Nape: Si uamuzi wa Serikali ya Magufuli Bunge kutoruka live

OGTV

JF-Expert Member
May 22, 2016
353
167
Waziri Nape akitoa ufafanuzi juu ya sababu kwanini bunge halionyoshwi live KWA KUSEMA SI UAMUZI WA SERIKALI YA MAGUFULI BUNGE KUTORUKA LIVE. NAKUSEMA NI UAMUZI WA BUNGE NABUNGE NDILO LILILOPITISHA....
 
Ni lini hoja ya Bunge kutorushwa live ilipelekwa Bungeni?
Na ni kwanini serikali walitoa hiyo taarifa badala ya Bunge?
Ana maanisha serikali imeingilia muhimili wa Bunge kwenye kufanya maamuzi.
 
Tumewadharau sana!! Maamuz yao wakat mwingne ni kama watoto, sasa wanatufanya watanzania wote hatujielewi kama wale wa Lumumba, hapana haikubaliki hata kidogo tunataka bunge letu liwe live
 
Kwa hiyo LIVE inayorushwa saa 3 asubuhi wakati wa maswali na majibu huo muda si wa kazi?
Na yale marudio yanayoanza saa 6.00 mchana si muda wa kazi? Au hurushiwa watu wakiwa huko kazini au lengo hulengewa mtazamaji yupi?
 
Nipo nakula uroda kwa kufatilia bunge kwa umakini zaidi na wabunge wawakilishi wanashusha nondo .
 
Nipo nakula uroda kwa kufatilia bunge kwa umakini zaidi na wabunge wawakilishi wanashusha nondo .
kumbuka uoshe vyombo na kudeki sio kusubilia walioenda kazini warudi wakufanyie kazi wewe umekomaa na tv ya mjomba wako 24 7
 
Back
Top Bottom