI WA CHAMA, AKATOKA DR. KIKWETE MWENYEKITI WA CHAMA AKASEMA PALE DIAMOND ALIPOONGEA NA MAASKOFU KUWA ANACHOSEMA NAPE NI UAMUZI HALALI WA CHAMA, WATU WAKAFUMBA MACHO NA MASIKIO NA KUENDELEA KUDAI NI YA NAPE NA KUWA WATUHUMIWA HAWATACHUKULIWA HATUA ZOZOTE HATA KUJULISHWA TU. WAMEITWA NA KUPEWAA UAMUZI WA NEC, WATU WAKAKIMBIA JF, HATA WALE WALIONITUKANA NILIDHANI WATARUDI KUPONGEZA HATUA ILIYOFIKIWA, SIKUWAONA.

NINACHOWEZA KUHAKIKISHIA HAPA UAMUZI HUU WA KUWAWAJIBISHA BAADHI YA WATUHUMIWA HAUTABADILISHWA KWA KELELE ZA BARABARANI NA SARAKASI ZA WATUHUMIWA, TUMETHUBUTU KUAMUA, TUTATEKELEZA MAAMUZI.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.
Huu usanii mnaoufanya ccm sio mpya kwetu sisi wananchi tumeshawazoea na kazi zenu chafu,usanii kila pahala miundombinu ni mibovu mashirika ya Serikali yalishakufa siku nyingi(ATCL/TTCL/TRL na mengine mengi na linalomalizikia ni TANESCO na mipango lukuki mnajaza tu makabati umeme hamna uchumi wa nchi unashuka shilingi yetu haina thamani halafu unakuja na usanii wako hapa!!!!,shame on you Nape na ccm yako yaani mmewapa waizi siku wajipime badala ya kuwakamata au pesa zetu za walipa kodi mlizotumia ktk kuunda tume mbalimbali zilipotea bure!!!!(usanii umewazidi).
 
Safi, hii ndo tungependa mara nyingi ufanye hapa JF, always firm kwny unachoamini, tatizo 'vijana wako' hapa JF (you know what I mean) kama usingewahi kuyaandika haya mwenyewe wangei-spin hii habari na kusababisha watu kuhama hata hoja.

Kidumu?

Vijana wake wa JF sijui wanamheshimu au ni nidhamu tuu ya woga tuu? Ni maajabu mpaka sasa bado hawajaosha vinywa kwenye hii thread kama wanavyofanya kwenye thread nyingine. Unbelievable!!!
 
halafu mbona hajibu tuhuma hizi wakati namuona humu Nnauye Jr.......una nini la kusema juu ya haya unayoambiwa?
 
they must go out hata kama watajichuna na ngozi bana tumechoka, hebu angalia ndugu zetu vijiji wanavyohangaika. we want a new tanzania na ikiwezekana tubadilishe jina kama walivyo fanya zaire kuwa kongo tutaita People's Republic of Tanganyika. Let us change
 
No umeme
No maji
No hospitali (magari ya wagonjwa hakuna na badala yake wanajinunulia magari ya kifahari)
Shule ni duni no vifaa vya maaabara vitabu na kadharika (refer haki elimuuuu)
Wakulima wananyonywa na wafanyabiashara na serikali inangaa macho tu na handsome wao
Mbuga za wanyama zinauziwa kwa viongozi na wafanyabiashara
misitu inauzwa kwa viongozi
madini yanapotea hayanufaishi sisi
barabara hazipitiki

Miaka 40 ya uhuru lakini bado watu hawana huduma muhimu wakati tuna rasilimali nyingi sana. Muende mkae chini mfikirie nini cha kufanya kunusuru umaskini huu badala ya kuja humu kuleta siasa. Sisi JF kamwe hatuwezi tetereka hata mkija na magamba yenu.

JF Forever until nchi ikombolewe toka mikononi mwa magamba
 
To dare is to do,kama unashindwa hata kuuface ukweli ambao uliunadi mwenyewe hilo ni tatizo,kubalini mmewashindwa mapacha.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom