Nape Nnauye

Yani Mzumbe nimewadharau sana! Inakuwa vipi kilaza kama NAPE wanamtunuku shahada ya Uzamili?! Mwenye Dessertation yake tunaomba muiweke hapa jamvini tuisome na tuijadili maana ukishatunukiwa hiyo shahada kazi yako ya Dessertation inakuwa matter of Public na siyo siri tena!
 
MZUUUMBE hata Nchimbia alizawadiwa phd yake hapohapo (chuo cha kata wanatoa shahada za vodafasta)
 
Kila la kheri Nape, mungu yu pamoja nawe. Komaa ule jiwe la tatu.
 
Tuwekee ya kwako tuijadili kwanza
jf IMEKUA NGUMU SANA SIKU HIZI... HATA AJE MTUME HAPA WATU WATAOMBA VYETI NA SIGNATURE TOKA KWA MUNGU NA WATAULIZA KAMA MUNGU ALIKUA AMELEWA AU SOBER WAKATI ANATUNUKU VYETI YA UNABII

HONGERA NAPE, UMEFANYA JEMA KULIKO WALE WANAOISHIA KUNUNUA VYETI KAMA MAWAZIRI FULANI
 
Mzumbe chuo cha kata.

Na mimi kinachonishangaza zaidi eti (mfano) mtu anaanza Masters leo mwezi wa 12 utaskia mwakani mwezi wa 9 kamaliza Course Work, then anafanya Dessertation Mwaka mzima! Anyway ndio vyuo vya kina NAPE.

 
Mi bado sijagraduate. Nikimaliza yangu nitaiweka! Mwambie NAPE basi aiweke yake hapa jamvini mbona unamtetea? Au alibadilisha cover page ya mtu mwingine akai-submit kama yake?!

La hasha!....Sijamtetea wala nini......Nilitaka tu uweke Dessertation yako tuijadili kwanza kabla hatujaijadili ya Nape...
 
nilitaka kusoma MBA Mzumbe............
wameanza kuniboa

Usithubutu kabisa ndugu yangu kusoma hapo. Hicho ni chuo cha watu wenye akili kama za NAPE! Vyeti vya Mzumbe (For Master) haviheshimiki kwa baadhi ya taasisi especially International Instituitions!
 
Back
Top Bottom