Nape refutes Mnyika; TBC takes debate off air

Manifesto ni contract, ni social contract. Inaweza kuwa si legally binding contract (that is also debatable, in a lawsuit society kama US unaweza kupigwa lawsuit kwa kutotimiza election promise) lakini ni contract.

So far issue si whether hii ni "legally binding contract" or not, ni whether it is a contract or not.

Yaani Nape anajionyesha alivyo low tu.

Si kweli,manifesto siyo legally contract,kwanza inabidi pia uni convince howa manifesto is a contract to begin with.....
Contract Law
What are the key elements of a binding contract?

Competent Parties - For a contract to be valid, each side must have the capacity to enter into it. Most people and companies have sufficient legal competency. A drugged or mentally-impaired person has impaired capacity and chances are a court may not hold that person to the contract. Minors (e.g., usually those under eighteen) cannot, generally, enter into a binding contract without parental consent, unless it is for the necessities of life, such as food, clothing, or for student loan contracts.

Consideration - If the other side is to be held to the contract, you must give up something in exchange. This is called consideration. No side can have a free way out or the ability to obtain something of value without providing something in exchange. Money is the most common form of compensation, but it can also be property, giving up a right or valid claim, making a promise to do or not to do something, or anything of value. Agreeing to perform an illegal or illicit act is not consideration and the contract is void.

Unapozungumzia contacts especially btn mwananchi na mgombea, means that each side must be clear as to the essential details, rights, and obligations of the contract. Putting the deal down on paper prior to signing it goes A LONG way to avoid future misunderstandings and disputes.....Je wananchi wanaelewa hilo?

NB:Ni kweli hata kina Karl Peters walikuwa na "Contracts" btn our leaders....Contracts ambazo walizi enforce legally.

Kuna grey area ambayo inaleta upumbazaji wa wananchi kuhusiana na vinavyoitwa mkataba kati ya wananchi na wagombea uongozi ama viongozi,na ndio maana Taifa letu kwa sehemu kubwa ni lawless.

Hakuna mtu kwenye mawazo ya mwananchi wa kawaida hata hivyo ambaye anaamini eti kuna mkataba wa kisiasa kati ya wananchi na viongozi ambao ni legally binding,then wanaota kwasababu ya the so called contract,legality yake ni kwenye ballot box ambayo hata hivyo matokeao yake ni ni mostly riggerd.
 
naona watu wanachanga kati ya commercial contract na political contract.
ukiigeuza political contract kuwa commercial basi unaweza ukaaiona political haina maana.
 
Mbona definition ya contract ishatolewa hapo juu, labda uisome kwanza na kui discuss in this context.
 
Achilia mbali kama kipindi hicho kilioneshwa kwa Kiingereza, kiswahili au kiswa-kinglish...
Ni kweli kwamba kuna mkataba kati ya wapiga kura na waliochaguliwa kushika madaraka kwa niaba yao... ugumu ni kwamba wapigaji kura wameshindwa kuwekewa mazingira ya ku-enforce wao-breach mkataba huo kitu ambacho inabidi kiangaliwe hivyo nafikiri thread hii ingepelekwa kule kwenye jukwaa la sheria ili watu washuke zaidi...

Na kwa Kwa macho ya Nape pekee kama yumo humu JF.

Asome http://www.expertlaw.com/library/business/contract_law.html na atakutana na haya yafuatayo:
Meaning of 'contract'
Whilst it's probably impossible to give one absolute and universally correct definition of a contract, the most commonly accepted definition is:

'a promise or set of promises which the law will enforce' (Pollock Principles of Contract (13th Edn) 1) The expression 'contract' may, however, be used to describe any or all of the following:
  1. that series of promises or acts themselves constituting the contract;
  2. the document or documents constituting or evidencing that series of promises or acts, or their performance;
  3. The legal relations resulting from that series, therefore
4. A contract intends to formalize an agreement between two or more parties, in relation to a particular subject. Contracts can cover an extremely broad range of matters, including the sale of goods or real property, the terms of employment or of an independent contractor relationship, the settlement of a dispute, and ownership of intellectual property developed as part of a work for hire.
5. The Elements of a Contract
6. Typically, in order to be enforceable, a contract must involve the following elements:

7. A "Meeting of the Minds" (Mutual Consent)
8. The parties to the contract have a mutual understanding of what the contract covers. For example, in a contract for the sale of a "mustang", the buyer thinks he will obtain a car and the seller believes he is contracting to sell a horse, there is no meeting of the minds and the contract will likely be held unenforceable.
9. Offer and Acceptance
10. The contract involves an offer (or more than one offer) to another party, who accepts the offer. For example, in a contract for the sale of a piano, the seller may offer the piano to the buyer for $1,000.00. The buyer's acceptance of that offer is a necessary part of creating a binding contract for the sale of the piano.
11. Please note that a counter-offer is not an acceptance, and will typically be treated as a rejection of the offer. For example, if the buyer counter-offers to purchase the piano for $800.00, that typically counts as a rejection of the original offer for sale. If the seller accepts the counter-offer, a contract may be completed. However, if the seller rejects the counter-offer, the buyer will not ordinarily be entitled to enforce the prior $1,000.00 price if the seller decides either to raise the price or to sell the piano to somebody else.
12. Mutual Consideration (The mutual exchange of something of value)
13. In order to be valid, the parties to a contract must exchange something of value. In the case of the sale of a piano, the buyer receives something of value in the form of the piano, and the seller receives money.
14. While the validity of consideration may be subject to attack on the basis that it is illusory (e.g., one party receives only what the other party was already obligated to provide), or that there is a failure of consideration (e.g., the consideration received by one party is essentially worthless), these defences will not let a party to a contract escape the consequences of bad negotiation. For example, if a seller enters into a contract to sell a piano for $100, and later gets an offer from somebody else for $1,000, the seller can't revoke the contract on the basis that the piano was worth a lot more than he bargained to receive.
15. Performance or Delivery
16. In order to be enforceable, the action contemplated by the contract must be completed. For example, if the purchaser of a piano pays the $1,000 purchase price, he can enforce the contract to require the delivery of the piano. However, unless the contract provides that delivery will occur before payment, the buyer may not be able to enforce the contract if he does not "perform" by paying the $1,000. Similarly, again depending upon the contract terms, the seller may not be able to enforce the contract without first delivering the piano.
17. In a typical "breach of contract" action, the party alleging the breach will recite that it performed all of its duties under the contract, whereas the other party failed to perform its duties or obligations.
18. Additionally, the following elements may factor into the enforceability of any contract:
19. Good Faith
20. It is implicit within all contracts that the parties are acting in good faith. For example, if the seller of a "mustang" knows that the buyer thinks he is purchasing a car, but secretly intends to sell the buyer a horse, the seller is not acting in good faith and the contract will not be enforceable.
21. No Violation of Public Policy
22. In order to be enforceable, a contract cannot violate "public policy". For example, if the subject matter of a contract is illegal, you cannot enforce the contract. A contract for the sale of illegal drugs, for example, violates public policy and is not enforceable.
23. Please note that public policy can shift. Traditionally, many states refused to honour gambling debts incurred in other jurisdictions on public policy grounds. However, as more and more states have permitted gambling within their own borders, that policy has mostly been abandoned and gambling debts from legal enterprises are now typically enforceable. (A "bookie" might not be able to enforce a debt arising from an illegal gambling enterprise, but a legal casino will now typically be able to enforce its debt.) Similarly, it used to be legal to sell "switchblade kits" through the U.S. mail, but that practice is now illegal. Contracts for the interstate sale of such kits were no longer enforceable following that change in the law.
24. Oral Contracts
25. There is joke that "an oral contract isn't worth the paper it's written on". That's a reference to the fact that it can be very difficult to prove that an oral contract exists. Absent proof of the terms of the contract, a party may be unable to enforce the contract or may be forced to settle for less than the original bargain. Thus, even when there is not an opportunity to draft up a formal contract, it is good practice to always make some sort of writing, signed by both parties, to memorialize the key terms of an agreement.
26. At the same time, under most circumstances, if the terms of an oral contract can be proved or are admitted by the other party, an oral contract is every bit as enforceable as one that is in writing.

27. Please note that, although sometimes an oral contract is referred to as a "verbal contract", the term "oral" means "spoken" while the term "verbal" can also mean" in words". Under that definition, all contracts are technically "verbal". If you mean to refer to a contract that is not written, although most people will recognize what you mean by "verbal contract", for maximum clarity it is helpful to refer to it as an "oral contract
 
Wakati huu nampa benefit Nape kwa sababu tunachokisoma sijui kama ndicho hasa alichokisema au alichomaanisha. Kwa sababu anaweza kuwa technically right kama anashikilia maana ya Mkataba wenye nguvu ya kisheria (legally binding contract). Lakini kwa maana ya makubaliano yenye ridhaa ya kutekeleza mapatano ya pande mbili atakuwa amekosea kutokukubali kuwa uchaguzi ni mkataba.

Tusimhukumu kwa ukali kwa sababu ninachokiona ni jaribio la kuwagonganisha vijana hawa wawili waumizane mapema. Binafsi ningependa sana wote wawili waende Bungeni na wasiangushane kwa sababu ya neno "is".
Wote wawili hawawezi kwenda Bungeni kwani wanatarajia kugombea jimbo moja la Ubungo kama watateuliwa na vyama vyao. Kilichoonekana siku ile ilikuwa ni kama debate kati yao wawili ili tuone nani zaidi. Nape alionekana "mjinga" kidogo kwa kupinga kila alilolisema Mnyika.
 
Very true.

Kipindi kile kimsingi ni kizuri sana, shida inakuja hapo kwenye kiswanglish kinachotumika, bila hata sababu ya msingi,huku mada zote zinazojadiliwa zikiwa ni za kuhusu watanzania wote!

Matokeo yake, kuna points muhimu sana zinakosekana kutokana na baadhi ya watu kutoalikwa kwa na sababu ya kutokuwa fluent na kiingereza!

Badilisheni kipindi chenu kiwe cha kiswahili bana!

One is allowed to emphasize in Kiswahili,if you think your point can go deep into your audience by ironing the point in Kiwahili. However, if every single citizen is worth following up the discussion, Mzee wa Kisafwa need to revisit the media through which he is to educate mzee mwanakijiji there at Ng'wakitolyo.

Leka
 
Wote wawili hawawezi kwenda Bungeni kwani wanatarajia kugombea jimbo moja la Ubungo kama watateuliwa na vyama vyao. Kilichoonekana siku ile ilikuwa ni kama debate kati yao wawili ili tuone nani zaidi. Nape alionekana "mjinga" kidogo kwa kupinga kila alilolisema Mnyika.

Ninachopata hapa ni kwamba Nape hakuwa na cha kusema na alijiweka katika mtego wa kupinga kila kinachosemwa na mpinzani.Alifanya hii kuwa kama high school debate.

Hata high school debate nazo watu tulikuwa tunapiga eminent criticism kama tupo House of Commons na ku rope a dope kama Ali.

Nape anazidi kujionyesha alivyo mtupu.

Mimi ningemuuliza swali moja tu, hivi nyinyi CCM mnasema hamuamini kwamba kuna makubaliano na wananchi mnapopigiwa kura (that is what it really boil down to), je imani hii ndiyo inayowafanya msitekeleze ahadi kedekede za uchaguzi?
 
Mbali na siasa huwa anafanya wapi kazi au anafanya kazi gani??!!!

Maana hawa wanasiasa chipukizi nao mambo yao mshike mshike.
 
Nawashukuru sana wakuu kwa mawazo,ushauri na madongo. Nashauri ambaye hana hakika na anachokisema akifikiri mara mbili,tuweke ushabiki pembeni tuzungumze mambo yatakayotutoa tulipo tuende mbele zaidi.
Bilashaka kwa mujibu wa mijadala ya wengi hapa,wengi hawakufanikiwa kuona kipindi kile. Hakika kama Mnyika atakuwa tayari anaweza kuingia hapa kuniunga mkono kuwa TULIJITAHIDI KUWEKA ITIKADI ZETU PEMBENI,TUKAJADILI MAMBO/CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI VIJANA WA KITANZANIA KWA UJUMLA BILA KUJALI ITIKADI ZAO.Tofauti na wengi wanavyo ROPOKA hapa. Hata Mzee simbeye mwishoni alitushukuru kwa kuweka itikadi pembeni.
Nimimi niliyesema ni lazima vijana watoke nje ya boxies za itikadi, na mimi naamini itikadi ZINAWAGAWA VIJANA BADALA YA KUTULETA PAMOJA.
Lakini hili swala la mkataba kati ya wapiga kura na wanasiasa hapa linapotoshwa sana. Nawaahidi jioni kwa saa za hapa kwetu Tanzania nitaingia kulieleza hili. nategemea maswali mengi kuyajibu kwasasa naenda class.
 
Huko "class" unajifunza nini wewe Nnauye Jr.? Safari ijayo yaweke mawazo yako kwenye aya basi na sio kuyalundika tu kama magunia ya mkaa.
 
Nawashukuru sana wakuu kwa mawazo,ushauri na madongo. Nashauri ambaye hana hakika na anachokisema akifikiri mara mbili,tuweke ushabiki pembeni tuzungumze mambo yatakayotutoa tulipo tuende mbele zaidi.
Bilashaka kwa mujibu wa mijadala ya wengi hapa,wengi hawakufanikiwa kuona kipindi kile. Hakika kama Mnyika atakuwa tayari anaweza kuingia hapa kuniunga mkono kuwa TULIJITAHIDI KUWEKA ITIKADI ZETU PEMBENI,TUKAJADILI MAMBO/CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI VIJANA WA KITANZANIA KWA UJUMLA BILA KUJALI ITIKADI ZAO.Tofauti na wengi wanavyo ROPOKA hapa. Hata Mzee simbeye mwishoni alitushukuru kwa kuweka itikadi pembeni.
Nimimi niliyesema ni lazima vijana watoke nje ya boxies za itikadi, na mimi naamini itikadi ZINAWAGAWA VIJANA BADALA YA KUTULETA PAMOJA.
Lakini hili swala la mkataba kati ya wapiga kura na wanasiasa hapa linapotoshwa sana. Nawaahidi jioni kwa saa za hapa kwetu Tanzania nitaingia kulieleza hili. nategemea maswali mengi kuyajibu kwasasa naenda class.

Nnauye Junior,

Asante sana kwa majibu yako , kuhusiana na hili swala mikataba kati ya wananchi na wanasiasa ingawaje kiasi fulani napingana na wewe. Mimi ningependa kukuuliza swali moja , Je unafikiri ni kwanini Tanzania bado ni moja ya nchi masikini duniani?
 
Laiti kama watendaji wengine ndani ya ccm wangekuwa kama Nape tungekuwa mbali sana na wala kusingekuwa na mipasuko ya ajabuajabu maana mipasuko na utendaji mbaya unasababishwa na roho mbaya na wivu pamoja na ubaguzi lakini Nape kaweka itikadi pembeni na kuwachukulia vijana wenzake kama kitukimoja thats good,
NAPE HUKO VYEMA BWANAMDOGO ENDELEA
.
 
Nilisema....
Jmushi1 said:
Nakubaliana na wewe,lakini akija hapa na kusema alimaanisha "Legally binding contract" Then ana point.

Ukajibu?
Katika sheria, kuna kitu kinaitwa "the letter of the law" halafu kuna kitu kingine kinaitwa "the spirit of the law"

Mwanasiasa atakayekuja hapa na kuniambia kwamba election si legally binding contract atakuwa legally right kwa maana ya kwamba yuko sawa katika legalese.

Lakini ukija katika bigger picture, maswala ya leadership na accountability, maswala ya integrity, hii kauli, hata kama anazungumzia "the letter of the law" instead of "the spirit of the law" itakuwa ni political suicide.

Kuna law na justice, na justice si lazima itiririke kutoka katika law. Naamini hawakwenda kwenye TV kudiscuss academic abstracts, wameenda kujinadi kuhusu matatizo ya wananchi.

Sasa kama mwanasiasa katika kujinadi ananiambia kwamba hatakuwa accountable (basically) then to me that is commiting political suicide right there.

Ulichosema hapo juu kwenye highlight ni sawa kabisa na nlichopost,kwa hiyo unapingana katika kukubaliana na mimi ama ni mambo ya kiitikadi?
Do you get my point?
 
Nilisema....

Ukajibu?

Ulichosema hapo juu kwenye highlight ni sawa kabisa na nlichopost,kwa hiyo unapingana katika kukubaliana na mimi ama ni mambo ya kiitikadi?
Do you get my point?

Unasoma selectively, ukisoma maneno yangu yote utaona kuwa mwanasiasa ku hint, ku hint tu, kwamba hana contract na wananchi, regardless kama ni legally binding, social au gentleman's agreement/ good faith contract, ni political suicide, maana anaonyesha kutokubali kwamba yuko responsible na accountable.

Sasa ndugu yenu naona ndiyo anataka kujivua nguo zaidi kwa kuruka majivu na kukanyaga moto.

Anatoka kwenye contract anaenda kwenye itikadi. Bila itikadi hamna siasa, kuna bora liende. Labda atueleze anamaanisha nini kwa kusema itikadi, I sense a lack of articulation here. Further exposing what I pointed out earlier.
 
Nakubaliana na wewe kabisa,ila swali langu hutaki kulijibu,huwezi kumfikisha mwanasiasa mahakamani ukadai unamshtaki kwasababu alitoa ahadi hewa WHERE AS unaweza kumfikisha mahakamani kama ametenda kinyume na katiba ya nchi ama amefanya madudu kwenye kazi yake ya uongozi ambayo ni dhamana.
Myika alitumia maneno ambayo siyo lazima yawe legally binding na ndipo pointi yangu ilipokuwa.
Pia kwani kuna mahali ambapo wanasiasa hao wanapoomba kura kuna proof kwamba watakuwa responsible and accountable?
 
.............................................
Earlier in the program Nape had maintained that in politics, achievements of politicians can not be measured since there are no contracts made. He further called for review of the existing systems to ensure that contracts are made between the politicians and the people...................

What a useless statement is this?

Increasingly this young man, Nape is becoming vocal. He is hell-bent on old CCM leaders infallibility. He still need to learn. Like we have been saying many of these young guys appreciate themselves and claim wisdom.
 
Wakati huu nampa benefit Nape kwa sababu tunachokisoma sijui kama ndicho hasa alichokisema au alichomaanisha. Kwa sababu anaweza kuwa technically right kama anashikilia maana ya Mkataba wenye nguvu ya kisheria (legally binding contract). Lakini kwa maana ya makubaliano yenye ridhaa ya kutekeleza mapatano ya pande mbili atakuwa amekosea kutokukubali kuwa uchaguzi ni mkataba.

Tusimhukumu kwa ukali kwa sababu ninachokiona ni jaribio la kuwagonganisha vijana hawa wawili waumizane mapema. Binafsi ningependa sana wote wawili waende Bungeni na wasiangushane kwa sababu ya neno "is".

- JF kwa vichwa bwana, kila ukifikiri umemaliza kuvihesabu bado unakumbushwa kuwa vipo vingine, saafi sana hii!

Respect.

FMEs!
 
Nawashukuru sana wakuu kwa mawazo,ushauri na madongo. Nashauri ambaye hana hakika na anachokisema akifikiri mara mbili,tuweke ushabiki pembeni tuzungumze mambo yatakayotutoa tulipo tuende mbele zaidi.
Bilashaka kwa mujibu wa mijadala ya wengi hapa,wengi hawakufanikiwa kuona kipindi kile. Hakika kama Mnyika atakuwa tayari anaweza kuingia hapa kuniunga mkono kuwa TULIJITAHIDI KUWEKA ITIKADI ZETU PEMBENI,TUKAJADILI MAMBO/CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI VIJANA WA KITANZANIA KWA UJUMLA BILA KUJALI ITIKADI ZAO.Tofauti na wengi wanavyo ROPOKA hapa. Hata Mzee simbeye mwishoni alitushukuru kwa kuweka itikadi pembeni.
Nimimi niliyesema ni lazima vijana watoke nje ya boxies za itikadi, na mimi naamini itikadi ZINAWAGAWA VIJANA BADALA YA KUTULETA PAMOJA.
Lakini hili swala la mkataba kati ya wapiga kura na wanasiasa hapa linapotoshwa sana. Nawaahidi jioni kwa saa za hapa kwetu Tanzania nitaingia kulieleza hili. nategemea maswali mengi kuyajibu kwasasa naenda class.

- Umeeleweka sana kijana, tunataka vijana kama nyinyi kushika nchi, saafi sana!

Respect.

FMEs!
 
Laiti kama watendaji wengine ndani ya ccm wangekuwa kama Nape tungekuwa mbali sana na wala kusingekuwa na mipasuko ya ajabuajabu maana mipasuko na utendaji mbaya unasababishwa na roho mbaya na wivu pamoja na ubaguzi lakini Nape kaweka itikadi pembeni na kuwachukulia vijana wenzake kama kitukimoja thats good,
NAPE HUKO VYEMA BWANAMDOGO ENDELEA
.

wewe, hivi hujui huyu mtu anatafuta ulaji tu? kimsingi hakuna afadhali CCM,wote ni tatizo tu...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom